Hivi Mwanamke akiwa Mzuri ndio Tiketi ya Kuwa Mdangaji?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,295
Wakuu hii imekaaje, yaani Mwanamke akishakuwa mzuri tu basi unakuta ni Mdangaji?

Hivi hawawazi kuhusu future zao? Au wana guarantee?

Yaani ukikuta mzuri basi ana wanaume zaidi ya 50, anauza Baa, unamkuta kwenye madanguro au anajiuza.

Hii inanishangaza ni uzuri wao unawashawishi au Upstairs ndio kuna tatizo?

Shida zaidi inakuja hata kwa wale wasomi, tungesema hawa Wa Mwananyamala ni sababu ya njaa na Low IQ.sasa hawa wanaojiweza kifedha na Elimu shida ni nini?
 
Mchawi helaa Kwa mwanaumee ,ukiwanazo hata uwez waonea HURUMA na kuwatafakari zaidi yakuwala tu mkuuu..
FB_IMG_1676436761705.jpg
 
Wakuu hii imekaaje, yaani Mwanamke akishakuwa mzuri tu basi unakuta ni Mdangaji...
Uzuri - Golddigger - Prostitution

Hizo ni steps 3 ambazo wanawake wazuri especially hawa born town girls (the majority) hupitia kwenye maisha yao.

Sio kwamba hawajui nini wanafanya NO bali desire is what leads them onto it na hawafikirii kua kesho yao itakuaje.

Ndo hawa wa leo hii wa insta wanaji-proud kua na wanaume wengi, having long nails, mapombe na vitu vingine vinavyo-associate na tabia mbaya.
 
At their late ages tumeona wengi wanapitia vipindi vigumu sana. Maana uzuri haudumu. It is just 10 or 15yrs period only
 
At their late ages tumeona wengi wanapitia vipindi vigumu sana. Maana uzuri haudumu. It is just 10 or 15yrs period only
Kuhusu vipindi vigumu ni kweli ndomana mwaka jana na mwaka huu taarifa nyingi za girls wanaofanya porn kufariki au kujiua zimekua ni nyingi mno hua wanakuja kupata depression za hatari.
 
Back
Top Bottom