Swali la kizushi!!!!! Siku ya kwanza ukikutana na mpenzi to be external factors gani unaziconsider!!

Mmmh Smile jamani sasa mnyamwezi mimi ukiniona sikuongea na mimi hutataka,kiatu chenyewe size 14 cha kuchongesha,suruali size 48 ya kushonesha,utanipa number kweli?

Napenda awe na WEUSI WA JONGOO,amevaa simple kutokana na mazingira yenyewe tulipokutana,sipendi make-up ziwe nyingi,kifuani patosheleze,usafiri muhimu sio njiti zafagio,backside? woooh ya kibantu.

Wewe je mdogoangu?
mi kote huko nipo ziroziro so bora tu tusionane kakangu wa maisha miguu yenyewe hii hapa
534383_283991771712076_341895898_n.jpg
 
unajua aisee bora sikuzaliwa siku hizi, nahisi nisingeyaweza maisha aisee.
to me niliangalia tu ile body cleaness basi, tulipojuana ndipo nikaanza kuangalia mambo ninayoyataka basi. sasa kwan unyunyu si naweza mnunulia niutakao? ama kiatu?

factor hapa niliyoiangalia zaid ni hisia je ana hisia za kweli za kimapenzi zenye upendo ndani yake ama ni za kimapenzi zenye tamaa ya ngono tu? thats why niliolewa na mwanaume ambaye tulilala chini na kuish nyumba ya udongo.

Duh umenigusa kweli mwalimu gfsonwin,siku hizi watu wanaangalia eti,external factors.Mmmh ndio maana hizi ndoa zetu zimevunjika kwa sababu moja wapo ni hizi.
 
mimi nitaangalia zaidi hekima aliyonayo kwenye kujibu na kutoa hoja.pia external factors kama urefu,mwonekano wake kwa ujumla but hizi external factors si muhimu sana coz ni vitu vya kurekebishika.
 
baadhi ya attributes ninazozipenda

  1. nguo. zinapaswa kuchora shape yake; makalio, mat1t1 yawe pronounced w/o showing skin
  2. perfume. obvious
  3. nywele. ziwe zimetunzwa na kuwekwa sawa sawa, single color only
  4. sura. ngozi iwe laini, tabasamu kama avatar ya FP, (no mkorogo, hii ni deal breaker)
  5. asiwe shallow minded.
 
1.Tall
rangi ya chungwa au rangi nyeusi ya fedha(nyeusi inayoeleweka)
2.mavazi(siyo kavaa suruali ya kijani na shati la bluu za kitambaa huyu hata salamu hapati)
3.unyunyu
4.Asiwe muongeaji yani awe anaongea kwa mpangilio
5.awe anaexposure anaweza kuwa hajasoma ila mambo mengi anajua
6.nywele(asisuke.asnyoe kitoto awe kakata kigentleman
7.asiwe na likitambi
8.viatu hili la mwisho ila ukichemka hili naweza kukuconsider
 
watu wanatofautiana sana.lkn mimi nitafocus kwanza kwenye kujua nini huyu mtu anataka kwangu.i will ask him very technical questions ambazo lazima nitajua lengo lake kwangu.nitatumia akili zaidi kwenye kumchunguza.mambo mengine ni ya muhimu ndio but cha muhimu zaidi ni kujua lengo lake kwangu na kama ni wale wa hit and run nikijua tu that will be the end of that relationship.
 
Back
Top Bottom