Baada ya Wana Mbeya Kumkataa Sugu na Kumkumbatia Dkt.Tulia, Maendeleo yaanza kumiminika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Mkitaka Maendeleo mtu sahihi ni muhimu na lazima.

Baada ya Wana Mbeya kumkacha na kumdamp Sugu na kuamua kwenda na Dr.Tulia Ackson(PhD) ambae ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge Duniani,sasa Mbeya imekuwa kama chemchem ya Maendeleo yaani yote yaliyokuwa yamekwama Sasa yameanza kufanyika chini ya mama connection.

Mzee au Babu Sugu (kibaraka wa Beberu USA) asijisumbue kupoteza hela zake za uzeeni kuja Kugombea Mbeya Mjini.Watu wa Mbeya sio mbumbumbu kwamba wakatae Maendelea waje kumchagua Sugu ambae licha ya kuwa Mbunge miaka 10 hana kitu hata Kimoja ambacho anaweza jivunia.

Chini ya Dk.Tulia Mbeya inaenda Kwa Kasi sana kuanzia

-ujenzi barabara kuu ya Njia 4 ya kwanza ndefu Tanzania
-Ujenzi Chuo Kikuu Cha Udsm na Teaching Hospital.
-Ujenzi wa Standi Kuu Mpya ya Mabasi (tenda imetangazwa)
Screenshot_20240124-052852.jpg

la Bado jambo Moja kubwa la kupata uwanja mkubwa wa Kisasa wa michezo anuwai maana kama unavyojua Mbeya sio tuu kitovu Cha Elimu na wapambanaji balo ni tumbo la uzao wa watu wajasiri na wenye vipaji vya michezo.Teta n Bimkubwa Tupate uwanja.

Hongera sana Kwa kufanikisha upatikanaji wa eneo la ekari 1,000 ambazo JK aliziomba miaka Mingi.Sasa kazi ya Ujenzi ianze mara Moja.

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

View: https://youtu.be/qwrOjc76Pag?si=MhRzzApfUU2iDkMq
 
Sugu anakusanya kodi, ana alocate pesa za maendeleo, anakopa mikopo ya maendeleo ya inchi kwa bond ya taifa. Hatari sana
 
Kama vyote hivyo hawezi kufanya ni WA kazi gani zaidi ya kuwa mzigo Kwa Wana Mbeya?

Tulia kama Mbunge Huwa anafanya hayo uliyotaja?
 
Mkitaka Maendeleo mtu sahihi ni muhimu na lazima.

Baada ya Wana Mbeya kumkacha na kumdamp Sugu na kuamua kwenda na Dr.Tulia Ackson(PhD) ambae ni Spika wa Bunge la JMT na Rais wa Mabunge Duniani,sasa Mbeya imekuwa kama chemchem ya Maendeleo yaani yote yaliyokuwa yamekwama Sasa yameanza kufanyika chini ya mama connection.

Mzee au Babu Sugu (kibaraka wa Beberu USA) asijisumbue kupoteza hela zake za uzeeni kuja Kugombea Mbeya Mjini.Watu wa Mbeya sio mbumbumbu kwamba wakatae Maendelea waje kumchagua Sugu ambae licha ya kuwa Mbunge miaka 10 hana kitu hata Kimoja ambacho anaweza jivunia.

Chini ya Dk.Tulia Mbeya inaenda Kwa Kasi sana kuanzia barabara kuu ya Njia 4 ya kwanza ndefu Tanzania Hadi Chuo Kikuu Cha Udsm na Teaching Hospital.Mbeya imetulia kweli kweli na Dr.Tulia.

Mwisho,tunajua Stand Kali inakuja ila Bado jambo Moja kubwa la kupata uwanja mkubwa wa Kisasa wa michezo anuwai maana kama unavyojua Mbeya sio tuu kitovu Cha Elimu na wapambanaji balo ni tumbo la uzao wa watu wajasiri na wenye vipaji vya michezo.Teta n Bimkubwa Tupate uwanja.

Hongera sana Kwa kufanikisha upatikanaji wa eneo la ekari 1,000 ambazo JK aliziomba miaka Mingi.Sasa kazi ya Ujenzi ianze mara Moja.

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

Kwa maendeleo tarajiwa ni mtu mwenye akili tope tu ata mwunga mkono Sugu, mtu asiye na asili ya maendeleo.
 
Wajinga walioshikiliwa akili na wanasiasa huwa wako hivi. Tulia has no time with u. Nchi ipo mahututi unakuja na upuuzi huu
 
Kama vyote hivyo hawezi kufanya ni WA kazi gani zaidi ya kuwa mzigo Kwa Wana Mbeya?

Tulia kama Mbunge Huwa anafanya hayo uliyotaja?
Tulia kama mbunge hafanyi hao niliyoyataja bali anafanyiwa na wenye mamlaka ya ku alocate development funds.
 
Back
Top Bottom