Spika sio msemaji wa serikali. Kuhusu suala la mahindi spika Tulia acha kumsemea waziri Bashe na serikali, sio kazi yako!

Mjadala wa mahindi inashika kasi bungeni namuona spika Tulia Ackson akiitetea serikali kuhusu sakata la kufungwa kwa mipaka kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi.

Kinachonishangaza ni spika kuzungumza na kutoa maelezo kuhusu msimamo wa sirikali na utaratibu unaopaswa kufanyika.

Hivi hii sio kazi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe au Waziri Mkuu Kassim Majaliwa?

Juzi spika alisikika akiwaambia wananchi wabebe mahindi yao wakauze kwenye maghala ya serikali.

Ninavyojua spika hapaswi kuelemea upande wowote kwenye mijadala ya Bunge.

Yani ni kama comedy
 
Mpaka leo hujui yupo kitini kwaajil gani? Pole san mkuu....
 
Hawajui hata limit ya majukum yao., usishangae kesho akazungumzia hata mambo ya afya , ni hovyo hovyo tu ilimradi liende.

Unachopaswa kujua ni kua kwenye historia tumepata spika msomi mbobezi wa sheria ila very empty upstairs, kwa sasa anajaribu kuchagiza au kujichomekeza kutia neno hata asipohitajika ili tu tuweze kujua uwepo wake!

Just take it easy hana impact huyo!
 
Back
Top Bottom