Sweetylady rudi mama tumlee mtoto wetu

hebu waache wenzio walee mtoto wao!anahahahhahahha tabia za fisi unafikiri ni nzuri?ulijua nitonye kasusa enh?aanze tu kususa chezeya nguvu ya mahaba kwa kutumia ushairi weye!!!!lol.

Naona wewe hujui hii tamthilia inavyoendelea...........Hivi unamjua mvunja silidi ya mwanamwali
 
Nitonye siku zote moyo wake uko kwako,
Yeye ndie ajuae thamani ya penzi lako,

Mtoto wetu bado anahitaji uwepo wetu,
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo,

Msamaha wako nimeupokea kwa mikono miwili,
Mwaaaaa darling!

Nashukuru sana kwa msamaha wako, nakuahidi kuwa mke mwema na sitokaa nirudie makosa!
 
Na huyu ndo sweetlady, sweet like honey! nitonye keshavunjika vunjika mabawa, atarukaje sasa?
Haya newly weds, nawalipia fungate ya 4 days kuanzia thursday. Mchague mnaenda wapi. Ni this week tu, wiki ijayo nitakuwa nimefulia kama mzungu.
 
Last edited by a moderator:

Heheheh mke mwenza chezeiya mimi wewe......kuhusu hiyo ofa ngoja tumsubiri shemeji Bishanga aje atuchagulie manake yeye ndio kaizunguka sana hii dunia.....tunashukuru kwa ofa mke mwe.....wenye wivu wajinyonge!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom