Style za waendao vyuoni

1. Maskini,waoga na washamba - SUA

2. Matajiri, wajanja na wenye akili - MZUMBE

3. Wenye akili chache, wavivu na matozi, masister duu - CBE DAR

4. Malaya, wasanii, wauza sura na wasio jiweza kiakili - IFM

5. Upeo mdogo, wapenda sifa na watoto wa mama - TUMAINI UNIVERSITY

6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi - MUCCOBS

7. Wapenda ofa duni za serikali - TIA

8. Waliokosa vyuo kabisa - RUCCO

9. Mafundi - DIT, ST JOSEPH

10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM - UNIVERSITY OF DODOMA

11. Wasiojali future, watoto wa geti kali - SAUT

12. Wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form4-6 - IAA

13. Wanaosoma sana but silent - ST JOHN, KCMC, BUGANDO

14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu - CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY, MORO MUSLIMU, NYUKI TABORA

15. Wakujitolea na future duni - DUCE, MUCE, KIGURUNYEMBE

16. Wasiojali nchi mamluki - ABROAD

17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina - UDSM
A nice joke though
 
SUA wamewakosea nini? Mbona pale kwao ni jirani na Dar kuliko hata MU? Au kwa vile kinaitwa chuo cha Kilimo ndio mnawaita washamba? Invest muda kuja na vitu vya kujenga mwana JF mwenzetu,sio kwa style hizo aisee!
 
you are:
1/3 what you think you are
1/3 what people think you are
1/3 what you really are
kwa hiyo huyo yuko sawa 1/3 na hizo nyingine ni juu yenu!!!

heee!!
lakini ni kawaida kabisa wote huwa tuna tabia ya kujudge watu au siyo?

ukimuona mtu tu,
lazima kuuliza umesoma wapi?? then you complete your definition of the person, hata kama humjui zaidi unaanza kujijengea picha fulani ya uongo bila kumdadisi mhusika, ndivyo tulivyo wooote
hata hapa tu kwa kutumia signature za watu tunaweza kuwaclassify vizuri tu na tukakubaliana.
 
the thread has clearly shown a true pictorial appearence of our varsities and its composition naunga mkono hoja mia kwa mia kama mbunge wa SISIEM
 
Jamani wa RUCCO wameonewa zaidi kuliko makundi yote! Kwamba RUCCO ni kimbilio la wakosaji? Yaani baada ya mtu kukosa vyo vyote 16 ndiyo anaenda RUCCO?!
 
Back
Top Bottom