Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!!

mimi bana macho yangu hushikwa mara ya kwanza kabisa na uwiano uliopo kati ya kifua cha binti mpaka maeneo ya nyonga yake!kifua cha wastani(navopenda hapa naweza kulala hata hapohapo kama nae ni mbov humo),mkato wa kishikaji tumboni mgawanyo sawia wa nyonga yake(ya wastani tu).nikiridhika na hapo sasa kichwani kwake ndo kutafuata,make up ikizidi hata kidogo tu hakyanani siombi namba(kwangu namuona atakuwa feki tu kotekote).ninapenda nywele sana so sipendi wanaosukasuka hadi mi nashindwa kuzichana kwa vidole bana.uwiano wa kifua na nyonga yake utaniambia tu 'amejibebaje' maeneo ya nyuma.makalio ya wastani ndo mpango ili mbio zetu ziende sawa kwenye mambo fulani!bada ya hapo nitamsogelea na kusikia ananukiaje(sio lazima iwe kitu cha designer,hata kama hana kitu,iwe natural odor nzuri(kwapa linaweza kuua jamani!).halafu mavazi ndio yanafuata sasa,alichotupia kinafanania mazingira!!?kama kwenye basi afu kajitupia duksi la hatari nitajua tu huyu wa"hamu",siombi namba!mpaka hapa nakuwa karibu sana kuomba namba,inabaki tu atajibu nini/vipi/namna gani nitakapomsalimu.sipendi miashuo ya kike ya kike iliopitiliza au majibu yanayokwambia kwa siri "at mya parent's house,bedroom yangu iko ghorofa ya pili kushoto iki-face bahari!".ni hayo tu dadake..mengine kwangu yanaongeleka!
 
1. Lazma awe smart kichwani,physcally na kimavazi pia sio sharo au mwenye wave kichwani na lips shines noooo!!!.
2.Lazma awe tall.
3.Lazma anukie vizuri there naweza kuwa tempted kutoa namba
4.First maneno pia yatadetermine kama anafaa kupewa namba.
 
Me chichemi, acha picha iongee...
flat-tummy.jpg
 
ah mie bwana i want my lady to be all alluring and beautiful. Yaani kama kunavitu i pay attention ni vidole. Atakuwa ananishaka na kunipet pet navyo so i shuld be happy to be touched by them na hamna kitu napenda kama mwanamke ana kucha nzuri alafu hapaki rangi but just polishes them na unaona uzuri wake sasa imagine her touching my balls with that hand...yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kaka yangu umeandika kihisia lol! Nakuona ukifeel what you are saying
 
Hahahaaaaaa! We mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! (Hapo namba 8 umeniacha hoi, hadi kucha zahusika? sasa zikiwa ndefu si zinaonesha bi dada anashinda kwenye tv hafanyi kazi yoyote?)
yeye anachotaka ni kumtoboa tu na sio kumfanyisha kzi ingine.
 
Mmmh!Kongosho hata sisi GRUMPY OLDMEN na mikunjo usoni tuna nafasi?Ngoja nikutafuta anga zako niombe number........Ha ha ha ha ha

unajua aisee bora sikuzaliwa siku hizi, nahisi nisingeyaweza maisha aisee.
to me niliangalia tu ile body cleaness basi, tulipojuana ndipo nikaanza kuangalia mambo ninayoyataka basi. sasa kwan unyunyu si naweza mnunulia niutakao? ama kiatu?

factor hapa niliyoiangalia zaid ni hisia je ana hisia za kweli za kimapenzi zenye upendo ndani yake ama ni za kimapenzi zenye tamaa ya ngono tu? thats why niliolewa na mwanaume ambaye tulilala chini na kuish nyumba ya udongo.
 
eheheee mimi napenda tu asiwe mdau wa
shakebutt.gif
maana wanaume wa siku hizi wengi wafumua marinda nasikia

hahahahahhh................jamani nimecheka sana mdogo wanu wa moyoni lol!
sasa huyu utamjuaje? at first glance?
 
eheheee mimi napenda tu asiwe mdau wa
shakebutt.gif
maana wanaume wa siku hizi wengi wafumua marinda nasikia
smile.ahhhaaaaaaaaaaa ahaaaaaaaaa,sile umenifanya bosi amegundua naangalia jamii ofisini sababu nimeshindwa kukidhibii kicheko changu.duuuuuuuuuh

 
ahahaaaa eti hiyo siku ya kwanza unataka unioneje?


Mmmh Smile jamani sasa mnyamwezi mimi ukiniona sikuongea na mimi hutataka,kiatu chenyewe size 14 cha kuchongesha,suruali size 48 ya kushonesha,utanipa number kweli?

Napenda awe na WEUSI WA JONGOO,amevaa simple kutokana na mazingira yenyewe tulipokutana,sipendi make-up ziwe nyingi,kifuani patosheleze,usafiri muhimu sio njiti zafagio,backside? woooh ya kibantu.

Wewe je mdogoangu?
 
hahahahahhh................jamani nimecheka sana mdogo wanu wa moyoni lol!
sasa huyu utamjuaje? at first glance?
utawajua tu hata kwa miandiko yao humu jf mi
shakebutt.gif
siwezi kukubali lifumuliwe milele niende jehanamu mie
 
hii sio joke msichana ninayempenda mimi awe kama huyo anayeonekana kwenye avatar ya smile.namaanisha toka moyoni.
 
Back
Top Bottom