Waziri wa Maji Aweso anaiga staili ya Hayati Magufuli. Je, haoni kama anaharibu bajeti?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Staili ya Uongozi ya Jumaa aweso Waziri wa Maji ni nzuri Kwa kujipatia umaarufu wa Kisiasa na kufurahisha genge ila sio staili nzuri Kwa Utawala Bora na unaozingatia uwajibikaji wa pamoja Kwa mujibu wa Mpango Kazi.

Hii tabia yake ya kuahidi kuleta pesa hadharani nashindwa kuelewa Je huwa Kuna pesa zimejaa bila matumizi au vipi? Jibu ni hapana anaenda kuhamisha kwenye miradi mingine.

Pili Huwa ana tabia ya kufukuza fukuza Watumishi bila kuwasikiliza sijui nao ni Utawala Bora wa wapi,Kuna siku atakuja kujikuta Mahakamani kukibia hili.

Sikatai Watumishi wazembe kuchukuliwa hatua ila sio Kwa staili ya kudhalilisha kama anayofanyaga bwana Aweso.

Mwisho, Magufuli Alitumia sana huu mtindo kujizolea umaarufu binafsi ila alikuwa anavuruga sana Bajeti kiasi kwamba miradi Mingi iliishia kuchukua mda mrefu au kuwa viporo kumalizika Kwa sababu za kuhamisha pesa kutoka mradi mmja au mwingine.

Lakini pia staili hii hutoa mwanya wa wizi na kuvuruga malengo maana ni ngumu sana kufanya ufuatiliaji na assessment ya mafanikio na Changamoto.

My Take: Arudi kwenye uwajabikaji wa kibajeti anakiuka sheria ya fedha.
 
Pesa ipo sana tu unadhani hao kina lisu wanazumguka na nini?

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Staili ya Uongozi ya Jumaa aweso Waziri wa Maji ni nzuri Kwa kujipatia umaarufu wa Kisiasa na kufurahisha genge ila sio staili nzuri Kwa Utawala Bora na unaozingatia uwajibikaji wa pamoja Kwa mujibu wa Mpango Kazi.

Hii tabia yake ya kuahidi kuleta pesa hadharani nashindwa kuelewa Je huwa Kuna pesa zimejaa bila matumizi au vipi? Jibu ni hapana anaenda kuhamisha kwenye miradi mingine.

Pili Huwa ana tabia ya kufukuza fukuza Watumishi bila kuwasikiliza sijui nao ni Utawala Bora wa wapi,Kuna siku atakuja kujikuta Mahakamani kukibia hili.

Sikatai Watumishi wazembe kuchukuliwa hatua ila sio Kwa staili ya kudhalilisha kama anayofanyaga bwana Aweso.

Mwisho, Magufuli Alitumia sana huu mtindo kujizolea umaarufu binafsi ila alikuwa anavuruga sana Bajeti kiasi kwamba miradi Mingi iliishia kuchukua mda mrefu au kuwa viporo kumalizika Kwa sababu za kuhamisha pesa kutoka mradi mmja au mwingine.

Lakini pia staili hii hutoa mwanya wa wizi na kuvuruga malengo maana ni ngumu sana kufanya ufuatiliaji na assessment ya mafanikio na Changamoto.

My Take: Arudi kwenye uwajabikaji wa kibajeti anakiuka sheria ya fedha.
Acha wewe
Mwache Achape KAZI
HONGERA SANA KWAKE
 
Kwanini mnapenda sana uongozi wa kubembelezana! kwani hao wengine wewe unaona wanafata sheria? mbona wanaiba pesa na huduma kwa jamii zimekuwa mbovu?.

Na mimi nakwambia haiwezi kupita miaka 20 nchi hii kabla haijapata kiongozi mkuu kama Aweso ndio kiboko yenu majizi ya mali za uma.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom