Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
picha source yake ni blog ya mbeya yetu.huyu jamaa kazileta humu bila kuandika chanzo ni uvunjifu wa hakimiliki.
Kiukweli kabisa anaishusha jf.
Kiukweli kabisa anaishusha jf.
Rev Mzito K unahangaika sana kuharibu chadema ukijifanya umo kwa mema
Kwanza kabisa hizo picha ulizoweka hazionyeshi kabisa hoja yako na nafasi ya sugu, nani atathibitisha hizo picha ni za mbeya?
hapo sasaHebu tu-assume picha hizo ni za Mbeya kweli. Sasa suala la kazi ni la Sugu kwanza ama la Serikali? Suala la uboreshaji wa mazingira ya kazi (pamoja na kutumia protective gears) ni suala la Sugu ama la serikali husika na watendaji kazi pamoja na Kampuni?Unless anataka kutuambia huyo mama ameajiriwa na Sugu, otherwise mleta thread anajaribu kuunga-unga ili kumharibia jina mh Sugu.
mwehu eee sugu kawa meneja uajiri??mkuu, ninamdhalilishaje huyo mama ambaye kila siku yuko barabarani jua lake mvua yake? Mimi na hao waliomwajiri nani ni mdhalilishaji?
Rev Mzito K unahangaika sana kuharibu chadema ukijifanya umo kwa mema
Kwanza kabisa hizo picha ulizoweka hazionyeshi kabisa hoja yako na nafasi ya sugu, nani atathibitisha hizo picha ni za mbeya?
Kwa akili yako unaridhika kwamba Sugu ndiye kamuajiri?
Acheni chuki binafsi ninyi watu dhidi ya wenzenu. Hujawahi kupita manzese uone akina mama wanavyokula vumbi barabarani? Bila shaka siku ukiwapiga picha utakuja hapa kumlalamikia Mnyika.
Mara nyingi hawa wamama wanaofanya usafi wameajiriwa na makampuni binafsi kwa mkataba na halmashauri ama halmashauri zenyewe ndo zinawaajiri moja kwa moja, mbunge anahusikaje katika kuwaajiri na kuwapatia vitendea kazi?
kama hauna cha kuongea ni bora unyamaze, udhalilishwaji gani unaofanywa hapa ilhali huyo mama yupo kazini kujipatia kipato!!!
Rev. Mzito kabwela, sijakuelewa sawasawa, naomba unijibu maswali haya: Huyu mama anafagia uwanjani kwa Sugu? Au anafanya kazi kwa kujitolea/kulazimishwa kwa amri ya Sugu? Ni wangapi wanaofanya kazi katika mazingira kama yake nchi nzima hii, ni yeye pekee? Na kama wanaofanya kazi namna hiyo wanapatikana katika kila mji na kitongoji akiwemo mama yako kule kijijini kwenu ni kwa nini umejishughulisha na kutuletea picha toka Mbeya kwa Sugu tu na si dada zako nyanya zako na mama zako wewe wanaoishi sehemu mbalimbali nchini. Kwa jinsi inavyojidhihirisha hapa wewe ndiye mnyanyasaji wa mama huyu kwa maana hujatuambia criteria inayomfanya mama huyu tofauti na watanzania wengi wanaofanya kazi kama zake katika mazingira uliyomkuta nayo.Mkuu ungeshirikisha ubongo wako kwanza kabla hujapost hii post. Sugu ni mjumbe wa full council ya jiji la mbeya, Kwa lugha nyingine yeye ni diwani wa halmashauri ya jiji la Mbeya. Sugu anahusika katika kuhakikisha hao wamama wanafanya kazi wakiwa na vifaa na katika hali ya usalama wa afya zao.
Pili, uhusika wangu chadema au kutokuwa chadema haukuhusu. Hata kama naichafua Chadema kama unavyoona, ni sehemu ya uhuru wangu wa kikatiba kama ulivyo huru kuichafua CCM.
Tatu, Mimi siichafui Chadema. Chadema itajichafua yenyewe.
Nne. Mimi ni mwanachadema hai kuliko wewe shabiki wa Chadema mtandaoni
Mkuu ungeshirikisha ubongo wako kwanza kabla hujapost hii post. Sugu ni mjumbe wa full council ya jiji la mbeya, Kwa lugha nyingine yeye ni diwani wa halmashauri ya jiji la Mbeya. Sugu anahusika katika kuhakikisha hao wamama wanafanya kazi wakiwa na vifaa na katika hali ya usalama wa afya zao.
Pili, uhusika wangu chadema au kutokuwa chadema haukuhusu. Hata kama naichafua Chadema kama unavyoona, ni sehemu ya uhuru wangu wa kikatiba kama ulivyo huru kuichafua CCM.
Tatu, Mimi siichafui Chadema. Chadema itajichafua yenyewe.
Nne. Mimi ni mwanachadema hai kuliko wewe shabiki wa Chadema mtandaoni
Mkuu, ninamdhalilishaje huyo mama ambaye kila siku yuko barabarani jua lake mvua yake? Mimi na hao waliomwajiri nani ni mdhalilishaji?