huyu dar anaonekanagaHivi hii staili ya uvaaji suruali begani iliishia wapi!hawa wavaaji wako wapi siku hizi mbona hawaonekani
View attachment 26797
Yupo mmoja hakosekani pale mtaa wa Lumumba na Pemba, Dar. Sio katika hao juu.
Naijua wanashikia mikono as if vidole nivichafu anaogopa kuchafuka utacheka sana suruali inavaliwa ktk matiti!!!!!Kwa mapedeshee wenyewe wa kikongo kuna staili maalum ya kuivuta juu suruali inapolegea, sio kuishika kwa mikono.
Enheee!! kakaKiiza ulikuwepo nini?Naijua wanashikia mikono as if vidole nivichafu anaogopa kuchafuka utacheka sana suruali inavaliwa ktk matiti!!!!!
Hivi hii staili ya uvaaji suruali begani iliishia wapi!hawa wavaaji wako wapi siku hizi mbona hawaonekani
View attachment 26797
View attachment 26798
View attachment 26799