Story za mkeo/mpenz wa ndoa

irrelevant kwa mujibu na kwa mintarafu gani? Watu wanapofanya tafiti wanachapisha majibu wakiweza wazi specifications kwa sababu wanajua vyema limitations za tafiti zao. Kupuuza hilo ni kwenda kinyume na matumizi ya matokeo ya tafiti hizo.

Mtu anatakiwa awe specific kueleweka hiyo generalization inahusu sample ya aina gani. Hiyo ni condition ya kwanza ya lazima kwa mtu yoyote anaetaka kufanya generalization.

Huwezi ukaja hapa ukasema wanawake wana macho ya buluu, ukategemea watu waelewe unazungumzia wanawake gani. Kama umeweza kupata hiyo general trend lazima uliangalia specifications fulani, hizo ndizo tunazozitaka

Ndio idadi yake ni ngapi? Kama wewe umezungumza na wanaume 10 na 7 kati yao wakasema hawapendi mazungumzo ya wanawake, kihesabu utakuwa sahihi ukisema asilimia 70 ya wanaume unaowajua hawapendi mazungumzo ya wanawake, lakini kijamii haitakuwa na maana sahihi. Saple size ni kitu moja muhimu mno katika kukubalika kwa matokeo ya utafiti wowote ule.

Ndio nikataka uwe specific, ili wanaokusoma wakuelewe iwapo hiyo unayoizungumzia ni katika habits ambazo anatakiwa kuwa nayo kama wengine wa jamii yake au si lazima iwe hivyo.

Tanabahi:
Hii ya kuwaita watu usiowajua/au hata unaowajua "dear" inaweza kuwa sababu ya mikwaruzano na ukatakiwa uombe radhi hadharani
Video: Calm down, dear: David Cameron's 'sexist' taunt to Labour MP - Telegraph

a) Ni hivi dear, Unaweza uka'guess' pia kwamba I am a bit older(there are many factors that can help you come to that conclusion) so pia cycle yangu ya interaction ni kubwa kidogo but why bother...nadhani kwa sababu hapa tunafanya random commenting tungeallow a little room for error, we don't have to be 99.99% accurate!
At the end of the day we are just socializing.

b) Mimi naona wewe ni mvivu tu wa kumek intuitive deductions from matters my dear.

Tanawhatever - If me calling you dear bothers you then sue me!
 
The Boss ndio maana nikasema stori zozote kwenye mahusiano ili zinoge lazima kuwepo na 'harmony'..
Unajua kikawaida stories zinaendana na movement..huwezi kumtaka mkeo akupigie stori za ujenzi wakati mko kwenye hadhara ya harusi..lazima mtapiga stori zinazoendana na muktadha. Binafsi naamini mazungumzo yananoga kama mna amani kwenye ndoa. Kama alivyosema Kiranga ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha kuwa amani inajengwa..na kila mtu anafurahia stori za mwenzie!
 
Last edited by a moderator:

If me calling you dear bothers you then sue me!

Muungwana anapokosolewa hujirekebisha, na anapoona hana kosa lakini amtendeae hapendi, hujizuwia ili kuepusha mifarakano isiyo lazima.

Unaweza ukawa 'a bit older' kama unavyodai, lakini comments za aina hii, zinaashiria kwamba maisha hadi kufikia umri huo hayakukusaidia kupata werevu na hekima ya kuishi na watu wengine kwenye jamii.

Heshima kitu cha bure, na uungwana ni vitendo.
 
unajua wanawake wengi wako very emotional, inauma sana pale unapoona mwenzio hana story na wewe.
stories can be part of the foreplay you know....
sio lazima mtu usubirie kitandani ndio uanze.
Kwa mfano, mimi hufurahi pale mwenzangu anaposhare stories za kazi zake na kusikiliza zangu pia, its a great way to create good bond.
sikubaliani na wale wanaosema eti wanaume wanataka kusikiliza story za madeal tu, now when do they rest their minds? kwa maoni yangu ni vizuri pia kusikiliza stories zisizo na some seriousness for your health.
 
Labda ndoa hazidumu kwa sababu wanawake wamechoka kuwa emotionally abused pia.

Waswahili tunasema mtumikie kafiri upate ujira wako, sasa ukiwa nunda utaishia kuumizwa tu jifanye mjinga yaishe.
 
Nafikiri pia kuna utofauti wa aina za stori ambazo wanaume wanazipenda na zingine ambazo wanawake wanazipenda. Hii saa nyingine ni kama nature. Mwanamke hupenda kusimulia matukio yanayohusu watu zaidi, mwenendo wa maisha ya watu, mahusiano, yaliyotokea ofisini, majirani, marafiki, sherehe nk. Kwa wanaume wengi hupenda kuzungumzia vitu, mipango, ubunifu, ujenzi, mafundi nk hata kwenye wakati wa starehe na wakibadilisha labda mpira na aina za magari! Hizi saikolojia ni za ajabu sana, kwa mfano mtu anaweza kupita na gari mbele ya mwanamke na mwanaume. Mwanamke ataangalia ndani ya gari ili aone ni nani anaendesha na yupo na nani, amevaaje nk. Upande wa mwanaume ataangalia model ya gari, ukubwa wa injini nk!

Katika hali ya kawaida kwenye mahusiano ni vyema ujifunza interest za mwenzi wako. Ni vyema mwanaume ujue mkeo anapenda nini na mke kujua mwanaume anapenda nini. Hii inasaidia kujua nini cha kuongea ambacho kinaweza kuwaweka sawa na kujikuta mnafurahia mazungumzo. Chukulia mfano, mwanaume akimpa lift mdada anayemfahamu, mazungumzo ya ndani ya gari mara nyingi hujaa na vicheko, utani na furaha, jiulize ni kwa nini? Ni vyema mazungumzo kama haya kudumishwa kwenye mahusiano ya kindoa ili kuondoa hali ya mtu kumbore mwenzake.

you know whatHorsePower am all weather, naweza kupiga story hadi za mpira, the way ninavompenda huyu jamaa wakati wa msimu wa ligi naangalia nae mpira mwanzo mwisho na tunaiva sana ila siku nikimwambia twende mlimani city tuangalie movie moja tu nzuri ambayo naye ataifurahia looh utasikia visingizio kibao ila yeye anafurah mm nikimsindikiza. Sasa story, what u r saying is right ila shida mbona hutoi alert kwamba mpenz hapo unapoendelea hapo utabaki mwenyewe basi nami naamua kubadili story au kunyamaza na kukuacha ulale ila kunichenchia gafla mmh sio hata kidogo.
Yaani hapo pa kumpa lift mdada anayemfahamu looh hadi waweza ona wivu ukiwakuta ukafikiri wanaflirt ni story ukiingia tu kimyaa au anakuwa hachangii tena as if wewe ni kikwazo.
Kuna hii tabia ya kusifia wengine wako unaacha ntaileta next time...
 
Muungwana anapokosolewa hujirekebisha, na anapoona hana kosa lakini amtendeae hapendi, hujizuwia ili kuepusha mifarakano isiyo lazima.

Unaweza ukawa 'a bit older' kama unavyodai, lakini comments za aina hii, zinaashiria kwamba maisha hadi kufikia umri huo hayakukusaidia kupata werevu na hekima ya kuishi na watu wengine kwenye jamii.

Heshima kitu cha bure, na uungwana ni vitendo.
Gaijin you seem to not getting impressions at all,
I'm telling you to sue me because you can't,
why can't you? because you don't know me and this wasn't meant to be a forum where we quote each other and force politically favorable law suits like the one you referred to in the link.
It wasn't meant as a disrespect comment as you imply and I'm sorry that you think of it that way.
Are you this uptight even in a social forum?
Live a little!
 
Kuvaa sura za screen za computer isiwe sababu ya kutoa sexist remarks mpendavyo

Mtu asiyekuwa mkweli kwa nafsi yake akiwa peke yake, hawezi kuwa mkweli akiwa mbele ya kadamnasi

A sexist remark is a sexist remark be it made in the real or virtual world, why should I let it slide?

Au ndo tukuwache mpaka ufike mkutano wa kimataifa umwite mtu "dear"?

Forum hii kati ya mengine inatoa platform ya watu kurekebishana bila kuoneana haya. Ndio hivi
 
Last edited by a moderator:
Nakibaliana na wewe kiasi fulani
sometimes inabidi kufanya vitu ambavyo vinamfurahisha mwenzio in the name of love japokuwa wewe hu enjoy kiviile. iyo ya movie na mpira is one of good examples

you know whatHorsePower am all weather, naweza kupiga story hadi za mpira, the way ninavompenda huyu jamaa wakati wa msimu wa ligi naangalia nae mpira mwanzo mwisho na tunaiva sana ila siku nikimwambia twende mlimani city tuangalie movie moja tu nzuri ambayo naye ataifurahia looh utasikia visingizio kibao ila yeye anafurah mm nikimsindikiza. Sasa story, what u r saying is right ila shida mbona hutoi alert kwamba mpenz hapo unapoendelea hapo utabaki mwenyewe basi nami naamua kubadili story au kunyamaza na kukuacha ulale ila kunichenchia gafla mmh sio hata kidogo.
Yaani hapo pa kumpa lift mdada anayemfahamu looh hadi waweza ona wivu ukiwakuta ukafikiri wanaflirt ni story ukiingia tu kimyaa au anakuwa hachangii tena as if wewe ni kikwazo.
Kuna hii tabia ya kusifia wengine wako unaacha ntaileta next time...
 
Horsepower, ni vyema pia kama ni mke na mume au mko kwenye mahusiano ya muda mrefu mkajifunza ku enjoy maongezi ya mwenzio na kujifunza kupenda vitu anavyopenda mwenzio. hiyo itasaidia kudumisha uhusiano na pia hakuna atakayeboreka kwa sababu ya mwenzie. kama mume anapenda mpira, basi ni vyema mdada na wewe ujifunze kupenda mpira au hayo magari ili maongezi yaendane. kama mama anapenda umbeya kidogo, maana ni suna kwa kina mama, basi na wewe kidogo ji tune basi uendane na mwenzio. lakini kukaa kimya na kuongeza sauti ya radio nadhani ni kumdharau mwenzio na kuona anayoongea hayana maana. wewe ukiongea na mimi halafu nikaongeza sauti ya radio how would you feel...

Nafikiri pia kuna utofauti wa aina za stori ambazo wanaume wanazipenda na zingine ambazo wanawake wanazipenda. Hii saa nyingine ni kama nature. Mwanamke hupenda kusimulia matukio yanayohusu watu zaidi, mwenendo wa maisha ya watu, mahusiano, yaliyotokea ofisini, majirani, marafiki, sherehe nk. Kwa wanaume wengi hupenda kuzungumzia vitu, mipango, ubunifu, ujenzi, mafundi nk hata kwenye wakati wa starehe na wakibadilisha labda mpira na aina za magari! Hizi saikolojia ni za ajabu sana, kwa mfano mtu anaweza kupita na gari mbele ya mwanamke na mwanaume. Mwanamke ataangalia ndani ya gari ili aone ni nani anaendesha na yupo na nani, amevaaje nk. Upande wa mwanaume ataangalia model ya gari, ukubwa wa injini nk!

Katika hali ya kawaida kwenye mahusiano ni vyema ujifunza interest za mwenzi wako. Ni vyema mwanaume ujue mkeo anapenda nini na mke kujua mwanaume anapenda nini. Hii inasaidia kujua nini cha kuongea ambacho kinaweza kuwaweka sawa na kujikuta mnafurahia mazungumzo. Chukulia mfano, mwanaume akimpa lift mdada anayemfahamu, mazungumzo ya ndani ya gari mara nyingi hujaa na vicheko, utani na furaha, jiulize ni kwa nini? Ni vyema mazungumzo kama haya kudumishwa kwenye mahusiano ya kindoa ili kuondoa hali ya mtu kumbore mwenzake.
 
Waswahili tunasema mtumikie kafiri upate ujira wako, sasa ukiwa nunda utaishia kuumizwa tu jifanye mjinga yaishe.

Staarehe na furaha ya maisha sio awe nayo mwanamme tu. maisha ya kuwa mwanamke u-sacrifice furaha yako kila siku ni suala ambalo gumu kulitenda.

Wanaume wanatakiwa kukumbuka hilo, wanawake nao hawana mioyo ya jiwe ati
 
Hebu jichunguze na story zako.may be zinaboa kweli.Usitafute kumrekebisha mwenzio jirekebishe wewe kwanza.Kama hicho kitu hakipendi si uache kufanya tafuta kile anapenda???? utapungukiwa nini?

story zangu za kawaida sana wala sidhani kama zinaboa, lakini pia nisiusemee moyo wa mtu may be zinamboa shida ni kwamba mdomo anao why haniambii? hajawahi sema na bikiona sisikilizwi au nakatishwa njiani nanyamaza baada ya muda utasikia mbona huongei, umeamua kuninunia sasa sielewi sijui ndo hii sitaki nataka au madeko tuu looh kama hapendeki...?
 
Unajua somtyms mdada/mwanamke uwe na capacity, thats means uwe na kiwango/kikomo cha kuongea mtoto wa kike kuongea sana haipendez wala haifurahshi. utaonekana mcharuko if nat dat utaonekana mjuaji, so we better have the bridge that unaongea penye ulazma wa kuongea, inabid ifike ha2a mume/mpenzi wako anakua na ham ya kuckia sauti yako na cyo mkiwa na appointmwnt anaanza kuwaza story ya leo cjui itakua nini.
 
sakapal tafuta hiki kitabu usome
41Mu8fSiRUL._BO2,204,203,200_PIsitb-sticker-arrow-click,TopRight,35,-76_AA300_SH20_OU01_.jpg

nilikikuta sehemu nikakinunua tu nisome, nilichoka. yaani ni kama walikuwa wananizungumzia mimi. Nikawapa wadada 3, wakisome, yaani kila mdada aliona kama anazungumziwa yeye. huwa tuna makosa mengi sana tunayafanya tunapokuwa tunaongea na wenzetu, lakini hatujui kama tunakosea. sometimes timing mbaya (yupo busy na gazeti au TV wewe ndo unaanzisha stori), hatupo direct (tunazunguka zunguka tuuu, halafu tunategemea wataelewa)... na mengine mengi tu
 
Last edited by a moderator:
hapa mtoa mada umeonyesha jinsi ambavyo wanawake wako selfish..kwanini wewe uongee kila wakati? kwanini usikilizwe wewe tu kila wakati..mbona hutaki na yeye aongee mbona hutaki na yeye akupe story za kwake why should men always listen to women and not the other way around..sometimes sisi wanaume tunapenda ule ukimya kutafakari mambo mengi kichwani so kila mahali mkiwa mnaongea ni rahisi kupotezea...kwanza bora hata wa kwako anaongeza sauti ya redio..wengine wanaweza kua wanakuitikia we ukajua wanakusikiliza lakini mawazo yao yako mbali
 
Kupiga stori ni art. Wakati mwingine anaweza akakupigisha stori saa nzima na ukawa bado unahitaji kumsikiliza, mwengine ni muda mfupi tu ana ku-put off. Badala ya kumlaumu msikilizaji, jitathmini wewe pia kama stori zako ziko vp. Ama njia ya pili ni kujua mumeo anapenda michapo ipi and you stick to those. Kama ni petty, gossipy and trivial stories, hata mimi huwa napotezea pia.
 
Talking is Gud kwa kweli,
Kimtazamo mi nadhani ingebaki tu average talking, muwe na uwezo kwa kukaa kimya pia mkiwa wawili. siyo kila mkikutana mnaongea. Ujue ukiwa muongeaji sana there is a good chance kwamba utaongea na vingine ambavyo siyo
Mfano
1)Kusengenya-(i hate this-I hate talking about others while I am with my wife).
2)Kuudhiana-Increasing chances za mumeo kudisagree na opinions zako.
3)Kuondoa element ya surprise. Like ukifanya kitu mumeo anajua ulisema utafanya.
4)And last but not least kuharibu quality ya ur time together...If u bore him then he wont be looking foward to your time together(Pretty hard to embrace, Isn't it?)

Mi namshukuru Mungu my wife huongea kawaida na hanishikii bango nimsikilize...but then sijawahi kuchoka kumsikiliza

thats good and the loved one is lucky, kitu muhimu ni kusikiliza ni wanaume wachahche sana wanakipaji hiki.
Kuna shangazi yangu mmoja aliwahi umwa sana na tangu apone anaongea na kuwish alot of things sasa dada yake anamjibu dry au sometimes hata kumsikiliza hamsikilizi basi tukienda mtembelea unapomsikiliza story zake anafurahii na anawambia jinsi dada yake (shangazi mkubwa) ambavyo hata hamsikilizi yaani anamuignore, thats very bad habbit, if u happen to be close to anyone and that person need u to listen, jamani sikiliza coz amekuthamini na amekuchagua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom