Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
Nasikia hata ukimtamani mwanamke ambaye hujamuoa
WAKRISTO. Bali hata yule amtazamaye mwanamke kwa kumtamani
amekwishakuzini naye moyoni mwake.
WAISLAMU: Jicho la kwanza halina kosa yaani ukiona usirudie tena
kama ni mke/ au mme mmepishana basi ukigeuka kumtazama
kwa kumtamani UMEZINI pia.
Sasa sijui wale wanaokumbatiana kwenye daladala inakuwaje maana wengine
mpaka wanaji........ eti mfadhaiko. Lakini mazingira yanasababisha hivyo maana
wengine wanakuwa na njaa ya siku nyingi.
Haya mambo siyo rahisi hata kidogo...tena ukiingiza philosophy inakuwa balaa!!
Vyovyote vile, kila jamii ina definitions zake zinazosaidia kuweka mipaka kati ya tamaa za hisia na matendo.
Kama tukichukulia hii mitazamo ya dini basi kuna watu watakuwa wamelamba shea ya kutisha sana....Imagine, wanawake wangapi wamefanya na mtu kama The great? Au wanaume wangapi watakuwa wamazini au kufanya uasherati wa hisia na baadhi ya warembo?
Babu DC!!