Tendo la Ndoa ni mbolea ya ndoa

Richard mtao

JF-Expert Member
May 13, 2018
209
236
Tendo la ndoa ni kiunganishi cha kimwili,fikra(hisia), na hata nguvu za kiasili baina ya mwanamke na mwanaume. Kuna sababu kuu ya uwepo wa tendo hili ni kuzaliana kama ambavyo ipo hivyo kwa wanyama. Lakini kwakua mwanadamu alipewa utambuzi na ufahamu wa mambo kwetu sisi imekuwa tofauti kidogo kwamba binadamu anaweza kufanya tendo hili kama starehe ya mwili yaani kutimiza matakwa au mihemuko yake ya kimwili lakini pia linafanywa kama ustawi wa ndoa.

Ndoa nyingi zinakumbwa na changamoto nyingi sana na zingine mpaka kuvunjika tena kupelekea wanandoa hawa kuwa mahasimu wakubwa sana maishani kwasababu ya tendo hili (sex).

Ukweli ni kwamba kuna sababu nyingi sana zinazopelekea tendo hili kutofanywa kwa ufanisi na mwisho wa siku inapelekea ndoa kuwa ndoano baadhi yao ni:-

1. Matatizo ya kiafya( kuna magonjwa mbalimbali yanayosababisha tendo hili lisifanyike vizuri mfano, Magonjwa ya Nguv za kiume, Msongo wa mawazo, magonjwa ya fangasi(kwa wanawake), matatizo ya homoni, magonjwa ya zinaaa n.k.

2. Mazoea pamoja na story za vijiwe.
->Kwa upande wa wanawake
*Wanawake wengi wanaishi kwa mazoea, yaani wana tendency ya kuzoea jambo mfano, kama mume alikuwa anampatia mhogo kutwa mara 3, ikitokea akafululiza anampa huo mhogo kutwa mara 1 mwanamke huyu ataanza kutengeneza assumption zake ambazo hazina ukweli wowote na badala yake anabwatuka na kumtamkia maneno ya kumuumiza mmewe bila ya yeye mwenyewe kujua.

(hali hii inamfanya mwanaume aone hueshimu na wala huthamini anachofanya, pengine uchovu wa kazi na ugumu wa maisha ndio vinafanya apunguze kukupatia mhogo kama ulivyo zoea).

Huo ni mfano tu kwenye mchakato mzima wa kutafuta goli, lakini kuna mazoea mengi ambayo wanawake wanayo yanayopelekea mmeo ashindwe kukupa unachokihitaji, mengineyo ni kama:

1. Kauli unazotumia

2. Usafi( jinsi unavyojiweka mara baada ya mechi ya utangulizi) n.k

*Story za vijiwe

Sasa hii ni balaa sana, wanawake wengi kama ilivyo ada umbea kwao ni kitu cha thamani sana sasa kupitia umbea huo wanaokuwa wanaupiga epecially unahusiana na tendo la ndoa, hapa wanapotezana sana na wanaharibiana sana.

Utaskia mwingine anasema mhogo mkubwa ndio habari ya mjini shoga, utaskia mwingine mhogo wa wastani ndio mzuri ila uliwe kuanzia saa 1 mpaka mawili. Mwingine anaenda mbali kwa kusema mme wangu anamhogo wa kipekee sana mkubwa halafu mrefu pia akipanda jukwaani anacheza mpaka natamani kulia maana anapiga shoo kuanzia bao 3 na kuendelea na bao zote anaunganisha.

Sasa hii inawavuruga wanawake wengi kisaikolojia na kuona wame zao sio kitu na wana udhaifu mkubwa hivyo wanaanza kuwadharau, na hata kuchepuka.

->kwa upande wa wanaume
Story za vijiwe zinawaathiri baadhi ya wanaume wachache wasiojielewa na hivyo kuwafanya wawe wapumbavu:

1. Kuwanyanyasa wake zao kingono
2. Kuwaingilia kinyume
3. Kuwadharau wake zao kutokana na story za wanawake wenye mishepu na wazuri kulik wako zao.

Sasa haya yote yanachangia pakubwa sana kuharibu na kuvunja mahusiano mengi au ndoa nyingi. Na kama tunavyofahamu tendo la ndio suluhisho la kweli katika ndio, iwapo halifanywi vzr kwasabab zozote kati ya hizo ama nyingine ni wazi ndoaa hiyo itakuwa na kelele zisizo za msingi na mwisho ndoa itavunjika.

Ushauri wangu:
Kwa wanandoa wote kwanza tuachane na story za vijiweni, tusiishi kwa mazoea maana mambo yanabadilika na siki hazilingani. Badala yake tuishi kwa kupendana, kuheshimiana, kuskilizana,kuvumilina na kubwa kuliko tusizoeane kabisa kwenye tendo la ndoa.

Tendo la ndoa lifanyike kisawa sawa bila kujali umri wenu.Hii itasaidia sana kustawisha zaidi mahusiano yenu.
Sio wewe mwanaume umfanye mke wako kama mtumwa wa ngono hapana utakuwa unaharibu nyumba yako mwenyewe.

Nawewe mwanamke sio umuone mme wako kama mtumwa wako( yey ndo wa kufanya kila kitu) utakuwa unavunja ndoa yako mwenyewe.

