Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

sisi kwetu Usukumani, mwanamme akinogewa sana na kale kamchezo akikaribia ejaculation analia kwa sauti kisha anamalizia na 'wabeja sana' yaani asante sana. Kaaazi kweli kweli! Siku hizi tumeacha hiyo kitu.
 
Kama kweli umefurahishwa haijalishi ni me/ke neno asante hua linatoka automaticaly..
 
ni wote mnatakiwa kupeana shukrani kwani tendo haliko kwa mtu mmoja na hasa kama kila mmoja karidhia kwa mwenzake
 
ha ha ha, hii ndo JF,mwanaume niseme asnte wakati nimepunguza siku za kuishi mwanamke ndo aseme asnte!!!!!!!!!!!!!!!
 
wote tuseme asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mojawapo ya siri ya mahusiano ni kutosubiri mwenzio afanye........ Wote wawili mnaweza kuambiana asante....
 
Na kwa walioko kwenye ndoa, mbona asante itakinai sasa! Kwa bf na gf friend inaweza leta maana fulani, lakini kwa wanandoa napata kigugumizi kidogo ........

Waambie wasijihusishe kwenye chakula cha wakubwa kama hawajaoana hao unaowaita bf na gf.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Ukisikia ahsante ujue hujufanya lolote zaidi ya posho ulotoa, baada ya tendo hilo dem asiposinzia najudharau sana.
 
Sijui kwa upande wenu lakini kwangu huwa watuambiani asante,yaani kama mwenzako kakufikisha huwa tunasifiana tu mwisho wa mechi!!
 
Kushukuru hasa baada ya tendo la ndoa ni jambo jema haijalishi iwe mwanamke au mwanamme wote mnapaswa kumshukuru mwenza wako kwa kazi nzuri na mapenzi moto moto aliyokuonyesha siku hiyo. Kwa kufanya hivyo kutamtia moyo mpenzi ujasiri mpenzi wako na moyo wa kukupa mapenzi moto moto zaidi ya aliyokupa mara ya mwisho.
 
Anaepokewa mzigo aseme asante au yule anaepokea zawadi;->
atakaeridhika kwa kupunguziwa mzigo atashukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom