Style za waendao vyuoni

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
1.Maskini,waoga na washamba-SUA
2.Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE
3.Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR
4.Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5.Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-TUMAIN UNIVERSITY
6.Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS
7.Wapenda ofa duni za serikali-TIA
8.Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO
9.Mafundi-DIT,ST JOSEPH
10.Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF DODOMA
11.Wasiojali future-SAUT,USTAWI WA JAMII,MWL NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE DODOMA
12.wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli 4-6-IAA
13.wanaosoma sana but silent-ST JOHN,KCMC,BUGANDO,
14.Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM,ZANZIBAR UNIVERSITY,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA
15.Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE,nk
16.Wasiojali nchi mamluki-ABROAD
17.watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-University of Dar-es-salaam

je wajameni kuna ukweli wowote nilitumiwa na rafiki yangu
 
Source please, what is the margin of error? What is the sample space used? What time frame did the research cover? How bias-proof are the findings? How did the reasearch, if any, discourage speculation? How qualified is the reasearch team?
 
Mhhh,

Mengine yameandikwa yanaukweli. Ila kama kawaida hiyo inaweza kuwa inagusa wengi ila SI WOTE. Kwa mfano ukienda Zeutamu, utakutana na vicheche vya IFM vinajiuza. Nilienda Dar mshamba mie wa Sikonge nikaambiwa wale watoto wa IFM G-String ziko mkononi. Sijui kweli au laa maana hata mjini kwenyewe masaa ya usiku nilifika siku moja nikiwa nimebebwa na gari na mwenyewe kachoka anawahi nyumbani. Sasa sijui hizi totoz zinajiuzia wapi hizo sura zao. Najua akina G8 hapo wanafahamika sana maana jamaa nasikia sifa zao zimekaa safi sana ki-G8.
 
1.Maskini,waoga na washamba-SUA
2.Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE
3.Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR
4.Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5.Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-TUMAIN UNIVERSITY
6.Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS
7.Wapenda ofa duni za serikali-TIA
8.Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO
9.Mafundi-DIT,ST JOSEPH
10.Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF DODOMA
11.Wasiojali future-SAUT,USTAWI WA JAMII,MWL NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE DODOMA
12.wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli 4-6-IAA
13.wanaosoma sana but silent-ST JOHN,KCMC,BUGANDO,
14.Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM,ZANZIBAR UNIVERSITY,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA
15.Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE,nk
16.Wasiojali nchi mamluki-ABROAD
17.watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-University of Dar-es-salaam

je wajameni kuna ukweli wowote nilitumiwa na rafiki yangu

For Godsake hili ni jukwaa la elimu wewe,tunahitaji innovative ideas kwa maendeleo na mustakabali wa nchi hii, siyo hizo scrap zisizo na msingi mnazotumiana kijinga kwenye SMS mitaani. U MIGHT BE nUNGWI with different ID. Matajiri, wajanja na wenye akili-MZUMBE????????? Nimesoma Mzumbe Secondary, hata ukiwa kichaa huwezi kusoma kile chuo,kiko below standard vibaya mno.
 
wewe go well frank na post zako 9,you are talking of mzumbe ya miaka ipi?be specific na usibwabwaje ki LAYMAN, lest you forget products za IDM tumo humu,and we are walking proud and tall in every damn aspect your grey matter can imagine
 
For Godsake hili ni jukwaa la elimu wewe,tunahitaji innovative ideas kwa maendeleo na mustakabali wa nchi hii, siyo hizo scrap zisizo na msingi mnazotumiana kijinga kwenye SMS mitaani. U MIGHT BE nUNGWI with different ID. Matajiri, wajanja na wenye akili-MZUMBE????????? Nimesoma Mzumbe Secondary, hata ukiwa kichaa huwezi kusoma kile chuo,kiko below standard vibaya mno.

Hii kazi kweli kweli, kijana wa secondary anawezaje kutathimini ubora wa chuo kikuu, au ni kwa kigezo cha kusoma karibu na chuo? kama ile Mlimani shule ya msingi? Mkuu ulitumia vigezo vipi kufanya tathmini? Hii ni sawa nakusema wanafunzi wa sekondary ya jangwani wakakifanyia tathmini chuo cha DIT.

Hivi hata jinsi ya kufanya tathmini ulikuwa umefundishwa huko SECONDARY SCHOOL, ninaposema tathimini inaenda sambamba na utafiti.
 
INAWEZEKANA NI KWELI WANAFUNZI HUENDA VYUO KULINGANA NA HUU MCHANGANUO?

1. Maskini,waoga na washamba-SUA

2. Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE

3. Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR

4. Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM

5. Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama- TUMAINI UNIVERSITY

6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS

7. Wapenda ofa duni za serikali-TIA

8. Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO

9. Mafundi-DIT,ST JOSEPH

10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF DODOMA

11. Wasiojali future,watoto wa geti kali-SAUT

12. wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form 4-6-IAA

13. Wanaosoma sana but silent-ST JOHN,KCMC,BUGANDO

14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY ,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA

15. Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE

16. Wasiojali nchi mamluki-ABROAD

17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-UDSM
 
1. Maskini,waoga na washamba - SUA

2. Matajiri, wajanja na wenye akili - MZUMBE

3. Wenye akili chache, wavivu na matozi, masister duu - CBE DAR

4. Malaya, wasanii, wauza sura na wasio jiweza kiakili - IFM

5. Upeo mdogo, wapenda sifa na watoto wa mama - TUMAINI UNIVERSITY

6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi - MUCCOBS

7. Wapenda ofa duni za serikali - TIA

8. Waliokosa vyuo kabisa - RUCCO

9. Mafundi - DIT, ST JOSEPH

10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM - UNIVERSITY OF DODOMA

11. Wasiojali future, watoto wa geti kali - SAUT

12. Wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form4-6 - IAA

13. Wanaosoma sana but silent - ST JOHN, KCMC, BUGANDO

14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu - CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY, MORO MUSLIMU, NYUKI TABORA

15. Wakujitolea na future duni - DUCE, MUCE, KIGURUNYEMBE

16. Wasiojali nchi mamluki - ABROAD

17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina - UDSM
 
hakya mungu wewe!!!
nimecheka sana, na kufurahi pia
kabla sijaja huku oslo nilipta hapo kwa hao unaosema wajanja na wenye akili.

lakini umefanya utafiti wa haya kaka?
 
ha ha ha ha ..... huyu mwandishi kama ana elimu ya chuo basi atakuwa kasoma Mzumbe tu..., u can simply tell from that simple analysis aliyoifanya mwenyewe
 
INAWEZEKANA NI KWELI WANAFUNZI HUENDA VYUO KULINGANA NA HUU MCHANGANUO?

1. Maskini,waoga na washamba-SUA

2. Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE

3. Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR

4. Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM

5. Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama- TUMAINI UNIVERSITY

6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS

7. Wapenda ofa duni za serikali-TIA

8. Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO

9. Mafundi-DIT,ST JOSEPH

10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF DODOMA

11. Wasiojali future,watoto wa geti kali-SAUT

12. wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form4-6-IAA

13. Wanaosoma sana but silent-ST JOHN,KCMC,BUGANDO

14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY ,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA

15. Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE

16. Wasiojali nchi mamluki-ABROAD

17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-UDSM

Kwa maoni yangu hii ni post ya ovyo kabisa kuwahi kubandikwa hapa JF! Lengo hasa ni nini?
 
Hahahaha
Ila ameonea Tumaini hawako ivo bana.
Ila njua kwa digrii za chupini na vilaza waliokubuhu ni UDSM
 
Back
Top Bottom