Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 920
- 2,635
Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.
Watanzania wenzangu tukatae sasa kila rasilimali za nchi hii kupewa Waarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe Oman? Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.
KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua!