Staili ya Mapedeshee.......!!!!

Xkalinga

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
476
316
Hivi hii staili ya uvaaji suruali begani iliishia wapi!hawa wavaaji wako wapi siku hizi mbona hawaonekani
mi.jpg
d.jpg
g.jpg
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php


Yupo mmoja hakosekani pale mtaa wa Lumumba na Pemba, Dar. Sio katika hao juu.
 
Duh!Suruali namna hiyo mnaweza kuvaa wawili na ikawapwaya!wa kwanza alikuwa hakosekani mitaa ya kino dar
 
Kwa mapedeshee wenyewe wa kikongo kuna staili maalum ya kuivuta juu suruali inapolegea, sio kuishika kwa mikono.
 
Kwa mapedeshee wenyewe wa kikongo kuna staili maalum ya kuivuta juu suruali inapolegea, sio kuishika kwa mikono.
Naijua wanashikia mikono as if vidole nivichafu anaogopa kuchafuka utacheka sana suruali inavaliwa ktk matiti!!!!!
 
ukiangalia hao wote ni wajasiria mali, ni ubifu wao wa kuvaa ili kuvutia wateja wao.. nimeipenda hii kuliko vijana wanaokaa vijiweni kupiga soga na kuvuta bagi kusubiri kiza kiingie wawakabe dada zetu na kuiba simu na cheni ..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom