Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!!

Mengi dada zangu wamesha sema ila kuna moja kwangu ni muhimu:
Kucha! Lazima ziwe neat, cut to the minimum and pinkish in color
getty_rf_photo_of_man_using_nail_brush.jpg
 
Mi ntaandika turn off moja tu

SIPENDI mwanamke mwenye KITAMBI yani hata kama ni siti kwenye gari ntakuhama! Mi mwenyewe sina kitambi ndo demu wangu awe na kitumbo?NO WAY
 
unajua aisee bora sikuzaliwa siku hizi, nahisi nisingeyaweza maisha aisee.
to me niliangalia tu ile body cleaness basi, tulipojuana ndipo nikaanza kuangalia mambo ninayoyataka basi. sasa kwan unyunyu si naweza mnunulia niutakao? ama kiatu?

factor hapa niliyoiangalia zaid ni hisia je ana hisia za kweli za kimapenzi zenye upendo ndani yake ama ni za kimapenzi zenye tamaa ya ngono tu? thats why niliolewa na mwanaume ambaye tulilala chini na kuish nyumba ya udongo.

Hapa sasa wewe gfsonwin umeandika kama sie wenzio wa enzi hizo...

Vijana wa sasa hivi wanasumbulia na vitu vidogo hata picha tu zinawapelekesha....

Hii inatufaa sie na akina @FP....

Ila kwa vile ujana ni maji ya moto...wakikua watajua tu kwamba haya mambo mengine ni tempo!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mie awe mrefu, maji ya kunde au mweusi, mtanashati hata kama hajatupia kitu cha designer but awe smart anayejua kuvaa. sio kuvaa hovyo maadamu kaficha u.ch. asiwe muongeaji sana ama mkimya sana. hapa naweza shawishika!
 
Hapa sasa wewe gfsonwin umeandika kama sie wenzio wa enzi hizo...

Vijana wa sasa hivi wanasumbulia na vitu vidogo hata picha tu zinawapelekesha....

Hii inatufaa sie na akina @FP....

Ila kwa vile ujana ni maji ya moto...wakikua watajua tu kwamba haya mambo mengine ni tempo!!

Babu DC!!

bwana wee!we acha tu humu kuna madesigner,sijui asiwe na kitambi,na mambo kibaoooo!ila ndo hivo tena!
 
wee babu, kwani wafikir wanahitaj kufundishwa hawa? watakutambua baadae sana kwamba aspect ni moja tu nayo ni utu wa ndani zaid kuliko wa nje.

niliwah kuambiwa na mama mmoja mtu mzima sana katika stori za k,ijiwen hivi uzuri na usmart wa mwenza unaliwa? jibu nikasema hapana , akauliza tena kitandan anapanda na nguo zake zikiwa zimetoka kwa dobi na viatu vya gharama nikasema hapana ndipo aliponiambia kinachomlala mwanamke ni utu wa ndani wa mwenzi wake basi haya ya nje yote unaweza ukayatengeneza ila ya ndani huwezi.

na nilipochunguza nikagundua kwamba ni kweli manake utu wa ndani wa mwenza ukiwa mkamilifu basi ni dhahiri kwamba utamkubali na utampenda.
 
Unalosema ni kweli, ila mtu ndo mmekutana ghafla bin vuuu kwenye haice, sasa utu wake utaujua saa ngapi na hapo unatakiwa utoe namba au uibane.! Kuna aspects za kwanza kabisa kabla mtu hajafunua kinywa unajua namba natoa au piga ua namba sitoi.
 
Kitu kinachovutia utakijua tu. Ndiyo maana hata watoto wadogo wana likes na dislikes zao. Pamoja na kuangalia mambo ya nje, muhimu ni kuwa na package yako ya ndani ambayo huwezi ku-compromise hata ukiwa mbele ya AK47!
 
bwana wee!we acha tu humu kuna madesigner,sijui asiwe na kitambi,na mambo kibaoooo!ila ndo hivo tena!

Hahhaaaaa! Kusema ukweli kuna jinsi tu mtu alivo anakuturn off automatically, no matter how nice he is to you, the best level anaweza fika ni UZOMBIIII! Hata anifagilie bahari nipite,im jst not that into him!!!! Na kuna mtu unamkuta HOOOOOOOOOOOT!!!!!!!!!SSSSSSSSSSSSSSSHHHHHHHHHHH! No matter how rude he is to you, Hata game ya kirafiki unampa tu! LOL! Hiyo ndo kitu inaitwa MVUTO!! (Special kwa mabechelor tuuuu! lol!) Ukiolewa/kuoa unapoteza all your mvuto rights na kutakiwa kustick by the book forever!!!!
 
Kitu kinachovutia utakijua tu. Ndiyo maana hata watoto wadogo wana likes na dislikes zao. Pamoja na kuangalia mambo ya nje, muhimu ni kuwa na package yako ya ndani ambayo huwezi ku-compromise hata ukiwa mbele ya AK47!

Hahahaaaaa! Babu wanaume wetu wa kichina hawa fekerooo fekeroooo mwanzo mwisho. Jitu linajiektisha jemaaa, bonge ya gentle man kumbe daznundaz hatari. Kuligundua inakuchukua 2 years. Bora hata kama ulimpendea mvuto itakuwa kuna vitu umenjoy hizo 2 yrs of being a looser. Ila ndo kama ulijali internal waweza kunywa sumu kujua all these 2 yrs you were living a lie.!!!!!!!!!!
 
wee babu, kwani wafikir wanahitaj kufundishwa hawa? watakutambua baadae sana kwamba aspect ni moja tu nayo ni utu wa ndani zaid kuliko wa nje.niliwah kuambiwa na mama mmoja mtu mzima sana katika stori za k,ijiwen hivi uzuri na usmart wa mwenza unaliwa? jibu nikasema hapana , akauliza tena kitandan anapanda na nguo zake zikiwa zimetoka kwa dobi na viatu vya gharama nikasema hapana ndipo aliponiambia kinachomlala mwanamke ni utu wa ndani wa mwenzi wake basi haya ya nje yote unaweza ukayatengeneza ila ya ndani huwezi.na nilipochunguza nikagundua kwamba ni kweli manake utu wa ndani wa mwenza ukiwa mkamilifu basi ni dhahiri kwamba utamkubali na utampenda.
Hii ni lugha yetu wenyewe da gfsonwin. Wengine hawawezi kutuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Kitu kinachovutia utakijua tu. Ndiyo maana hata watoto wadogo wana likes na dislikes zao. Pamoja na kuangalia mambo ya nje, muhimu ni kuwa na package yako ya ndani ambayo huwezi ku-compromise hata ukiwa mbele ya AK47!

babu hebu muulize lara 1 kwamba hajawah kuskia mtu kaolewa ama anatoka na mtu ambaye watu hawakurajia? unafkiri waliangalia nini? internal package matters a lot tena hii mihemko ya vuu haina mpango kwa mtu ambae yuko deterministic, unless kama intention ni ya kufunguliwa wallet kisha kusepa ila kama ni life mate indeed haya yote alosema ni ubatili
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, ninyi mwataka sie tulio oa tutafute nyumba ndogo, siyo?

hapana haimaanishi hivyo.....ila kama umeshaoa ina maana kuna vigezo tayari alikuvutia toka siku uliyomuona mara ya kwanza mpaka ukaamua chukua jiko ndani...................ndo walichouliza hapa kitu kani kilikupagawisha sasa ulipomuona mkeo kwa mara ya kwanza
 
Hahahaaaaa! Babu wanaume wetu wa kichina hawa fekerooo fekeroooo mwanzo mwisho. Jitu linajiektisha jemaaa, bonge ya gentle man kumbe daznundaz hatari. Kuligundua inakuchukua 2 years. Bora hata kama ulimpendea mvuto itakuwa kuna vitu umenjoy hizo 2 yrs of being a looser. Ila ndo kama ulijali internal waweza kunywa sumu kujua all these 2 yrs you were living a lie.!!!!!!!!!!
Kama huna dream package basi unaweza kupoteza miaka zaidi ya hiyo 2 & it is a fair pay kwa huo ulofa. Vinginevyo itakuwa ni miaka iliyotendewa haki kwa kuyaponda maraha, ya kule ikulu au ya kufurahia kucheza na sanamu!
 
babu hebu muulize lara 1 kwamba hajawah kuskia mtu kaolewa ama anatoka na mtu ambaye watu hawakurajia? unafkiri waliangalia nini? internal package matters a lot tena hii mihemko ya vuu haina mpango kwa mtu ambae yuko deterministic, unless kama intention ni ya kufunguliwa wallet kisha kusepa ila kama ni life mate indeed haya yote alosema ni ubatili

Mimi bado nabisha!!!! INTERNAL PACKAGE LAZIMA IWE DIRECT PROPOTIONAL TO EXTERNAL PACKAGE!!!!!!!!! LAZIMA!!! Hata internal iwe vipi, kama external ni nehi nehi, aah wapi! Tendo la ndoa lazima liwe na hisia na mvuto, hisia na mvuto = external package!!! Vinginevo mtu ana mume bora kabisa duniani ila ndo full kutoka nje kutafuta mridhisho (external package)
 
mdogo wangu wa mwisho lara 1 external factors can be created, jamani. kama mwenza hajui kuvaa unawea kumvesha akatoka bomba, kama hana madini unaweza kumvesha ila kama hana upendo wa kweli huwez kuutengeneza kubali.

labda nikwambie kitu,
ni ushuhuda wa kweli, niliolewa na college std mwenzangu ambaye hakuwa hata na hela ya unyunyu, boom ikitoka ndo mpange iyo iyo kununua godoro na iyoiyo kula, tulipanga chumba cha hadhi ya chin savei cha udongo kiko kama choo, but you know what kwakua niliijua hali yetu kiuchumi niliepuka sana kukaribisha friends kwangu, ili wasije kunifanya nikachukia yale maisha ama nikajiona sifai ama simpendi,ila nilijitahd sana kufua hilo shati na tshirt moja kila siku ili asinuke jasho basi.

but what kept me in ni, his true love and respect na sikujua kama kuna watu wako kama yy manake sikumfananisha na yyte yule. so hata kama nina friend ambaye ana hubby yuko matawi to me bado nilimuona wanu is above him na ukweli with struglin and faith tulifanikiwa sana tu kimaisha to the extent ya kumake histry. sikatai alinitenda but he came back kwwani tuliko pita palimkumbusha mengi sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom