Sugu, tulikuchagua ukashiriki kuwawanyanyasa mama zetu mbeya?

picha source yake ni blog ya mbeya yetu.huyu jamaa kazileta humu bila kuandika chanzo ni uvunjifu wa hakimiliki.

Kiukweli kabisa anaishusha jf.
 
Hebu tu-assume picha hizo ni za Mbeya kweli. Sasa suala la kazi ni la Sugu kwanza ama la Serikali? Suala la uboreshaji wa mazingira ya kazi (pamoja na kutumia protective gears) ni suala la Sugu ama la serikali husika na watendaji kazi pamoja na Kampuni?Unless anataka kutuambia huyo mama ameajiriwa na Sugu, otherwise mleta thread anajaribu kuunga-unga ili kumharibia jina mh Sugu.
Rev Mzito K unahangaika sana kuharibu chadema ukijifanya umo kwa mema

Kwanza kabisa hizo picha ulizoweka hazionyeshi kabisa hoja yako na nafasi ya sugu, nani atathibitisha hizo picha ni za mbeya?
 
hapo sasa

ni jukumu la kila mtanzania kufanya kazi... lakini watu type ya Mzito K. haioni hivyo...
 
Huyu rev ana IQ ya kuku. . . . .hamna point hapo,hawa ndo wale matabularasa,rethink kwa mapana ndio uweke post
 
Rev Mzito K unahangaika sana kuharibu chadema ukijifanya umo kwa mema

Kwanza kabisa hizo picha ulizoweka hazionyeshi kabisa hoja yako na nafasi ya sugu, nani atathibitisha hizo picha ni za mbeya?

Kweli haviendani!! Atuambie zaidi
 
Kwa akili yako unaridhika kwamba Sugu ndiye kamuajiri?
Acheni chuki binafsi ninyi watu dhidi ya wenzenu. Hujawahi kupita manzese uone akina mama wanavyokula vumbi barabarani? Bila shaka siku ukiwapiga picha utakuja hapa kumlalamikia Mnyika.

Mara nyingi hawa wamama wanaofanya usafi wameajiriwa na makampuni binafsi kwa mkataba na halmashauri ama halmashauri zenyewe ndo zinawaajiri moja kwa moja, mbunge anahusikaje katika kuwaajiri na kuwapatia vitendea kazi?

Mkuu huyu ni Tunte @ work kama ulikuwa hujui
 
kama hauna cha kuongea ni bora unyamaze, udhalilishwaji gani unaofanywa hapa ilhali huyo mama yupo kazini kujipatia kipato!!!
 
Hongera sana mbeya, mji ni msafi sana kwa kweli hata mvua kubwa ikinyesha mitaro itapitisha maji bila matatizo
 
kama hauna cha kuongea ni bora unyamaze, udhalilishwaji gani unaofanywa hapa ilhali huyo mama yupo kazini kujipatia kipato!!!

Wangependa kumuona mama akiombaomba barabarani, safi sana mama kwakuto kuendekeza uzee na ulemavu
 
Mkuu ungeshirikisha ubongo wako kwanza kabla hujapost hii post. Sugu ni mjumbe wa full council ya jiji la mbeya, Kwa lugha nyingine yeye ni diwani wa halmashauri ya jiji la Mbeya. Sugu anahusika katika kuhakikisha hao wamama wanafanya kazi wakiwa na vifaa na katika hali ya usalama wa afya zao.

Pili, uhusika wangu chadema au kutokuwa chadema haukuhusu. Hata kama naichafua Chadema kama unavyoona, ni sehemu ya uhuru wangu wa kikatiba kama ulivyo huru kuichafua CCM.

Tatu, Mimi siichafui Chadema. Chadema itajichafua yenyewe.

Nne. Mimi ni mwanachadema hai kuliko wewe shabiki wa Chadema mtandaoni
Rev. Mzito kabwela, sijakuelewa sawasawa, naomba unijibu maswali haya: Huyu mama anafagia uwanjani kwa Sugu? Au anafanya kazi kwa kujitolea/kulazimishwa kwa amri ya Sugu? Ni wangapi wanaofanya kazi katika mazingira kama yake nchi nzima hii, ni yeye pekee? Na kama wanaofanya kazi namna hiyo wanapatikana katika kila mji na kitongoji akiwemo mama yako kule kijijini kwenu ni kwa nini umejishughulisha na kutuletea picha toka Mbeya kwa Sugu tu na si dada zako nyanya zako na mama zako wewe wanaoishi sehemu mbalimbali nchini. Kwa jinsi inavyojidhihirisha hapa wewe ndiye mnyanyasaji wa mama huyu kwa maana hujatuambia criteria inayomfanya mama huyu tofauti na watanzania wengi wanaofanya kazi kama zake katika mazingira uliyomkuta nayo.
Sibishi kwamba wewe unaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA lakini ni mnafiki, mchochezi na si great thinker kama unavyotaka tufikiri. Hakika wewe ni low thinker na mpotoshaji mkubwa kwa jamii. mtu hatari kuliko ukoma.

I can smell it...Rev.Mzito K., wewe ni mamluki wa magamba, aliyekutuma, mwambie hii mada haiwez kukupa umaarufu zaidi ya kujitafutia dhambi na laana!

Huwez kuleta mabadiliko changa kwa indirect false accusation tena kwa kumtaja mtu kwa jina!Nina wasiwas na huo u Rev. wako, probably hata biblia huijui!Hope huyu mama, ataksamehe bure bt unae mwamin, hatakuacha...atakulipa!
 
Mkuu ungeshirikisha ubongo wako kwanza kabla hujapost hii post. Sugu ni mjumbe wa full council ya jiji la mbeya, Kwa lugha nyingine yeye ni diwani wa halmashauri ya jiji la Mbeya. Sugu anahusika katika kuhakikisha hao wamama wanafanya kazi wakiwa na vifaa na katika hali ya usalama wa afya zao.

Pili, uhusika wangu chadema au kutokuwa chadema haukuhusu. Hata kama naichafua Chadema kama unavyoona, ni sehemu ya uhuru wangu wa kikatiba kama ulivyo huru kuichafua CCM.

Tatu, Mimi siichafui Chadema. Chadema itajichafua yenyewe.

Nne. Mimi ni mwanachadema hai kuliko wewe shabiki wa Chadema mtandaoni

Rev acha roho mbaya,kwanini umtaje sugu,why not halmashauri ya jiji la mbeya,heading yako imekaa kidaku mkuu.hapa umeteleza.
 
Mijitu mingine bana eti sugu anatunyanyasia.Mkurugenzi humwoni,mkuu wa wilaya,mkoa,bwana afya wote hao hujawaona umemwona sugu tu watu wengine ni matango kabisa
 
jam2ni kuna watu wasiukuru hapa jf kuna utar2tibu wa ban vinginevyo huyo Lusinde anayejiîta Rev. ningem Lusinde mbaya kwa unafiki wake,**** anajifanya anajua kumbe hana lolote,anatafuta mtaji wa kisiasa kupitia JF,kama sio yeye basi waliomtuma
 
pamoja na uhaba wa vitendea kazi huyu ni mwanamke jasiri, mpambanaji anayejituma kujipatia kipato chake.

Kazi ya kununua vitendea kazi ni ya wakurugenzi sio ya mbunge....
 
Mkuu, ninamdhalilishaje huyo mama ambaye kila siku yuko barabarani jua lake mvua yake? Mimi na hao waliomwajiri nani ni mdhalilishaji?

kwa iyo wewe hutaki uyu mama apate ajira???
Unataka uyu mama awe omba omba while anauwezo wa kundululiza kwa kufanya usafi???
Then usafi wa jiji hauna uhusiano wowote na mbunge na hata kama una uhusiano ni jambo jema kuwapa ajira wanaohitaji, je wajua wale kina mama wanaoishi kwa kuomba-omba kwenye traffic jam
Samahani mkuu, how old are you??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom