Kuvaa jezi yenye mabango mawili yaleyale ni dalili ya afya ya akili kwa mvaaji.

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,318
12,622
Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii.

Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa? mwenye bidhaa ameyalipia fedha nyingi mapango, moxtra inanywewa sana? Au wavaaji hawana akili?
 
Kifupi tu jezi ni kali.. esp ile ya form six kola.
Ila wameiharibu sana kuongeza mo Extra pale kati… wale tunaopendelea plain t shirt pale wametukosa.

Mo extra na simba ilitosha kabisa zile logo kukaa kifuani kushoto na kulia.
Em pata picha mtu mwenye kitambi kilo 80 ule mjezi akivaa ile chata pale tumboni dah.

Nb. Ni team simba.. ila sio simba lia lia
 
Hujasema bado.
 
Attachments

  • IMG-20231123-WA0005.jpg
    IMG-20231123-WA0005.jpg
    50.8 KB · Views: 1
Kifupi tu jezi ni kali.. esp ile ya form six kola.
Ila wameiharibu sana kuongeza mo Extra pale kati… wale tunaopendelea plain t shirt pale wametukosa.

Mo extra na simba ilitosha kabisa zile logo kukaa kifuani kushoto na kulia.
Em pata picha mtu mwenye kitambi kilo 80 ule mjezi akivaa ile chata pale tumboni dah.

Nb. Ni team simba.. ila sio simba lia lia
Kule jeshini hali hii tunaiita double bits, kwenye uhasibu tunaiita double check, kwenye chemistry tuiita double decomposition. Sijui kule Simba na mo mwenyewe hii wanainaiita nini.
 
Kifupi tu jezi ni kali.. esp ile ya form six kola.
Ila wameiharibu sana kuongeza mo Extra pale kati… wale tunaopendelea plain t shirt pale wametukosa.

Mo extra na simba ilitosha kabisa zile logo kukaa kifuani kushoto na kulia.
Em pata picha mtu mwenye kitambi kilo 80 ule mjezi akivaa ile chata pale tumboni dah.

Nb. Ni team simba.. ila sio simba lia lia
Sasa hivi ni mo kwenye moyo, mo tumboni na mo matakoni, mo 3 kwenye Jez moja.
 
Hizo Jezi Akivaa Mwanamke mweupe kias na mwenye mzigo zinamkaa sana.

Ila akivaa huyo fensi ya makuti hazimpendezi.
 
Back
Top Bottom