Spika Sitta amtimua nje Cheyo (UDP) Bungeni kwa kubishana naye!

Mwenzenu wanataka kumuimpeach.... sasa ni lazima ajitutumue!
Watafanya mengi sana kwa ajili yao lakini Wananchi wanatazama na kuona kama vile ni uonevu sana kwa ajili ya Demokrasia, Mimi nakwambia siku moja kule bungeni watu watazichapa tu na kuona kama yale ya Somalia na Kenya, au Bunge la Makabwela Uingereza
 
Imefika wakati sasa wa kufikiria kutafuta Spika ambaye sio Mbunge,Hawa Maspika ambao ni Wabunge hata maamuzi yao yanaegemea upande mmoja...Si mara moja Mzee Sitta amekuwa mbabe katika maamuzi yake!!!Tukimuacha hivi hakutokuwa na haki katika uchangiaji hoja Bungeni.......Wanaojua taratibu za Bunge/serikali kuwepo Hoja ya kupata Spika kwa njia ya kupigiwa kura waombaji walio nje ya Bunge.
 
Kuna ulazima wa kufanya hivyo maana hata Anne Makinda ndio mbabe hata kuzidi Sitta, Speed, na mtu wa Viwango kama yeye alivyojisema
 
Sitas behaviour was bloody shameful.Arrogant,colonial,ushenzi and no respect kwa mzee mwenzake.What a disgrace.I was totally shocked and could not believe my eyes that this can happen in Nyereres Tanzania where we are supposed to respect each other. Hi nii unyama mtupu.
 
Kuna haja ya hawa jamaa kuwatazama kwa ajili ya kulinda viwango vyama, lakini mzee utaona mengi sana mwaka huu na mwakani, ni Upuuzi tu mzee wangu
 
Naomba nisaidie hapo.

Nimeshuhudia spika Sita akimfukuza mbg. Cheyo. Sababu kubwa ni kwamba eti amedharau kiti cha spika. Niliona live na yaliyotoke ni haya;

Kwanza Cheyo aliuliza swali kwa Waziri Batilda akitaka kueleza kwamba hayo matatizo ya North mara ni ya siku nyingi na si ghafla kama ilivyoelezwa na Waziri. Spika kwanza kasema sikuelewi au rudia maana naamini hata waziri hakuelewa (sijui alijuaje). Cheyo karudia tena na kabla hajamaliza Spika kaingilia kati akitaka Cheyo aeleze kama kweli maelezo yake ni ya kisayansi. ‘Acid haiunguzi mara moja?” Cheyo akajibu anayo sayansi ya kemia, hivyo ana hakika. Spika akadai Cheyo kisha sahau Chemistry (kumbuka spika kasoma sheria). Cheyo akaonyesha kuridhika na mamlaka ya kiti cha spika lakini akasema hakuridhika na jibu la swali lake. Spika kaendelea na maelezo mareeefu ya kuonyesha kwamba Cheyo ni dikteta na akasema hajui huko UDP mambo yakoje.

Haya! Cheyo kasimama akitaka kusema kitu, mara kaambiwa kaa chini! Go out! Sajenti mtoe nje!

Maoni yangu ni kwamba, this was too much with this human so called ‘spika’ Nadhani sasa tuko hatua ngumu ya uongozi. Hata kama anayo madaraka ya kumfukuza mbunge bungeni, kuna lugha ya kutumia. Mara moja nilikubali kwamba huyo ndo Sitta. Hizi lugha za ‘go out!’

Kuna tabia ambayo naiona kwa spika Sita. Mara nyingi anakuwa activated akiona akina mama. Labda hapo hakutaka bi Batilda aulizwe swali. Nimemuona hata akitambulisha wageni wa wabunge wenzake pale Bungeni, akiwepo mwanamke, lazima atatoa comments za ziada ambazo mara nyingi huwa ni zile za kubembeleza. Nadani tuna tatizo

.......hebu tuwekeeni hiyo hansard.....ili tujue ilikuwaje
 
Huyu Spika Six sasa kagundua kwamba zile kampeni za akina RA za kuhakikisha yeye na akina Sendeka, Anna Kilango, Mwakyembe, Kimaro na Selelii hawarudi Bungeni 2010 (na hivyo pengine kuukosa Uspika kwa kipindi kingine) ni za dhati, na siyo laghai. Hivyo kajikuta hana njia na kugeuka 180 degrees kulinda tumbo.

Yaani ghafla kawatosa wananchi aliokuwa akitamka anawapigania na kuwapa wakati mgumu mafisadi. Naona sasa ametambua CCM ni ya akina nani na yeye hana chochote na inabidi afate amri. Suala la Meremeta lilinistua sana na hapo hapo nikaona kuwa Sitta hana principles kabisa.
 
Mwawado, kisheria Spika si lazima we Mbunge. Tunaweza kuwa na Spika nje ya Bunge ni swali la nani na kura tu.
 
The continuing grotesque caricaturing of that august office of the Speaker of the parliament of the URT would irk even the most austere mannered observers.

That a speaker would not only ineloquently disgrace his chair, but do so in repeated shameful frenzies, within the space of a few days, and apparently with all the proud pomposity of an unchecked sadist rural headmaster berserkly drunk with power, begs the question on whether true democracy is served in our parliament.

Moreover, his unfortunate, if not downright partisan remarks about the opposition MPs, not only exposes his ignorance of his arbitrating role, but sheds light on his lack of grace, character, impartiality, integrity, knowledge and a knack for compromise.

In a parliament that is so one sided by the sheer number of CCM members, the Speaker being from CCM, only a fool like Speaker Sitta would feel threatened and overreact in this way. I have never witnessed a Speaker so hellbent on dictating -without as much as providing the statutory stipulation guiding him - as Samuel Sitta. Compared to Pius Msekwa, Msekwa seems like a gentleman and a scholar.

But the greater tragedy tham Sitta is the status quo -including if not led by CCM members- allowing this hegemony of Draconian heavyhandedness, the uncalled for stigmatization and unfounded stereotyping, as long as it is directed towards the opposition.Parliamentary business is now conducted in the most shoddy way, one would be excused to envy the grace displayed in the conducts of football rivarlies -Simba vs Yanga, and wish our parliament could at least rise to that level.

One need not a degree in law or PR to note that Speaker Siatta does not set an example of abiding by the very same stipulation he is so quick to decree. I believe in the right of expression, and an MP as a representative of the people should have protection from Orwellian orangutangs and Ottomanlike ombudsmen like Sitta.

One of these days we may even witness what went down in the South Korean parliament, a pure parliament fist fight.Then maybe some people will learn not to play "Keeper of The Gate" too much when it comes to the people's interest.

Another sad day for the almost lost cause of Tanzanian democracy.
 
Hii Inasikitisha sana hawa watu wa CCM wameshaona kwamba wadanganyika hatujui lolote ndo maana wanafanya wanavyotaka, jamani tubadilike hawa CCM wanawakumbatia wawekezaji wasiojali maisha ya mtanzania wa kawaida, siipendi kabsaa CCM coz they take us for granted, kwa nini 2010 tusiwe against na hiki chama?, lets be honest wadau with CCM everything is a failure
 
Si muda mrefu tutashuhudia wote wakijitokeza kwa sura zao halisi, swali ni kuwa kama hayawachomi, kwa nini wanaungua ? Homa ni dalili ya ugonjwa na kwa sababu walidharau mwiba sasa watatibu tende. Walijidai kukaa pembeni lakini hata marashi ya Arabia hayakuweza kuficha harufu zao za kifisadi. Wanajaribu kukimbia vivuli vyao lakini toka lini hii ikawezekana ? - lililobaki ni kuzusha viroja badala ya kujibu hoja. Wamebanwa wanaweweseka na wazalendo tunaendelea kupigilia misumari - hakuna kulala hadi kieleweke.
Spika Sita utawafukuza wangapi
Wawakilishi wazalendo wako wapi
Wataka kubakiza bungeni makapi
Ole wako, njia za fisadi siku zote fupi
 
Nimenyongonyea sana najuta hata kwa nini niliswitch channel na kuona huu upuuzi wa spika kwa kweli ni kitendo cha aibu sana hata kama cheyo alikiuka kanuni lakini sidhani kama alistahili kukemewa namna ile. Hii ni aibu si kwa cheyo tu hata kwa spika mwenyewe sijui kama atawatizxama watoto wake usoni kama ana haya za binadamu wa kawaida.

Mwishoni baada ya kuona ameharibu ndiyo akaja na kitabu cha kanuni na sauti ya upole kufafanua utumbo alioufanya. Angetumia hiyo sauti hapo mwanzo tusingekuwa tunajadili ujinga huu sasa
 
Huyu Spika Six sasa kagundua kwamba zile kampeni za akina RA za kuhakikisha yeye na akina Sendeka, Anna Kilango, Mwakyembe, Kimaro na Selelii hawarudi Bungeni 2010 (na hivyo pengine kuukosa Uspika kwa kipindi kingine) ni za dhati, na siyo laghai. Hivyo kajikuta hana njia na kugeuka 180 degrees kulinda tumbo.

Yaani ghafla kawatosa wananchi aliokuwa akitamka anawapigania na kuwapa wakati mgumu mafisadi. Naona sasa ametambua CCM ni ya akina nani na yeye hana chochote na inabidi afate amri. Suala la Meremeta lilinistua sana na hapo hapo nikaona kuwa Sitta hana principles kabisa.

HERE we GO kila utumbo muufanyao mnamsingizia RA....
 
The continuing grotesque caricaturing of that august office of the Speaker of the parliament of the URT would irk even the most austere mannered observers.

That a speaker would not only ineloquently disgrace his chair, but do so in repeated shameful frenzies, within the space of a few days, and apparently with all the proud pomposity of an unchecked sadist rural headmaster berserkly drunk with power, begs the question on whether true democracy is served in our parliament.

Moreover, his unfortunate, if not downright partisan remarks about the opposition MPs, not only exposes his ignorance of his arbitrating role, but sheds light on his lack of grace, character, impartiality, integrity, knowledge and a knack for compromise.

In a parliament that is so one sided by the sheer number of CCM members, the Speaker being from CCM, only a fool like Speaker Sitta would feel threatened and overreact in this way. I have never witnessed a Speaker so hellbent on dictating -without as much as providing the statutory stipulation guiding him - as Samuel Sitta. Compared to Pius Msekwa, Msekwa seems like a gentleman and a scholar.

But the greater tragedy tham Sitta is the status quo -including if not led by CCM members- allowing this hegemony of Draconian heavyhandedness, the uncalled for stigmatization and unfounded stereotyping, as long as it is directed towards the opposition.Parliamentary business is now conducted in the most shoddy way, one would be excused to envy the grace displayed in the conducts of football rivarlies -Simba vs Yanga, and wish our parliament could at least rise to that level.

One need not a degree in law or PR to note that Speaker Siatta does not set an example of abiding by the very same stipulation he is so quick to decree. I believe in the right of expression, and an MP as a representative of the people should have protection from Orwellian orangutangs and Ottomanlike ombudsmen like Sitta.

One of these days we may even witness what went down in the South Korean parliament, a pure parliament fist fight.Then maybe some people will learn not to play "Keeper of The Gate" too much when it comes to the people's interest.

Another sad day for the almost lost cause of Tanzanian democracy.

I miss Pundit.
 
Jasusi... lol!!
Actually the guy forces me to intensively use my dictionary.On the other hand here comes the feeling that may be i have to sue my former English Language teacherz.
 
Kulewa madaraka kwa kiwango cha kuaibisha, ndiyo hatua aliyofikia Sita. Cheyo ni shujaa kwangu kwa kitendo cha kutetea waathirika wa mgodi huo. Sita siyo shujaa.
 
Last edited:
Nimeangalia hili tukio, nilibaki mdomo wazi nisiweze kuamini kinachoendelea. Tena mzee Cheyo alikuwa anaongea kwa heshima sana. Spika alijaribu kumdhalilisha kwa kumuonyesha kwamba Cheyo hajui anachokiongea, lakini yule mzee akajikakamua na akaweka lile swali vizuri na kwa heshima kabisa. Cha ajabu badala Spika ampe nafasi waziri husika ajibu swali la Cheyo, anageuka mbogo na kuanza kushambulia upinzani, yaani akatoka nje kabisa! Hivi kumbe uspika ni mgumu kiasi hiki? The whole presentation and what was being said by this man was completely unprofessional and uncivil; never did I expect he could go that low!
 
Nilikuwa naenda kulala kitandao nikaona mada hii , bora nichangie kabla sijasahau pengine kesho nikawa na ratiba ngumu kidogo za kufanya kazi

alichojaribu kutetea mh cheyo ni sahihi , tena wengine wale wabunge wanaotoka karibu na north mara walitakiwa ndio wawe wakwanza kutoa kilio chao bungeni , wanancho wa kule walitakiwa wawe wakwanza kutoa kilio chao hata kukifikisha katika vyombo vya kimataifa kwa matatizo yanayotokana na sehemu ile .

Wiki 2 zilizopita tuliona nchini nigeria kampuni ya shell imelipa watu fulani karibu dola mil 15 kwa hasara walizopata watu hao za kimazingira kutokana na utendaji wa kampuni ya shell walifikisha swala mahakamani na wakashinda kesi wakalipwa fidia kubwa sijui nchi yetu inajifunza nini kutokana na kile kinachoendelea

mfano mwingine ni ule wa nile delta huko huko nigeria wale waasi wa eneo lile wanapigania haki zao za kupata maendeleo pamoja na mazingira yanayoharibiwa kutokana na uzalishaji wa mafuta bila wao wazawa wa eneo lile kufaidika na chochote sasa hivi eneo lile ni kuwindana tu .

Juzi hapa tumesikia wapiganaji wa mau mau kenya wakienda kuishitaki serikali ya kikoloni kwa mambo waliyoyafanya miaka karibu 50 iliyopita , subiri tusikie kesi yao itakuwaje hata ikichukuwa miaka 100 wana nafasi kubwa zaidi ya kushinda .

……………………………………..

Kwa serikali ya tanzania na watanzania wanatakiwa wajue kuna mambo karibu 3 ya kuyaweka akilini kutokana na sakata hili sasa hivi .

1 ) mradi wa north mara ambao sumu yake unaingia katika ardhi pamoja na mito ya karibu na eneo hilo hili ni kesi tena kubwa – waziri anayeshugulikia afya na mazingira anatakiwa atoe ufafanuzi wa hili haraka

2 ) kuna viwanda vya bia na viwanda vingine vinavyomwaga maji ziwa viktoria , tunakumbuka maradi wa ziwa viktoria kupeleka maji mikoa jirani kama shinyanga --- yale maji yanayoingiwa ziwani yameathirika kwa kiasi kikubwa , bado watu wetu wananyweshwa na kupelekewa kwa kiasi kikubwa watu wanashangilia mradi wa maji bila kuangalia athari zake za muda mrefu .
 
mzee-mwanakijiji-albums-news-worthy-picture518-cheyo-walking-outside-parliament-buldg-after-removal-speaker.jpg

Cheyo akitoka Bungeni baada ya kuamuriwa kufanya hivyo na Spika Sitta (Picha na Mroki Mroki)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom