Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!!

Mkuu Mwita Maranya Kuna watu kutokana na background zao huwezi kuwamould wala kuwashape, utakesha!sasa kwanini utumie nguvu kumshape mtu ilhal waweza pata mwenye features unazohitaji?
 
Last edited by a moderator:
wewe umeharibu kila kitu
ungeacha tu humu wadanganyane lol
wazidi ingia mkenge lol...
kwanza mwanaume akiwa very smart
ni lazima awe na mke au mwanamke wa kuishi nae...
huwezi kuwa mwanaume single halafu uko so clean and so fresh...unless you are gay lol

Mmmmmmmmmmmmmmh!
 
Tuache masikhara nilichogundua kwenye kitu ambacho wadada wanakosea bila kujijua ni kuangalia external factor huku wanataka mtu anaeweza kumudu majukumu,, hapo ndo kina sisi wavaa tai na travota daily tunatake advantage.. Wakati kiukweli watu wenye mishe za kueleweka na walio busy kiasi hata ukitoka nae hana muda wa kutafuta mwingine ni watu walio kwenye shughuli za operations as, kwenye oil and gas companies, bandarin, engineers, telecom subcontractors na wengineo but tatizo wanakuwaga sio smart as nature ya kazi zao za kuvaa safety boots and overall unakuta zimeshawaaathiri kisaikolojia.. Ukikutana nae juu kwa juu unasema jamaa yupo lafu kumbe account na mishe zake ni mamilion daily..

Kazi zetu wengine za kufanya kwa clients ofisi tofauti so unajuana na watu, kuna kipindi nilikuw kwenye assigment TICTS yaani unakuta mtu anakuja kazini yupo rafu rafu wengine hadi na overall but wanakuja na gari za kufa mtu na hela ipo kweli kweli.. Ukiuliza mbona wanakuja hivi kazini, wakanijibu wote wanaendesha private car sasa nani anatuona kama tupo rafu na huku kazi zetu ni zakuwa kwenye mavazi haya... Sema waliooa wanapendeza sana as wake zao wanawapendezesha, overall wanakuja kuzivalia ofisini ila wale ma bachelor mtu anatoka na overall na safety boot toka home na x trail yake safi akishuka utacheka

Jaribu kuchunguza uone... Wadada wanahangaika na wapiga unyunyu tu wanaishia kulizwa daily, hata akiolewa maisha magumu ndoa haiendi... Kisa aliangalia u smart wa mavazi na ki toyota cha mkopo

Sio wote wenye hela wamechumia juani!!! Wengine za kurithi atiii !!!LOL! Sasa yule mtoto wa mengi utamkuta na overall?
 
interesting....indeed...


halafu hilo la saa
sijui upo dunia ipi?
with cellphones wengi tushasahau kuvaa saa lol

Weweee saa wanavaa watu wanaoenda meeting na vikao ambavo huwezi toa jisimu lako na kucheki mada!!! LOL! Ila kiukweli mi saa nazipenda tuuu, hasa nione mwanaume kaivaa! lol! Hata ya plastic ili kiganja kisiwe kitupu!!!! Usiku ile sehemu mkanda wa saa unapita si panakuwaga na kama alama ya mpauko basi mie--------------------- acha tu! lol!
 
Weweee saa wanavaa watu wanaoenda meeting na vikao ambavo huwezi toa jisimu lako na kucheki mada!!! LOL! Ila kiukweli mi saa nazipenda tuuu, hasa nione mwanaume kaivaa! lol! Hata ya plastic ili kiganja kisiwe kitupu!!!! Usiku ile sehemu mkanda wa saa unapita si panakuwaga na kama alama ya mpauko basi mie--------------------- acha tu! lol!


We sema unapenda saa lol
ukija mjini na treni...vitu kama saa,baiskeli..ni muhimu lol
 
Sio wote wenye hela wamechumia juani!!! Wengine za kurithi atiii !!!LOL! Sasa yule mtoto wa mengi utamkuta na overall?

Mtoto wa mengi hawezi kuwa single as single...lol
wapo watu wanam take care...lol
 
Aaaaaah! Mwita nzaiona SIX PACK hapo kabisa kwenye hiyo picha!!!!!!! Au hutaki kusumbuliwa na PM hivo unajiharibia LOL!

Acha uongo wewe wakt mama Robi anakupendaga ulikuwa mrefu hivo hivo! May be ulikuwa wakuja ila mvuto wa kuzaliwa ulikuwa nao. Mi sipendi uongo, kama I DONT LIKE WHAT I SEE ON THE OUTSIDE I WONT BOTHER TO SEARCH THE INSIDE!!!! Period!!!!!!!!!!!! Mi sijui nyie how you manage ila haiingii akilini kupiga game na mtu ambae hanivutii on the outside kisa he is Super nice on the inside!!!!!!! Anhaha! Badoooo! I must like what i see! Ningekuona kwenye GWANDA maybe ningekupenda, guy look hot in those uniforms!!! lol! (Najipendekeza jst incase the impossible happen mkashinda 2015 lol)


Hahahahaha... Kama umeziona six pack kwangu na umevutiwa karibu PM mimi sina tatizo na wewe, aijyaijyaijya nani asiyepende unused!!? lol

Kwa mtazamo wangu naona kama tunachanganya mambo mawili.

Kuna suala la mtu kujiwekea sifa za demu/men anayetaka kuwa naye, na kuna hali ya mtu kumpenda ama kuvutiwa na mwanamke/mwanaume kwa kadri macho yake yalivyovutiwa. Kuna watu wana mivuto ya kuzaliwa wala hawahitaji msaada wa wachina, ukimuona tu moyo unakuend mbio...!!!

Ukishajiwekea sifa fulani ndipo unajikuta kabla hujafikia uamuzi wa kumpa namba ya simu ama kumbania unalazimika kumfanyia tathmini uone kama ana-meet hivyo vigezo vyako. Sasa umkute mtu katengenezwa na mchina unajisemea yes mtu ndio huyu, lakini kuja kutahamaki unaishia kujilaumu.

Kuna mtu unamuona smart kwa vigezo ulivyojiwekea lakini siku mkikutana nae kupiga game, mkishavuana nguo tu baaaaaasi hutamani hata kujuana nae tena baada ya hapo.
 
We sema unapenda saa lol
ukija mjini na treni...vitu kama saa,baiskeli..ni muhimu lol

Hahahaaaa! Kwa hiyo na KAMPUNI ZA MAREKANI, NA ULAYA saa watutengenezea sie tuliokuja mjini kwa baiskeli? Mbona closure and liquidation due to continuous losses inawanyemelea!!!!!!!!!!
 
Mtoto wa mengi hawezi kuwa single as single...lol
wapo watu wanam take care...lol

Any UNMARRIED MAN IS SINGLE AND AVAILABLE!!!!!!!!!! Hapo ni sie tu kutoana roho wenyewe kwa wenyewe. Wa kwa babu hayaaa, wa kwa wachina hayaaa, wa kanisani hayaaaa. Chezeya survivor of the fittest!!!!!!!!!!
 
Hahahaaaa! Kwa hiyo na KAMPUNI ZA MAREKANI, NA ULAYA saa watutengenezea sie tuliokuja mjini kwa baiskeli? Mbona closure and liquidation due to continuous losses inawanyemelea!!!!!!!!!!


saa,vhs tapes,mikanda ya camera,
soon hata dvd tapes zitakuwa in museums...lol

wewe itabisdi uende ku date Shinyanga kuwapata wavaa saa LOL
 
Mkuu Mwita Maranya Kuna watu kutokana na background zao huwezi kuwamould wala kuwashape, utakesha!sasa kwanini utumie nguvu kumshape mtu ilhal waweza pata mwenye features unazohitaji?

Hapo kwenye kutoshepika unazungumzia internal factors au sio Ciello? siamini kwamba kuna mtu atashindwa kushepika kwa external factors mathalani nguo, viatu, unyunnyu na sifa nyengine kama alivyozitaja lara 1.

Unadhani inakuwaje sisi mafundi mekanika tunapata wanawake wazuri wakati 18 hrs tumevaa minguo michafu michafu? Kutana nasi sasa kwenye anga nyengine unakuta mtu amelipuka hadi unamsahau.
 
Last edited by a moderator:
Well said Mura!

Kwenye RED:what attracts you at the first time you meet her brother,bila shaka appearance ina mattter sana...

BLUE: naung mkono 90% lakini atleat awe na kamvuto flani hivi....hata kumtambulisha somewhere uwe na confidence!!

Moghaka wapo wanawake wafupi lakini wazuri sana wanavutia machoni lakini kwakuwa wewe ushasema hutaki mfupi hata kama atakuwa mzuri kiasi gani huwezi kumpenda as long umeshajiwekea vigezo vya mwanamke unayemtaka.

Mvuto unakuja wenyewe tu naturally, i mean si lazima kinachokuvutia wewe kinivutie na mimi. Tatizo kubwa kwa vijana wa siku hizi tunatafuta mademu/vidume ili kuwalingishia wenzetu sasa hapo wengi wanaishia kupata wapenzi waliotengenezwa na wachina. Kwa hali kama hiyo ndipo watu wanakuwa too selective kwa kuangalia zaidi external factors.

Kama mwanamke amekuvutia kimapenzi wewe mchukue hizo external factors ambazo unaona zinalack unaweza kumuwezesha akawa nazo. Mambo ya viatu, pamba, unyunyu, saa, sijui madini whatever you wish, vyote vinapatikana madukani.
 
Color Na Kifua
KIFUA.JPG
 
Kwenye hili la saa kweli umeniacha hoi sana!

Hahahaaaa! Kwa hiyo na KAMPUNI ZA MAREKANI, NA ULAYA saa watutengenezea sie tuliokuja mjini kwa baiskeli? Mbona closure and liquidation due to continuous losses inawanyemelea!!!!!!!!!!
 
Jamani sijui mimi niko tofauti na nyie I never look on externals I am relationship na mtu ambae imetokea tu kwa sababu ya tabia yake hiyo relation ikalast kwa miaka saba hadi ilipovunjika mwaka huu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom