Hivi Dada zangu, huwa mnapata wapi ujasiri wa kutuambia wapenzi wenu hatuna jipya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,577
108,931
Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani.

Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama Feni za Ukutani na Darini za Phillips pale Mkuyenge ukiwa unazama na kuibuka kunako Mbunye?

Wanaume tungekuwa hatuna jipya kama msemavyo hizo Mimba zetu mngekuwa mnazipata?

Na kwa taarifa yenu sasa ndiyo maana kwa hizi hizi Kauli zenu kuwa Wanaume hatuna Jipya pale Mkigombana na Sisi Wanaume kwa makusudi tukiwa nanyi Maabara za Kibaiolojia huwa tunahakikisha hata kama tutapiga Simu za Vodacom, Airtel na Halotel ila ni lazima ili Mawasiliano yakamilike tupige pia na Mtandao wetu pendwa Team Kufukua wa Tigo.

Yaani unatokwa hadi na Jasho Kubwa, Kikwapa kinanuka, huku ukiungata Mto huku Sura umeikunja, vilio juu na sometimes huwa hata mnajamba kwa bahati mbaya na nzuri kisha tukishindwana tu ukikaa na Wenzako ( Mashoga ) Vijiweni na kuniona tu unaanza kunichafua kuwa sina / sikuwa na Jipya Kwako.

Na mtapelekewa sana tu Moto Okay?
 
Wanawake wameumbwa kuropoka ropoka tunaishi nao hivyo hivyo tuu ila akiwa nyonya damu kimbia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom