Swali lisilojibiwa: Ndege ya Qatar iliwezaje kutua KIA?

nchi hii ni ya ajabu sana. hao twiga walikujwa kwenye sanduku? wameshapewa 10%

Tanzania tuna safari fupi kuwa dunia ya nne. Hiyo kesi itaisha kimya tusijue hatua zilizochukuliwa

Wadau mwalishangaa hilo la kuibiwa wanyama wenu, kwani hiyo ni mara ya kwanza, Mbona hilo Dege latua sana Loliondo na kubema mizigo zaidi ya hiyo kimyakimya

utashindwa hata kushangaa pale ambapo kesi hiyo inahusisha Tsh.170.5milion ikaundiwa tume inayocost more than Tsh.200milion.
CHENGE aliita 1bilion ni vijicent,hivyo hakuna kigogo aliyetia mkono hapo kwa mgao huo wa jumla ya 170.5milion.
Hoja ya msingi ni kukosa uzalendo kwa watanzania.

kumbukeni ni wakenya hao hao waliokataa watanzania tusiuze pembe za ndovu wakamshushua mama wa utalii kipindi hicho mwangunga. leo hii wao wanakuja kuuza nyara zetu hukuhuku kwetu.watanzania hatupo serious. keshokutwa watakuja kuiuza ardhi ya ikulu ndipo tutashtuka tukiwa hatuna ikulu.

2. What was so difficult for the journalist kuwauliza watu wa aviation na kupata ukweli kuhusu the so called DEGE LA JESHI LA QATAR lilioingia Tanzania?

surely its not that difficult kupata :

For arguments sake, kwa kukupasha tuu ni kuwa hakuna ndege inayoingia kwenye airpsace ya Tanzania bila kupewa approval na wahusika

Mkuu

Mosi,unaongelea upatikanaji wa taarifa hapa Tanzania au Great Britain?

Pili, Ndege zote zinazopita kwenye "air space" zinapita kwa hiari ya serikali ya Tanzania - Lakini ndege za "KIJESHI" zina utaratibu maalum ambao siyo "general" kama zilivyo ndege nyingine - Ministry Of Defence lazima iwe na taarifa za ujio wa dege hilo na lilikuja kufanya nini?

Couple of things:

1. Haven't really bought this paper for a while. These days, from looking online and borrowing copies, too many vapid columnists who can't write (common to many mainstream papers hapa Bongo, mind you), too much nepotism, too much smug, dully-written humanism , far, far, too Dar centric (I suspect it's stuffed with posho interns who think some of us commenting hapa JF are a bunch of non patriotic nutters na kazi yetu ni kuwapiga wao vita) .

And their editorial staff are exceptionally ill-mannered. I blame it on owners.

2. What was so difficult for the journalist kuwauliza watu wa aviation na kupata ukweli kuhusu the so called DEGE LA JESHI LA QATAR lilioingia Tanzania?

surely its not that difficult kupata :

a) Ndege ilikuwa ina namba zipi?

b) Ilikuwa inaendeshwa na pilot wepi

c) Iliingia na crew wangapi

d) Je hao the so called WANAJESHI WA QATAR walikuwa na vyeo gani

e) Je JWTZ walihusika kutoa vibali

f) Je ndege ilifuata taratibu kuingia katika airspace ya Tanzania?

Kwa haraka haraka utaona kuwa mwandishi wa habari ameamua kuacha either by commission or omission kuweka these vital details na kinachooendelea hapa ni the usual MU ya not only ARAB BASHING bila kuwa na objective journalism

As far as I know inawezekana ndege ilikuwa ni cargo plane ambayo ilikodishwa from Jeshi la Qatar au something like that lakini I wont jump the gun bila kupata FACTS otherwise tutakuwa tunaingia in the same trap ya SUPERMARKET JOURNALISM and mwananchi like many other rags wameprove kuwa na they're all un interesting,un informative, obsessed, irritating or lacking to some degree.

For arguments sake, kwa kukupasha tuu ni kuwa hakuna ndege inayoingia kwenye airpsace ya Tanzania bila kupewa approval na wahusika
Nchi inaongozwa na majambazi Ee Mungu ushuke utukomboe haraka tunaangamia.

Wakuu hakuna la kushangaza hapo kwa nchi yetu hii. Nakumbuka wakati ule wa biashara ya minofu ya samaki tetesi kuwa yale madege yaliyokuwa yanakuja kubeba masamaki yalikuwa yanasafirisha pia silaha kwenda kuua wenzetu Congo viongozi wa vyombo vya dola wala hawakujishughulisha (haifahmiki ni kwa kusudi au ni uzembe) mpaka alipokuja mzee wa mapanki Sauper ndio siri hadharani na kukanusha kwingi mpaka kiranja mkuu alikanusha na CCM wakaandaa maandamano ya kumpongeza kwa kukanusha eti kuwa hatuli mapanki na silaha hazipitii Mwanza.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni makini sana katika kuhakikisha ushindi wa kishindo wakati wa uchaguzi tuu,baada ya pale ni full kujiachia.

Watu waliokuja na ndege hii walikuwa/walidai kuwa wana pasi za kidiplomasia - wangeweza kuua Watanzania na tusingeweza kuwashtaki.

Siku nyingine wataingiza nchini wapiganaji wakujitoa mhanga na silaha mabomu na mazagazaga mengine,wanaweza hata kuiangamiza nchi ikiwa mtindo huu utaendelea,haiingii akilini sehemu kama KIA kwenye maafisa usalama lukuki tukio kama hili limetokea,inawezekana hata wao walishiriki katika uchafu huu.

waingize mara ngapi,al shabaab wanatamba huelewi mpaka leo silaha zatoka wapi??hao waarabu wamejaa hapo loliondo na ndege hizi zinaingia na kutoka lolote laweza kutokea mkuu,mpaka sasa nchi hatuna tusubiri tu kuporwa kwa jumla

392732148_edbb678882_o.jpg

Doha%20zoo%2002.JPG

251274_med.jpg

200902004.jpg

D935ED14B4DFFC87074F6F_Large.jpg

189383_206015876091673_100000497856163_809303_3620505_n.jpg

IMG_9265-6.jpg

na wanyama ndio hao washafikishwa huko wanashangaa shangaa tu "huku wapi"

Aiseeeeeeeee Inasikitisha sana

Hivi hizi bei wanazingatia kitu gani wanapowauza hawa wanyama nje? Mbona ni ndogooooooo sana hata kama ingekuwa ndege ilikuja na kuondoka kihalali .

• This is slave trade of wildlife
• Hizi biashra ni uhujumu wa uchumi na utalii wa Africa mashariki na afrika kwa ujumla
Angalia Serengeti national park version ya UK hapa hapa Safari Park - Longleat Safari & Adventure Park. Sasa kivutio kilichobaki cha ajabu ni Mlima kilimanjaro labda wakija mbugani wanakuja kushangaa wamasai na barabara za vumbi kama ni wanyama tayari hata huko kwao wapo

Wachina wanafanya nini Toka mwaka 1984?

........By 1984, however, pandas were no longer used purely as agents of diplomacy. Instead, China began to offer pandas to other nations only on ten-year loans. The standard loan terms include a fee of up to US$1,000,000 per year and a provision that any cubs born during the loan be the property of the People's Republic of China. Since 1998, because of a
World Wildlife Fund lawsuit, the U.S. Fish and Wildlife Service allows a U.S. zoo to import a panda only if the zoo can ensure that China will channel more than half of its loan fee into conservation efforts for wild pandas and their habitat.....

Soma habari kamili ya panda wa china hapa Panda diplomacy - Wikipedia, the free encyclopedia

Aiseeeeeeeee Inasikitisha sana

Hivi hizi bei wanazingatia kitu gani wanapowauza hawa wanyama nje? Mbona ni ndogooooooo sana hata kama ingekuwa ndege ilikuja na kuondoka kihalali .

• This is slave trade of wildlife
• Hizi biashra ni uhujumu wa uchumi na utalii wa Africa mashariki na afrika kwa ujumla
Angalia Serengeti national park version ya UK hapa hapa Safari Park - Longleat Safari & Adventure Park. Sasa kivutio kilichobaki cha ajabu ni Mlima kilimanjaro labda wakija mbugani wanakuja kushangaa wamasai na barabara za vumbi kama ni wanyama tayari hata huko kwao wapo

Wachina wanafanya nini Toka mwaka 1984?

Soma habari kamili ya panda wa china hapa Panda diplomacy - Wikipedia, the free encyclopedia

Sijui kama nani anaweza kuja na wazo la kukodisha ili kuingiza hela; nimeshangaa ati twiga mmoja ananunuliwa kwa elfu moja!

From PUDENCIANA TEMBA in Dodoma, 17th August 2011 (Daily News)

SOME 120 different live wild animals were illegally exported in a single consignment in November, last year, denying the government about 170bn/- in revenue.

The incident which occurred on November 26, also involved illegal exportation of 16 birds, according to the Minister for Natural Resources and Tourism, Mr Ezekiel Maige.

The minister said six traders were arrested in connection with the incident and their case was still pending at the Moshi Resident Magistrate's Court.

Moving his ministry's 2010/2011 budget estimates in the National Assembly on Wednesday, Mr Maige said the government is undertaking a coctail of measures to curb the problem which is denying the government substantial amount of revenue.

The measures, according to the minister, include formation of a task force to inspect sheds for animals and birds awaiting export to ensure that owners have adhered to the country's laws and regulations.

He said regular inspections would cover all 180 licensed traders of live wildlife.

He said the ministry was working closely with international bodies such as the Convention on International Trade in Endangered Species (CITES) and the Lusaka Agreement Task Force (LATF) to see if ministry officials were involved in the scam and take appropriate action.

Likewise, he said, trading licences of the suspects have been revoked, intelligence, security and inspection have been stepped up at KIA where the contraband was loaded in a Qatari military cargo aircraft.

The minister added that a permanent game warders' post has also been mounted at KIA.

The Chairman of the Parliamentary Committee for Land, Natural Resources and Environment, Mr James Lembeli (Kahama - CCM), expressed concern over failure of the government to take the committee's recommendation to recover the animals and birds, leading to a loss of the 170bn/- in revenue.

He said the stolen animals included four giraffe. This, he added, was against the wildlife regulations that bars foreigners from exporting live wild animals.

The Shadow Minister, Rev Peter Msigwa (Iringa Urban - Chadema) called for legal and disciplinary action against former Permanent Secretary and the Director of Wildlife in the ministry, Mr Ladislaus Komba and Erasmus Tarimo, respectively.

He also questioned measures taken against the former Minister, Ms Shamsa Mwangunga, for causing a 19bn/- loss to the government for turning down TANAPA's proposal for charging fixed rate concession fees for hotels in the game reserves.

Current hotel concession fees in the game reserves, he said, was between US$8.0 to US$10 per person per day, compared to US$50 charged in camps.

Meanwhile, Mr Maige said 18 people were killed by wild animals during the 2010/11 financial year. He said the killings were reported in Chunya, Kondoa, Mbozi and Iringa Rural districts.

He said 37.1m/- was paid to 371 farmers whose 5,390.7 hectares of crops were destroyed by wild animals in Loliondo, Korogwe, Morogoro, Siha and Iringa Rural districts.

In efforts to control destructive animals from destroying the farms, the ministry in collaboration with other stakeholders conducted patrols in 13 districts. They were also trained on mixing pepper with oil to ward off destructive jumbos.

In the efforts to fight poaching, the ministry acquired more vehicles, tents, uniforms, arms and provided special intelligence training to its wardens.

He said 1,370 poachers were netted with 171 different types of firearms and 466 cases opened in court against them of which 239 have already been decided.

He said 145 offenders were jailed between six months and 30 years, while 79.2m/- was paid in fine.

The minister asked 57.7bn/- for recurrent and development expenditure.

My Take:
Swali bado linabakia ndege ya jeshi ya Qatar iliwezaje kutua nchini kuchukua wanyama na kuondoka bila vyombo vyetu vya ulinzi kujua?

Na hili nalo jipya!!hutasikia waziri maliasiri,ulinzi wala usalama wa taifa kutolea tamko kwa kujidai kesi iko mahamakani,,aibu sana ile rada,_salama wa taifa wamejaa kila kona wanafanya nini sasa au wanamsubiri Mbowe na Slaa wawakamate??aibu sana usalama ulikuwa zamani siku hizi nao wapiga deal tu na hawajui wajibu wao wananunulika tu!!!aibu serikali ya fresh fresh funika lipite style
kukaa kwenye mabaa kula na kunywa huku wakisikiliza nani anamsema vibaya Jk na wafuasi wake ili wampakazie kesi

Duuuuh ipo siku tutakosa kabisa wanyama hapa kwetu jamani!!! watalii watakua wana kwenda nchi za nje kuchek wanyama badala ya tz, tutamkumbuka Baba wa Taifa nyerere!!! wengine wote walio baki na MAFISADI WANAO UZA NCHI YETU. je kizazi chetu watabakije?? Migodi yetu tumenyanganywa now ni wanyama wetu.. KIKWETE MUNGU AKUWEKE HAI ili uje ujionee wakati TANZANIA ikiwa haina kichwa wala MKIA .... ujute na kumlilia Mungu wakati huo.

My Take:
Swali bado linabakia ndege ya jeshi ya Qatar iliwezaje kutua nchini kuchukua wanyama na kuondoka bila vyombo vyetu vya ulinzi kujua?

Si ulisema walikuwa na diplomacy pass! Sasa kuna kingine kipi? Kama hilo sio jibu, vipi mtu ampigie Mbowe, au huyo Rev Peter Msigwa na kumwambia aweke swali bungeni?!

Alafu hii thamani ya wanyama ni nani anachagua? How do you value a giraffe? Kwa nini wasiweke value ya mmoja kuwa Tsh1 bil, tupate pesa za kujenga nchi? bongo bwana....

We have a long way to go! Mimi ndo maana saa nyingine huwa nafikiria JKT bado tunaihitaji kwa ajili ya kulinda nchi yetu na maadili ya taifa letu.

Itakuwa jambo mhimu sana vijana wote kabla ya kujiunga na vyuo mbalimbali kupitia huko na kuweza kufundishiwa uzalendo, mshikamano na kuwa na uchungu wa dhati.

Watu wengi tena watumishi wa umma, leo hii hawawezi kufanya kazi kwa ajili ya kuendeleza taifa isipokuwa wanashindana kuibia taifa kitu ambacho huwafanya wakose hata ubunifu wa kuongeza ufanisi kwenye kazi zao.

hao wazee wetu wanaoendesa ufisadi sasa wote wali mazao na matunda ya JKT, hata unafiki na ubinafsi uliotalamakai miongoni mwa jamii ya watanzania ni mazao na matunda ya JKT

Siku wakipata nafasi ya kubeba na mlima Kilimanjaro, wallah watabeba...na hata hao watu wa kuwapa huo mlima wala hawatakosekana!

Hapa siamini tu kuwa ni hao. Hii ishu nafikiri kuna wengine wengi wamo but wanafichwa tu. Hivi JK halioni hilo?

na wanyama ndio hao washafikishwa huko wanashangaa shangaa tu "huku wapi"

mkuu picha zinanihuzunisha sana. Watz twateseka kumbe watu wanafaidi tu.

Back
Top Bottom