Mapapaa na Mapedeshee waliishia wapi?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,552
Hivi wale ma papaa na mapedezhee waliokuwa wakitajwa kwenye nyimbo za wacongo wameishia wapi? Kipindi hicho (awamu ya 4) kulikuwa na club nyingi sana zenye live band na wasanii maarufu wa muziki wa dansi hasa wenye asili ya congo waliingiza pesa nyingi sana kwa kuwataja kwenye nyimbo zao.

Utasiia pedezhee Ndama mtoto ya ng'ombe, papaa Musofe, Pedezhee Rugemalila muzee ya suti nyeupe(huyu JPM alimnyoosha)😂

Wengine wako wapi?
 
Utasiia pedezhee Ndama mtoto ya ng'ombe, papaa Musofe, Pedezhee Rugemalila muzee ya suti nyeupe(huyu JPM alimnyoosha)

Wengine wako wapi?
Wapi Papaa Muzamili Katunzi,Mulezi ya Wana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mapesheee huwasikii sana maana walipata san Airtime kipindi ambacho muziki wa dance ulikuwa juu sana hapa Bongo, kwa sasa ni kama muziki huo umefifia kama sio kufa kabisa.

Mambo ya kutajana kwenye nyimbo asili yake ni Congo, kule utamaduni bado unaendelea.
Huwezi kusikiliza nyimbo zao bila kuwasikia kina Tchtcho Mbala, Adolphe Muteba Tchilamwina, Didi Kinuani, Flavien Mbila na wengineo.

Show ya kwanza kabisa Fally kufanya Bongo (Dar Live nadhani) Pedeshee ndama alimwaga hela kama hana akili nzuri, kuanzia kwa wapiga vyombo, Madensa, walinzi wa stejini n.k.
 
Hivi wale ma papaa na mapedezhee waliokuwa wakitajwa kwenye nyimbo za wacongo wameishia wapi? Kipindi hicho (awamu ya 4) kulikuwa na club nyingi sana zenye live band na wasanii maarufu wa muziki wa dansi hasa wenye asili ya congo waliingiza pesa nyingi sana kwa kuwataja kwenye nyimbo zao.

Utasiia pedezhee Ndama mtoto ya ng'ombe, papaa Musofe, Pedezhee Rugemalila muzee ya suti nyeupe(huyu JPM alimnyoosha)😂

Wengine wako wapi?
Nteze wa nteze ( Ntezemana) mzee wa kunduchi yupo Tegeta ana mental health issue ( kachanganyikiwa)
 
Back
Top Bottom