Karibuni kwa mawazo tujifunze zaidi
 
Tendo la ndoa ni kiunganishi cha kimwili,fikra(hisia), na hata nguvu za kiasili baina ya mwanamke na mwanaume. Kuna sababu kuu ya uwepo wa tendo hili ni kuzaliana kama ambavyo ipo hivyo kwa wanyama. Lakini kwakua mwanadamu alipewa utambuzi na ufahamu wa mambo kwetu sisi imekuwa tofauti kidogo kwamba binadamu anaweza kufanya tendo hili kama starehe ya mwili yaani kutimiza matakwa au mihemuko yake ya kimwili.
Lakini pia linafanywa kama ustawi wa ndoa.

Ndoa nyingi zinakumbwa na changamoto nyingi sana na zingine mpaka kuvunjika tena kupelekea wanandoa hawa kuwa mahasimu wakubwa sana maishani kwasababu ya tendo hili(sex).
Ukweli ni kwamba kuna sababu nyingi sana zinazopelekea tendo hili kutofanywa kwa ufanisi na mwisho wa siku inapelekea ndoa kuwa ndoano baadhi yao ni:-

1. Matatizo ya kiafya( kuna magonjwa mbalimbali yanayosababisha tendo hili lisifanyike vizuri mfano, Magonjwa ya Nguv za kiume, Msongo wa mawazo, magonjwa ya fangasi(kwa wanawake), matatizo ya homoni, magonjwa ya zinaaa n.k.

2. Mazoea pamoja na story za vijiwe.
->Kwa upande wa wanawake
*Wanawake wengi wanaishi kwa mazoea, yaani wana tendency ya kuzoea jambo mfano, kama mume alikuwa anampatia mhogo kutwa mara 3,ikitokea akafululiza anampa huo mhogo kutwa mara 1 mwanamke huyu ataanza kutengeneza assumption zake ambazo hazina ukweli wowote na badala yake anabwatuka na kumtamkia maneno ya kumuumiza mmewe bila ya yeye mwenyewe kujua.( hali hii inamfanya mwanaume aone hueshimu na wala huthamini anachofanya, pengine uchovu wa kazi na ugumu wa maisha ndio vinafanya apunguze kukupatia mhogo kama ulivyo zoea)
Huo ni mfano tu kwenye mchakato mzima wa kutafuta goli, lakini kuna mazoea mengi ambayo wanawake wanayo yanayopelekea mmeo ashindwe kukupa unachokihitaji, mengineyo ni kama:-
1. Kauli unazotumia
2. Usafi( jinsi unavyojiweka mara baada ya mechi ya utangulizi) n.k

*Story za vijiwe
Sasa hii ni balaa sana, wanawake wengi kama ilivyo ada umbea kwao ni kitu cha thamani sana sasa kupitia umbea huo wanaokuwa wanaupiga epecially unahusiana na tendo la ndoa, hapa wanapotezana sana na wanaharibiana sana. Utaskia mwingine anasema mhogo mkubwa ndio habari ya mjini shoga, utaskia mwingine mhogo wa wastani ndio mzuri ila uliwe kuanzia saa 1 mpka mawili na mwingine anaenda mbali kwa kusema mme wangu anamhogo wa kipekee sana mkubwa alafu mrefu pia akipanda jukwaani anacheza mpaka natamani kulia maana anapiga shoo kuanzia bao 3 na kuendelea na bao zote anaunganisha. Sasa hii inawavuruga wanawake wengi kisaikolojia na kuona wame zao sio kitu na wana udhaifu mkubwa hivyo wanaanza kuwadharau, na hata kuchepuka.

->kwa upande wa wanaume
Story za vijiwe zinawaathiri baadhi ya wanaume wachache wasiojielewa na hivyo kuwafanya wawe wapumbavu:-
1. Kuwanyanyasa wake zao kingono
2. Kuwaingilia kinyume
3. Kuwadharau wake zao kutokana na story za wanawake wenye mishepu na wazuri kulik wako zao.

Sasa haya yote yanachangia pakubwa sana kuharibu na kuvunja mahusiano mengi au ndoa nyingi.
Na kama tunavyofahamu tendo la ndio suluhisho la kweli katika ndio, iwapo halifanywi vzr kwasabab zozote kati ya hizo ama nyingine ni wazi ndoaa hiyo itakuwa na kelele zisizo za msingi na mwisho ndoa itavunjika.

Ushauri wangu.
Kwa wanandoa wote kwanza tuachane na story za vijiweni, tusiishi kwa mazoea maana mambo yanabadilika na siki hazilingani. Badala yake tuishi kwa kupendana, kuheshimiana, kuskilizana,kuvumilina na kubwa kuliko tusizoeane kabisa kwenye tendo la ndoa.

Tendo la ndoa lifanyike kisawa sawa bila kujali umri wenu.Hii itasaidia sana kustawisha zaidi mahusiano yenu.
Sio wewe mwanaume umfanye mke wako kama mtumwa wa ngono hapana utakuwa unaharibu nyumba yako mwenyewe.
Nawewe mwanamke sio umuone mme wako kama mtumwa wako( yey ndo wa kufanya kila kitu) utakuwa unavunja ndoa yako mwenyewe.

Karibuni kwa mawazo tujifunze zaidi
tendo la ndoa miongoni mwa kitulizo mujarabu sana cha moyo na akili 🐒
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom