Spika Sitta amtimua nje Cheyo (UDP) Bungeni kwa kubishana naye!

Siamini kuwa Spika aliuliza kama jamaa ni CHEMISTRY! Anasingiziwa.

Amandla......

si unjua viongozi wengi wa ccm vyeti vya kugushi, naona sitta akadhani cheyo nae amegushi

yaani spika inamaanisha hajawi kuona hata kwenye magazeti kwamba kuna madawa ambayo yantupwa kwenye mito na kuleta madhara
hiyo acid ikishaingia kwenye maji(river) makali yake yanabadilika, yeye anasema acid inakuumiza hapo hapo kwani ameambiwa ni ya kumwagiwa dry...

mtu akikumwagia acid moja kwa moja kavu ndio inakuumiza hapohapo lakini ikishaingia kwenye river inakuumiza pole pole ( hii nimejua kwa kusoma magazeti/habari hauitaji kuwa chemist kujua hili, je spika ni mbumbu kiasi hicho au ubabe tuu).
 
Unafikiri kwa nini wengine huwa tunadai rekodi za yaliyotamkwa neno kwa neno?

Watu wanaweza kutumia kurasa mia wanajadili na kulaani utata wa kauli huku hakuna mwenye rekodi ya kilichosemwa. Eti mmoja kamuuliza mwenzake "wewe ni chemistry," Cheyo akajajibu yeye kasomea "Textile Chemistry," Sitta akamwambia umesahau chemistry, nyamaza, Cheyo akaendelea kuuliza, akaambiwa kaa chini, wao wapinzani ni madikteta, "sajenti mtoeni nje"! Mazungumzo ya nusu dakika wakafukuzani bungeni!

Ukiletewa transcripts za kutoka magazeti utataka nini zaidi? Hansard? Ukiletewa Hansard utataka nini zaidi? Youtube clip? Ukiletewa Youtube clip utataka nini zaidi 720p HD Video? Ukiletewa 720p HD video utataka nini zaidi? 1080p HD video? ukiletewa 1080p HD video utataka nini zaidi? 1080p HD video yenye surround sound? Ukiletewa 1080p HD video yenye surround sound utataka nini zaidi? 1080p HD yenye surround sound kwenye Bang & Olufsen, ukiletewa 1080p HD yenye surround sound kwenye Bang & Olufsen utataka nini zaidi? 1080p HD yenye surround sound kwenye Bang & Olufsen iliyo kwenye ultra modern microfibred uber urbanite sofas?

Haya hizo hapo chini, sema jengine.

At some point you have to cease to be an overlawyering exacting shylock automaton na kuwa mtu mwenye memory na anayejua history na kuweza ku connect the dots.

bang-olufsen-beovision-4-103-plasma-hdtv-1.jpg
 
Duh....eeh bwana weee nimelewa!
 
Wow, this is more like it - I never really got the significance of kumkoma nyani until now lol, pulling punches takes a back stage.:)
 
..........kwa spika huyu wa bunge lenye wabunge wengi wa SISIEMU,hatuna sehemu ya kulalamikia!NI KAMA KESI YA NGEDERE UNAPOMPELEKEA NYANI!

tuamke wananchi tuingie barabarani kieleweke!AU TUKUBALI KUBURUZWA
Nani aanze?
 
mbilia+spika+2.JPG

Mwanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akicheza muziki na Sapika wa Bunge Samwel Sitta wakati alipotumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jumamosi usiku.
Picha na Jube Tranquilino. (Courtesy of haki-hakingowi.blogspot)

Hiyo ilikuwa ni Jumamosi usiku
sishangazwi na vituko vyake bungeni !

Ukiletewa transcripts za kutoka magazeti utataka nini zaidi? Hansard? Ukiletewa Hansard utataka nini zaidi? Youtube clip? Ukiletewa Youtube clip utataka nini zaidi 720p HD Video? Ukiletewa 720p HD video utataka nini zaidi? 1080p HD video? ukiletewa 1080p HD video utataka nini zaidi? 1080p HD video yenye surround sound? Ukiletewa 1080p HD video yenye surround sound utataka nini zaidi? 1080p HD yenye surround sound kwenye Bang & Olufsen, ukiletewa 1080p HD yenye surround sound kwenye Bang & Olufsen utataka nini zaidi? 1080p HD yenye surround sound kwenye Bang & Olufsen iliyo kwenye ultra modern microfibred uber urbanite sofas?

Haya hizo hapo chini, sema jengine.

At some point you have to cease to be an overlawyering exacting shylock automaton na kuwa mtu mwenye memory na anayejua history na kuweza ku connect the dots.

bang-olufsen-beovision-4-103-plasma-hdtv-1.jpg

kutoka kwenye 1080p HD atataka 4k (4096 x 2160).

Huyu spika ameshalewa madaraka, lakini sishangai ata hapa JF kuna watu wanaotaka wenzao waseme kile wanachotaka wao.
 
Naomba tufanye majaribio kidogo:

Spika, Waziri mkuu na baraza lake la mawaziri wapatiwe hayo maji katika lunch yao this week.

Wageni wao wawe Barick Management na makada wengine wa CCM ngazi ya mkoa na taifa.
 
kama sitta kashindwa kumuheshimu mbunge mwenzake basi yeye hana adabu na ni mshenzi wa tabia.cheyo ana watoto kama yeye na an stahili heshima zote sio kwa vile ni mpinzani ndio avunjiwe heshima.speaker sitta shame on you.
 
duh sitta katuachia kali safari hii!
but hata mimi sidhani kuwa sita kamwita mwenziwe" wewe chemistry".............it is too stupid to be true.
 
Naomba tufanye majaribio kidogo:

Spika, Waziri mkuu na baraza lake la mawaziri wapatiwe hayo maji katika lunch yao this week.

Wageni wao wawe Barick Management na makada wengine wa CCM ngazi ya mkoa na taifa.

Aisee bwashee, hii kali. Nilikuwa nasoma habari hii kwa hasira na jazba, hapa imebidi nicheke. Solutions zingine bwana, za ajabu, lakini zina mantiki ndani yake. Haya tatu, asante kwa hili.

Ila Mzee Sitta naona sasa anakoenda siko, tusubiri 2010...
 
Spika wa Bunge Samwel Sita jana amechemsha sana, Huwezi kufoka ovyo bila ya sababu kama swali la Mh Cheyo lilikuwa halina jibu wangetafuta namna nyingine ya kulikwepa.
 
mzee-mwanakijiji-albums-news-worthy-picture518-cheyo-walking-outside-parliament-buldg-after-removal-speaker.jpg

Cheyo akitoka Bungeni baada ya kuamuriwa kufanya hivyo na Spika Sitta (Picha na Mroki Mroki)

Nipo tayari kusahihishwa na mtu ambae atawasiliana na Mhe Cheyo.

Mhe Cheyo baada ya kuona Sitta anamwamrisha akae chini Cheyo akawa anafungasha virago atoke nje nae Six akapandia get ou na sajini get him out. HAKUFUKUZWA NA SITTA, ALISHAJIAMULIA
 
Nakuunga mkono Selous, Ni kweli Mh Cheyo aliamua kutoka kabla hata ya Sita kuwambia atoke.
 
Naomba majibu ya Waziri na report ya NEMC. Please hata kwa PM. Sasa tumeshikwa pabaya. Namaanisha full reports sio hansards
 
nimechikia sana kusikia six amefanya upuuzi huu.
kwanza amedhihirisha jinsi ambavyo haijui chemistry,
pia inaonekana ana kisasi toka kwa zitto na wapinzan ndo maana akasema
wapinzan wanataka kuendesha mambo kidikteta.
huu ni upuuzi
halafu huyu sita............!!!!!!
 
Huyu Spika Six sasa kagundua kwamba zile kampeni za akina RA za kuhakikisha yeye na akina Sendeka, Anna Kilango, Mwakyembe, Kimaro na Selelii hawarudi Bungeni 2010 (na hivyo pengine kuukosa Uspika kwa kipindi kingine) ni za dhati, na siyo laghai. Hivyo kajikuta hana njia na kugeuka 180 degrees kulinda tumbo.

Yaani ghafla kawatosa wananchi aliokuwa akitamka anawapigania na kuwapa wakati mgumu mafisadi. Naona sasa ametambua CCM ni ya akina nani na yeye hana chochote na inabidi afate amri. Suala la Meremeta lilinistua sana na hapo hapo nikaona kuwa Sitta hana principles kabisa.

Ahahaaaaa Wewe una akili sana!

Kidumu chama cha Mapinduzi!
 
Kwa kweli mic hakutenda haki,

Mapesa aliulizia juu ya kufanyika Environmental Impact Analysis kwenye migodi, au kusitisha shughuli kama hamna hiyo ripoti.

Hapa kuna jambo, swala lolote linalogusa idara ya madini inaelekea linabidi lipigwe chini kwani hata swala la mikataba bado ni gumzo.

Ukweli ni kwamba wananchi wenzetu ndio wanaoumia na shughuli za uchimbaji madini. Kwa kuwa wanaouhakika wa kufanya mazingaombwe katika kupigiwa kura ndo maana wanaubabe mwingi...
 
Hivi Sheria ya madini na kanuni zake zinasemaje kuhusu usimamizi wa mazingira? sheria ya mwaka 1998.
 
Huyu spika anajishushia hadhi kwani tulikuwa tunamwona ni mtenda haki lakini siamini udicteta aliouonesha kwa Cheyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom