Rais wa Tanzania anapata wapi pesa nje ya Kodi zetu? Mawaziri Mwajili wenu ni sisi wananchi, Rais aliwateua

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Hizi sifa anazopewa Rais wa Tanzania zinamsataili?

Kila uchwao tunasikia Rais ametoa pesa za mradi fulani, mara Mradi fulani nauliza Rais wetu hizo pesa anazitoa wapi zaidi ya kodi zetu?

Kama ni kodi zetu kwa nini sifa apewe yeye wakati kazi yake ni kutunza kibubu cha fedha tunazo lipa kodi sisi? Hivi hawa mawaziri kwa nini wanamsifia mtu aliye wateua tu na kutuacha sisi ambao tuliwachagua jimboni na yeye ndo akawaona akawapa zawadi ya uwaziri?

Je Rais wetu kwa maana ya mtunza kibubu anaamua mwenyewe fedha zetu zitumikeje hakuna mamlaka ya kumwelekeza jinsi ya kutumia fedha zetu? (usinione kichaa sasa Rais wa CCM Bunge la CCM watampangia nini?)

Sifa zimekuwa nyingi, tunao staili sifa ni sisi na sio mtunza kibubu.
 
Pesa zinatoja hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C5c6SkOgg-Y/?igsh=MWdpdmx3ODJldGJpNw==
 
Hizi sifa anazopewa Rais wa Tanzania zinamsataili?

Kila uchwao tunasikia Rais ametoa pesa za mradi fulani, mara Mradi fulani nauliza Rais wetu hizo pesa anazitoa wapi zaidi ya kodi zetu?

Kama ni kodi zetu kwa nini sifa apewe yeye wakati kazi yake ni kutunza kibubu cha fedha tunazo lipa kodi sisi? Hivi hawa mawaziri kwa nini wanamsifia mtu aliye wateua tu na kutuacha sisi ambao tuliwachagua jimboni na yeye ndo akawaona akawapa zawadi ya uwaziri?

Je Rais wetu kwa maana ya mtunza kibubu anaamua mwenyewe fedha zetu zitumikeje hakuna mamlaka ya kumwelekeza jinsi ya kutumia fedha zetu? (usinione kichaa sasa Rais wa CCM Bunge la CCM watampangia nini?)

Sifa zimekuwa nyingi, tunao staili sifa ni sisi na sio mtunza kibubu.
= mwajiri
 
Kama nchi ingekuwa inaendeshwa kama Taasisi , Rais angekuwa ni Mkurugenzi mkuu wa Serikali na wananchi ni shareholders na bunge lingekuwa ni Board.

Shareholders wamewapa jukumu board na board inaona Mkurugenzi mkuu yupo vizuri na Mkurugenzi mkuu amepewa lengo la kuhakikisha linafikiwa.

Unadhani shareholders hawajui anachofanya Mkurugenzi mkuu ?

Unadhani taasisi ikifanya vizuri anayetakiwa kupongezwa ni Mkurugenzi mkuu, board au shareholders?
 
Kama nchi ingekuwa inaendeshwa kama Taasisi , Rais angekuwa ni Mkurugenzi mkuu wa Serikali na wananchi ni shareholders na bunge ingekuwa ni Board.

Back
Top Bottom