Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

Mpe pesa akanunue mwenyewe na hili mpaka tukuelekeze mkuu,we ukamnunulie umekuwa boyfriend wake unajua size ya kiuno chake..?

Mimi mkwe wako najua anapenda ya rangi ipi,size gani yenye maua yapi na imbane wapi na impwae wapi.. sasa wewe utaenda kubeba rangi hata asiyopenda na ukute lichupi ligumu linamuumiza!,halafu over size!.
hizo shughuli tupo watu special tutakusaidia baba mkwe hata usijali.
 
• Ichukulie chupi uliyo mununulia imembana 🤔🤔!!, Nayeye Inabidi akuludishie kuwa baba chupi uliyoninunulia hainitoshi??? ☹️☹️..

• Masuala ya mtoto wa kike muachie mama yao(hasa kwenye vitu private kama hivyo), utaonekana mzee wa hovyo.
 
• Ichukulie chupi uliyo mununulia imembana !!, Nayeye Inabidi akuludishie kuwa baba chupi uliyoninunulia hainitoshi??? ..

• Masuala ya mtoto wa kike muachie mama yao(hasa kwenye vitu private kama hivyo), utaonekana mzee wa hovyo.
kwa hiyo shida ni kwa kuwa ni nguo ya ndani au!?

kumnunulia gauni au sketi na blauzi ni sawa?

maana pia hizo zinaweza zika mbana.

what is so special katika nguo za ndani.

akifua huwa haaniki zinakoanikwa nyingine ?

mama yao hayupo
 
Una kichwa ngumu sana mkuu...

Basi uwe unawanunulia, kisha uwajaribishe kama zinawakaa sawa mbele yako maana inaonekana ndiyo unachotafuta..
 
kwa hiyo shida ni kwa kuwa ni nguo ya ndani au!?

kumnunulia gauni au sketi na blauzi ni sawa?

maana pia hizo zinaweza zika mbana.

what is so special katika nguo za ndani.

akifua huwa haaniki zinakoanikwa nyingine ?

mama yao hayupo
• Ndo umeandika nini hiki sasa..??, ,

• Kwa akili yako hii Yawezekana utaaza kuwaosha hata uchi wao, wakitoka kut*mb*a na masela. ☹️☹️
 
Umeanzisha uzi ili kubishana na, Siyo kuomba ushauri,, reply zako zinajieleza upande wa comments.....

Kama unaona ni sawa kwa upande wako,, go ahead MKUU,, wanunulie bikini kabisa,, na uwaambie wazitest mbele yako,, BLADFACKEN!!!!
nataka mlete hoja ya kwanini hilo jambo lisifanyike.

naona kwenye comment yako hapo mwisho umeona unisifu! thanks.
 
Back
Top Bottom