Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 78
Watafanya mengi sana kwa ajili yao lakini Wananchi wanatazama na kuona kama vile ni uonevu sana kwa ajili ya Demokrasia, Mimi nakwambia siku moja kule bungeni watu watazichapa tu na kuona kama yale ya Somalia na Kenya, au Bunge la Makabwela UingerezaMwenzenu wanataka kumuimpeach.... sasa ni lazima ajitutumue!