Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!!

Ni nacho jua wengi tuna danganywa na macho ndio maana watu wana kutana siku mbili baada ya mwezi ndoa, mwisho wa siku ni vilio.
Ukimuuliza" utasikia lakini unge muona alivyo kuwa ana vutia usinge dhani kama ange fanya haya" haya yote yana letwa na kuangalia nyuso ndio maana ndio za sikuhizi ni vilio tu kila hiitwapo leo.
Mimi naamini sana kwenye swala la tabia njema na ndicho kipaumbele changu cha kwanza na ninaamini mtu ataficha vyote lakini tabia haina dawa utaijua tu.

Kuna mtu ata ukikutana nae siku ya kwanza unaweza ukafanya investigation na kujua ni mtu wa aina gani japo kwa ufupi.

Haya mambo ya kuangalia sura nzuri au umbo yanaendelea kuwaliza wengi kila leo.
 
mdogo wangu wa mwisho lara 1 external factors can be created, jamani. kama mwenza hajui kuvaa unawea kumvesha akatoka bomba, kama hana madini unaweza kumvesha ila kama hana upendo wa kweli huwez kuutengeneza kubali.

labda nikwambie kitu,
ni ushuhuda wa kweli, niliolewa na college std mwenzangu ambaye hakuwa hata na hela ya unyunyu, boom ikitoka ndo mpange iyo iyo kununua godoro na iyoiyo kula, tulipanga chumba cha hadhi ya chin savei cha udongo kiko kama choo, but you know what kwakua niliijua hali yetu kiuchumi niliepuka sana kukaribisha friends kwangu, ili wasije kunifanya nikachukia yale maisha ama nikajiona sifai ama simpendi,ila nilijitahd sana kufua hilo shati na tshirt moja kila siku ili asinuke jasho basi.

but what kept me in ni, his true love and respect na sikujua kama kuna watu wako kama yy manake sikumfananisha na yyte yule. so hata kama nina friend ambaye ana hubby yuko matawi to me bado nilimuona wanu is above him na ukweli with struglin and faith tulifanikiwa sana tu kimaisha to the extent ya kumake histry. sikatai alinitenda but he came back kwwani tuliko pita palimkumbusha mengi sana.

Duuuuh! Tichaa! Yaani roho imeniuma sanaaa (for 2 seconds) kwa kumkumuka wa kuja flani niliemkataaga chuo japo now yupo BOT!! lol! I realy wish i had lived in a world people like you live, ila wewe ni mmoja uliebahatika! Halafu wewe huyo bwana shemeji ulimpenda tu, itakuwa alikuwa analipa ila ndo jua kali, that is understandable! Ila mimi nalokataa mtu unapenda wanaume wa haja, tall, sixpack eeeh, alafu ukutane na mtu mfupi ana internal package!!! Hailipiii! Hawezi kurefuka! Hata kwa bed itakuwa unaimagine uko na John Cena kuvuta stimu. EXTERNAL PACKAGE IS ESSENTIAL!!!

Mjadala tuuache pending, manake tugusa hisia za watu hapa, na kuleta mtafaruku, tusije kupasuka bure!!!!!!!!!! LOL! Mwenyewe Dongo la Flat Tummy Lilirushwa gizani ila Limenipata Sawia kwenye paji la uso. LOLEST!!!!
 
Ni nacho jua wengi tuna danganywa na macho ndio maana watu wana kutana siku mbili baada ya mwezi ndoa, mwisho wa siku ni vilio.
Ukimuuliza" utasikia lakini unge muona alivyo kuwa ana vutia usinge dhani kama ange fanya haya" haya yote yana letwa na kuangalia nyuso ndio maana ndio za sikuhizi ni vilio tu kila hiitwapo leo.
Mimi naamini sana kwenye swala la tabia njema na ndicho kipaumbele changu cha kwanza na ninaamini mtu ataficha vyote lakini tabia haina dawa utaijua tu.

Kuna mtu ata ukikutana nae siku ya kwanza unaweza ukafanya investigation na kujua ni mtu wa aina gani japo kwa ufupi.

Haya mambo ya kuangalia sura nzuri au umbo yanaendelea kuwaliza wengi kila leo.

Maneno KUNTU haya uliyoyasema!!!!! TUNALIAJE!!!!!! Uso ukikauka Machozi tu unaanza kuchungulia mahandsome wako wapi!!! Sikomii! LOL! Tuombee tu pepo la uhandsome na vijungu litutoke!!!!!

Na masela na mashosti muache kuchongaaa, "mwanaume kapata ila tusemage ukweli HUYU BWANA HARUSI MBAYAAA!! Watoto sijui itakuwaje!!!" Inahuuuu!!? Aihusu wajameni, wakwenu yuko wapi?
 
Na machozi haya hayaishi sababu pia ya kufata mkumbo pia, una mkuta mtu kabahatika kuoa mke anaye vutia au kuolewa na handsome basi na wengine nao wanatafuta handsome au mwenye hips nia yao kuwalidhisha watakao kuja kwenye harusi eti wana sema ana pendezesha album wana sahau mwisho wa siku kwenye nyumba mnabaki wawili na hakuna anaye kubebea matatizo.

Kama mwanamke au mwanaume ana tabia njema ata kuvumilia kwenye shida na raha.

Kama uliolewa kwa kuangalia uhandsome ndio hivyo akichelewa kurudi roho yako juu mwisho pressure.
 
wee babu, kwani wafikir wanahitaj kufundishwa hawa? watakutambua baadae sana kwamba aspect ni moja tu nayo ni utu wa ndani zaid kuliko wa nje.

niliwah kuambiwa na mama mmoja mtu mzima sana katika stori za k,ijiwen hivi uzuri na usmart wa mwenza unaliwa? jibu nikasema hapana , akauliza tena kitandan anapanda na nguo zake zikiwa zimetoka kwa dobi na viatu vya gharama nikasema hapana ndipo aliponiambia kinachomlala mwanamke ni utu wa ndani wa mwenzi wake basi haya ya nje yote unaweza ukayatengeneza ila ya ndani huwezi.

na nilipochunguza nikagundua kwamba ni kweli manake utu wa ndani wa mwenza ukiwa mkamilifu basi ni dhahiri kwamba utamkubali na utampenda.

hili hapa kwenye bold neno kuntu sana ujue shostilo!
 
Niajeeeeeeeeeeee!!!! Wakubwa zangu shikamooni!!!! (Itabidi nipewe tuzo ya kuheshimu wakubwa jf!!! LOL!)

Nauliza tu wajameni, maana hamkawii kunigeuzia kibao!!!!

Eti jamani if you meet a guy/girl for the first time external factors gani zinakupa indicator kuwa sasa hapa THE GAME IS ON, au ndo zinakuturn off kabisa!!! Yaani tuachane na internal kama tabia, sijui ucheshi. Nachosemea ni kile kitu kinachokufanya Ujisogeze kama ngamia anaenda kuchinjwa kumtokea demu au kuchukua namba hapo umemuona tu bidada harusini au kwa basi for the first time, humjui hakujui. What makes you notice her among the crowd!!!!!!!!!???

Na bi dada nini kinakufanya mtu hata humjui akija kukuomba namba utoe au ubane, what do you look in a guy na kufanya maamuzi ya fasta kuwa the game might be on!!!!

Mimi nazingati vigezo vifutavyo when i look at a guy i just met.( All are subjective to context tuliokutana)

1. Unyunyu (Perfume) aisee kama umepulizia kitu ya designer au hata kitu iliyotulia baaaaaaaaaaaas. Kama una odour ya jasho, namba sitoi ngoooo!

2. Shoes aiseee! Hapa nacheki catalogue, hata za mtumba poa tu, ila najua kuwa fashion imo imo kiana.

3.Saa, aisee hii inahusika sana, najua kabisa kama ni mtu busy una ishu focused lazima kiwiko kiwe na kitu, ila kama huna najua mzee wa magumashi.

4. Hair cut, Kama umenyoa kiduku najua sharo namba sikupi wala nini., Kama umepiga upara natilia shaka huenda una uwaraza, kama umesuka........... simaliziiiii.

5.Suruali ulipovalia!!!! Kama ndo punga upepo, akaaah! yasije kunikuta ya Daimondo au Lil Wayne Mbuzi Mzee

6. Madini, kama umetupia vito sana, kg za kutosha shingoni na mkononi, mipete sijui mimi walaaaa, nahisi utakuwa unahusika na wakongo kidesign!!! LOL!

Kidali poo, mlale nacho!!!!!!!! LOLEST

Unyunyu wa designer unaujuaje?
pua yako inazijua perfume zoote za designer? feki na origino?
 
mdogo wangu wa mwisho lara 1 external factors can be created, jamani. kama mwenza hajui kuvaa unawea kumvesha akatoka bomba, kama hana madini unaweza kumvesha ila kama hana upendo wa kweli huwez kuutengeneza kubali.

labda nikwambie kitu,
ni ushuhuda wa kweli, niliolewa na college std mwenzangu ambaye hakuwa hata na hela ya unyunyu, boom ikitoka ndo mpange iyo iyo kununua godoro na iyoiyo kula, tulipanga chumba cha hadhi ya chin savei cha udongo kiko kama choo, but you know what kwakua niliijua hali yetu kiuchumi niliepuka sana kukaribisha friends kwangu, ili wasije kunifanya nikachukia yale maisha ama nikajiona sifai ama simpendi,ila nilijitahd sana kufua hilo shati na tshirt moja kila siku ili asinuke jasho basi.

but what kept me in ni, his true love and respect na sikujua kama kuna watu wako kama yy manake sikumfananisha na yyte yule. so hata kama nina friend ambaye ana hubby yuko matawi to me bado nilimuona wanu is above him na ukweli with struglin and faith tulifanikiwa sana tu kimaisha to the extent ya kumake histry. sikatai alinitenda but he came back kwwani tuliko pita palimkumbusha mengi sana.

mwl,shosti wangu mpenzi hili hapa na mi nahusika!kiukweli maisha ya kujitazama nje huwa yanatucost sana kimahusiano!kuna watu hawadate mwanaume ambaye hayupo kwenye kundi la goodluking sijui wenyewe wanaita!ila kila siku mchozi kisa nini napenda wanaume mahandsome!wanaojipenda!nini ah
 
Na machozi haya hayaishi sababu pia ya kufata mkumbo pia, una mkuta mtu kabahatika kuoa mke anaye vutia au kuolewa na handsome basi na wengine nao wanatafuta handsome au mwenye hips nia yao kuwalidhisha watakao kuja kwenye harusi eti wana sema ana pendezesha album wana sahau mwisho wa siku kwenye nyumba mnabaki wawili na hakuna anaye kubebea matatizo.

Kama mwanamke au mwanaume ana tabia njema ata kuvumilia kwenye shida na raha.

Kama uliolewa kwa kuangalia uhandsome ndio hivyo akichelewa kurudi roho yako juu mwisho pressure.

:A S-coffee:
 
Maneno KUNTU haya uliyoyasema!!!!! TUNALIAJE!!!!!! Uso ukikauka Machozi tu unaanza kuchungulia mahandsome wako wapi!!! Sikomii! LOL! Tuombee tu pepo la uhandsome na vijungu litutoke!!!!!

Na masela na mashosti muache kuchongaaa, "mwanaume kapata ila tusemage ukweli HUYU BWANA HARUSI MBAYAAA!! Watoto sijui itakuwaje!!!" Inahuuuu!!? Aihusu wajameni, wakwenu yuko wapi?

ahahahahahhaha umenichekesha kwa kweli!
na hili linawaumiza kweli mabinti,eti ah rafki zangu watanisema mwanaume mwenyewe havutii,we unataka avutie amekuwa keki huyo?ah
 
Unyunyu wa designer unaujuaje?
pua yako inazijua perfume zoote za designer? feki na origino?

Hahahaahaaaaa! Challange kona imewadia. Ndio pua zangu zinajua!!!! Unakuwa umetulia flaniii, harufu very defined, afu haupungui kunukia as time ikienda! lol! Fekerooo mkikutana unanukia overrr, mda ukienda husikii kitu, halafu zingine harufu kali sanaaaa @ Cobraa (enzi zetu) Ila nilisema hata fekero zilizotulia poa tu!
 
Duh makungwi gfsonwin snowhite et al mnatoa maneno yanayochoma mioyo lakini sometimes mtu huwezi kupretend,kama miye external features zinamatter sana pamoja na huo utu wa ndani.kinyume cha hapo nitakuwanajidanganya tu.shosti lara 1 nimegundua shemu yukoje mwambie apunguze bia apige mazoez akate tumbo
 
Last edited by a moderator:

interesting....indeed...

halafu hilo la saa
sijui upo dunia ipi?
with cellphones wengi tushasahau kuvaa saa lol
 
Duh makungwi gfsonwin snowhite et al mnatoa maneno yanayochoma mioyo lakini sometimes mtu huwezi kupretend,kama miye external features zinamatter sana pamoja na huo utu wa ndani.kinyume cha hapo nitakuwanajidanganya tu.shosti lara 1 nimegundua shemu yukoje mwambie apunguze bia apige mazoez akate tumbo

Hahahahaaaa! Hujaelewa TAMBIII LANGU MIE ATIIII!( Halitishi ila sijafikia uflaaaat wa yule dada wakwenye picha) We si umeona kidada cha kwenye picha tumbo flaaaaaaaaaaaaat!!! Manake walikuwa wananisema kimafumbo na TAMBI LANGU. Ngoja nianze ndimu, bier na nyama choma vitaniponza! LOL!
 
Tuache masikhara nilichogundua kwenye kitu ambacho wadada wanakosea bila kujijua ni kuangalia external factor huku wanataka mtu anaeweza kumudu majukumu,, hapo ndo kina sisi wavaa tai na travota daily tunatake advantage.. Wakati kiukweli watu wenye mishe za kueleweka na walio busy kiasi hata ukitoka nae hana muda wa kutafuta mwingine ni watu walio kwenye shughuli za operations as, kwenye oil and gas companies, bandarin, engineers, telecom subcontractors na wengineo but tatizo wanakuwaga sio smart as nature ya kazi zao za kuvaa safety boots and overall unakuta zimeshawaaathiri kisaikolojia.. Ukikutana nae juu kwa juu unasema jamaa yupo lafu kumbe account na mishe zake ni mamilion daily..

Kazi zetu wengine za kufanya kwa clients ofisi tofauti so unajuana na watu, kuna kipindi nilikuw kwenye assigment TICTS yaani unakuta mtu anakuja kazini yupo rafu rafu wengine hadi na overall but wanakuja na gari za kufa mtu na hela ipo kweli kweli.. Ukiuliza mbona wanakuja hivi kazini, wakanijibu wote wanaendesha private car sasa nani anatuona kama tupo rafu na huku kazi zetu ni zakuwa kwenye mavazi haya... Sema waliooa wanapendeza sana as wake zao wanawapendezesha, overall wanakuja kuzivalia ofisini ila wale ma bachelor mtu anatoka na overall na safety boot toka home na x trail yake safi akishuka utacheka

Jaribu kuchunguza uone... Wadada wanahangaika na wapiga unyunyu tu wanaishia kulizwa daily, hata akiolewa maisha magumu ndoa haiendi... Kisa aliangalia u smart wa mavazi na ki toyota cha mkopo
 
Tuache masikhara mi kwenye kitu ambacho wadada wanakosea bila kujijua ni kuangalia external factor huku wanataka mtu anaeweza kumudu majukumu,, hapo ndo kina sisi wavaa tai na travota daily tunatake advantage.. Wakati kiukweli watu wenye mishe za kueleweka na walio busy kiasi hata ukitoka nae hana muda wa kutafuta mwingine ni watu walio kwenye shughuli za operations as, kwenye oil and gas companies, bandarin, engineers, telecom subcontractors na wengineo but tatizo wanakuwaga sio smart as nature ya kazi zao za kuvaa safety boots and overall unakuta zimeshawaaathiri kisaikolojia.. Ukikutana nae juu kwa juu unasema jamaa yupo lafu kumbe account na mishe zake ni mamilion daily..

Kazi zetu wengine za kufanya kwa clients ofisi tofauti so unajuana na watu, kuna kipindi nilikuw kwenye assigment TICTS yaani unakuta mtu anakuja kazini yupo rafu rafu wengine hadi na overall but anakuja na gari za kufa mtu na hela ipo kweli kweli.. Ukiuliza mbona wanakuja hivi kazini, wakanijibu tunaendesha private car sasa nani anatuona kama tupo rafu na huku kazi zetu ni zakuwa kwenye mavazi haya...

Jaribu kuchunguza uone... Wadada wanahangaika na wapiga unyunyu tu wanaishia kulizwa daily, hata akiolewa maisha magumu ndoa haiendi... Kisa aliangalia u smart wa mavazi na ki toyota cha mkopo

wewe umeharibu kila kitu
ungeacha tu humu wadanganyane lol
wazidi ingia mkenge lol...
kwanza mwanaume akiwa very smart
ni lazima awe na mke au mwanamke wa kuishi nae...
huwezi kuwa mwanaume single halafu uko so clean and so fresh...unless you are gay lol
 
lara 1 kama ningekutana na wewe bila shaka si kwamba ungeninyima namba ya simu tu bali hata kuongea nami ungesusa.lol

Mimi sikuwa na sifa hata moja katika hizo ulizozitaja lakini nilifanikiwa kumpata mama Rhobi ambaye kwa kweli ni mwanamke wa shoka, mrembo kweli kweli (ufagio kidogo si mbaya, hahahaha)!!

Kilichotokea ni kwamba yeye mwenyewe ndiye alifanya kazi ya kuni''mould" na kuni"shape" nikafanana jinsi anavyotaka yeye. Si unajua watu tuna background zinazotofautiana sana, yeye amekulia ndani ya jiji, gate kali lakini wakati mimi nimekulia zangu hukooooo Mugumu, si unaona tofauti hiyo?

Kwa mtazamo wangu external factors sio issue ya kumsumbua akili mtu ambaye yuko serious katika mapenzi, kwa sababu ni rahisi kuzibadilisha, kwahiyo mara nyingi watu walio serious katika mapenzi wanajitahidi zaidi kujua "internal factors" kwakuwa hizo kuzibadilisha si jambo rahisi na kuna nyengine hata ufanyeje hazibadiliki hata kama mtu ana PhD lakini anaweza asibadilike/ kubadilishwa.

So if you are looking for a "One night stand" au unatafuta kidume/demu wa kufanyia show off then external factors are prefered, to my opinion.
 
Hii mada tamu jamani....sema nina assignment ngumu,hapa ningebrowse mpaka asubuhi.......

Back 2 the Topic: Simpendi mwanamke mfupi jamani....duuuhh!! Yaani huwa hata simuangalii mara mbili,regardless how

beautful she is.......na wale wenye vimiguu kama fimbo
 
lara 1 kama ningekutana na wewe bila shaka si kwamba ungeninyima namba ya simu tu bali hata kuongea nami ungesusa.lol

Mimi sikuwa na sifa hata moja katika hizo ulizozitaja lakini nilifanikiwa kumpata mama Rhobi ambaye kwa kweli ni mwanamke wa shoka, mrembo kweli kweli (ufagio kidogo si mbaya, hahahaha)!!

Kilichotokea ni kwamba yeye mwenyewe ndiye alifanya kazi ya kuni''mould" na kuni"shape" nikafanana jinsi anavyotaka yeye. Si unajua watu tuna background zinazotofautiana sana, yeye amekulia ndani ya jiji, gate kali lakini wakati mimi nimekulia zangu hukooooo Mugumu, si unaona tofauti hiyo?

Kwa mtazamo wangu external factors sio issue ya kumsumbua akili mtu ambaye yuko serious katika mapenzi, kwa sababu ni rahisi kuzibadilisha, kwahiyo mara nyingi watu walio serious katika mapenzi wanajitahidi zaidi kujua "internal factors" kwakuwa hizo kuzibadilisha si jambo rahisi na kuna nyengine hata ufanyeje hazibadiliki hata kama mtu ana PhD lakini anaweza asibadilike/ kubadilishwa.

So if you are looking for a "One night stand" au unatafuta kidume/demu wa kufanyia show off then external factors are prefered, to my opinion.

Well said Mura!

Kwenye RED:what attracts you at the first time you meet her brother,bila shaka appearance ina mattter sana...

BLUE: naung mkono 90% lakini atleat awe na kamvuto flani hivi....hata kumtambulisha somewhere uwe na confidence!!
 
lara 1 kama ningekutana na wewe bila shaka si kwamba ungeninyima namba ya simu tu bali hata kuongea nami ungesusa.lol

Mimi sikuwa na sifa hata moja katika hizo ulizozitaja lakini nilifanikiwa kumpata mama Rhobi ambaye kwa kweli ni mwanamke wa shoka, mrembo kweli kweli (ufagio kidogo si mbaya, hahahaha)!!

Kilichotokea ni kwamba yeye mwenyewe ndiye alifanya kazi ya kuni''mould" na kuni"shape" nikafanana jinsi anavyotaka yeye. Si unajua watu tuna background zinazotofautiana sana, yeye amekulia ndani ya jiji, gate kali lakini wakati mimi nimekulia zangu hukooooo Mugumu, si unaona tofauti hiyo?

Kwa mtazamo wangu external factors sio issue ya kumsumbua akili mtu ambaye yuko serious katika mapenzi, kwa sababu ni rahisi kuzibadilisha, kwahiyo mara nyingi watu walio serious katika mapenzi wanajitahidi zaidi kujua "internal factors" kwakuwa hizo kuzibadilisha si jambo rahisi na kuna nyengine hata ufanyeje hazibadiliki hata kama mtu ana PhD lakini anaweza asibadilike/ kubadilishwa.

So if you are looking for a "One night stand" au unatafuta kidume/demu wa kufanyia show off then external factors are prefered, to my opinion.

Aaaaaah! Mwita nzaiona SIX PACK hapo kabisa kwenye hiyo picha!!!!!!! Au hutaki kusumbuliwa na PM hivo unajiharibia LOL!

Acha uongo wewe wakt mama Robi anakupendaga ulikuwa mrefu hivo hivo! May be ulikuwa wakuja ila mvuto wa kuzaliwa ulikuwa nao. Mi sipendi uongo, kama I DONT LIKE WHAT I SEE ON THE OUTSIDE I WONT BOTHER TO SEARCH THE INSIDE!!!! Period!!!!!!!!!!!! Mi sijui nyie how you manage ila haiingii akilini kupiga game na mtu ambae hanivutii on the outside kisa he is Super nice on the inside!!!!!!! Anhaha! Badoooo! I must like what i see! Ningekuona kwenye GWANDA maybe ningekupenda, guy look hot in those uniforms!!! lol! (Najipendekeza jst incase the impossible happen mkashinda 2015 lol)
 
Back
Top Bottom