Kufanya usaliti katika mapenzi ni kazi sana. Mnawezaje?

Hii kitu huwa najiuliza hivi unaweza kucheat ukiwa na mke ukawa na kimada kabisa pembeni hadi uwe unalala nacho.

Hili ni moja ya zoezi la ujasusi kabisa.

Hebu tupieni mbinu hapa.
Mkuu! Kama wewe ni Mkristo wa ndoa ya mke mmoja na ukakuta unampenda na kummiss mkeo kila dakika mshukuru Mungu! Ukipata mke kutoka kwa Mungu utashangaa wanaochepuka! Huwezi kumchoka mkeo! Huwezi kumsaliti! Utawaona wanawake wengine kama midoli! Tatizo ndoa nyingi zimefungishwa na shetani! Wanawake wanawanga kwa wachawi na waganga ili waolewe! Wanaume tunapigwa wenge na kushtuka tumeisha ingia 18! Ooooh! My God!! What have I done to marry the devil???
 
Back
Top Bottom