PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 1,999
irrelevant kwa mujibu na kwa mintarafu gani? Watu wanapofanya tafiti wanachapisha majibu wakiweza wazi specifications kwa sababu wanajua vyema limitations za tafiti zao. Kupuuza hilo ni kwenda kinyume na matumizi ya matokeo ya tafiti hizo.
Mtu anatakiwa awe specific kueleweka hiyo generalization inahusu sample ya aina gani. Hiyo ni condition ya kwanza ya lazima kwa mtu yoyote anaetaka kufanya generalization.
Huwezi ukaja hapa ukasema wanawake wana macho ya buluu, ukategemea watu waelewe unazungumzia wanawake gani. Kama umeweza kupata hiyo general trend lazima uliangalia specifications fulani, hizo ndizo tunazozitaka
Ndio idadi yake ni ngapi? Kama wewe umezungumza na wanaume 10 na 7 kati yao wakasema hawapendi mazungumzo ya wanawake, kihesabu utakuwa sahihi ukisema asilimia 70 ya wanaume unaowajua hawapendi mazungumzo ya wanawake, lakini kijamii haitakuwa na maana sahihi. Saple size ni kitu moja muhimu mno katika kukubalika kwa matokeo ya utafiti wowote ule.
Ndio nikataka uwe specific, ili wanaokusoma wakuelewe iwapo hiyo unayoizungumzia ni katika habits ambazo anatakiwa kuwa nayo kama wengine wa jamii yake au si lazima iwe hivyo.
Tanabahi:
Hii ya kuwaita watu usiowajua/au hata unaowajua "dear" inaweza kuwa sababu ya mikwaruzano na ukatakiwa uombe radhi hadharani
Video: Calm down, dear: David Cameron's 'sexist' taunt to Labour MP - Telegraph
a) Ni hivi dear, Unaweza uka'guess' pia kwamba I am a bit older(there are many factors that can help you come to that conclusion) so pia cycle yangu ya interaction ni kubwa kidogo but why bother...nadhani kwa sababu hapa tunafanya random commenting tungeallow a little room for error, we don't have to be 99.99% accurate!
At the end of the day we are just socializing.
b) Mimi naona wewe ni mvivu tu wa kumek intuitive deductions from matters my dear.
Tanawhatever - If me calling you dear bothers you then sue me!