Style za waendao vyuoni

tuna omba ushaidi wa haya ulioandika hapa.
acha jazba mzee, umemaliza SUA nini? anyway kiafya tunatakiwa tuwe tunarelax mara mojamoja japo kwa kucheka kidogo. hata vitani kunakua na wakati wa kuburudika kwa mvinyo kidogo.
enzi za mwalimu pale morogoro, SUA walikua bab kubwa kuliko wazee wa Advance diploma (IDM). najua mta-mind lakini habari ndo hiyo
 
Ng`wanakidiku
Member
Join Date: Sat Apr 2009
Posts: 13
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
 
Mods,
Hii itowe hatuwezi kuwa na utani wa kipuuzi kama huu, watu wapo "serious" na kitabu.
 
Mmh! nadhani zikombain sifa zote na zote wape vyuo vyote!

Tunataka sifa za wasomi wa MUHAS [Muhimbili], Makumira, IMTU, KAiruki, Mbegani, Open University, Tengeru etc. Hebu tujaze uelewa maana huko ulikogusa mwanzo hatukupita
 
Sawa mkuu ila sijaona chuo cha ISW au wao siyo wanafunzi wa elimu ya juu?naomba na wadau wengine mnisaidie hapo
 
How can u stereo type watu kiivi.. hakuna generalization zakiivi... Whoever came up with this thread namuweka kundi la ku ASS-ume vitu ambavyo havipo..lol
 
Tunataka sifa za wasomi wa MUHAS [Muhimbili], Makumira, IMTU, KAiruki, Mbegani, Open University, Tengeru etc. Hebu tujaze uelewa maana huko ulikogusa mwanzo hatukupita

What do you expect kwa mtu aliyesoma kwenye no.5 ya

hiyo analysis yake hapo juu?

Kwa ufahamu wake, huo ndo mwisho wa vyuo anavyovijua

yeye! 4give him, ni mtaalam wa copy & paste huyu,

anajulikana toka secondary.

.
Edit kwake ni taboo!
 
Haya ni mawazo ya mtu.
Wale waombao ushahidi wa yaliyoandikwa watasubiri sana kwa sababu ushahidi wa mwandishi ni mawazo yake.

Nyerere alisoma majuu lakini alikumbuka kurudi kwao na kutumia elimu yake kuhamsisha siasa hadi nchi ikapata Uhuru.

Wengi mara nyingi hujikuta wakiwa katika chuo fulani kwa sababu za kiuchumi na si hizo zilizo tajwa.
 
1. Maskini,waoga na washamba - SUA

2. Matajiri, wajanja na wenye akili - MZUMBE

3. Wenye akili chache, wavivu na matozi, masister duu - CBE DAR

4. Malaya, wasanii, wauza sura na wasio jiweza kiakili - IFM

5. Upeo mdogo, wapenda sifa na watoto wa mama - TUMAINI UNIVERSITY

6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi - MUCCOBS

7. Wapenda ofa duni za serikali - TIA

8. Waliokosa vyuo kabisa - RUCCO

9. Mafundi - DIT, ST JOSEPH

10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM - UNIVERSITY OF DODOMA

11. Wasiojali future, watoto wa geti kali - SAUT

12. Wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form4-6 - IAA

13. Wanaosoma sana but silent - ST JOHN, KCMC, BUGANDO

14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu - CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY, MORO MUSLIMU, NYUKI TABORA

15. Wakujitolea na future duni - DUCE, MUCE, KIGURUNYEMBE

16. Wasiojali nchi mamluki - ABROAD

17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina - UDSM

Kaka vipi kuhusu TEKU

Ila kaka una hatari?
 
14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu - CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY, MORO MUSLIMU, NYUKI TABORA

MBONA NYUKI TABORA ILISHAKUFA LONG T MUKUBWA?
 
sasa wewe binafsi upo fungu lipi ?
 
hakya mungu wewe!!!
nimecheka sana, na kufurahi pia
kabla sijaja huku oslo nilipta hapo kwa hao unaosema wajanja na wenye akili.

lakini umefanya utafiti wa haya kaka?

Na hisi hata mimi wewe ni mjanja na una akili kama umesomea pale...!! Au mtazamo wako ukoje ?
 
wewe hapo juu,acha mambo zako,
UDSM ipo tight wewe;sema degree za chupini zipo ifm,cbe na sauti.
huko ndo dah,bao moja degree moja hiyo mzee...ni noma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom