Na kwa walioko kwenye ndoa, mbona asante itakinai sasa! Kwa bf na gf friend inaweza leta maana fulani, lakini kwa wanandoa napata kigugumizi kidogo ........
mweeeeeee, chamecha monowamaNiache kuwaza ng'ombe wangu wameishiwa majani , niwaze asante?