Spika Dkt. Tulia, Waziri Bashe na Mchengerwa mmeitendea Haki Ripoti ya CAG

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Nichukue fursa hii kuwapongeza Spika Tulia na Mawaziri Mchengerwa na Bashe kwa kuutendea Haki Mjadala wa Taarifa za Kamati za Bunge kuhusu Ripoti ya CAG.

Niwe mkweli Mawaziri wagalatia walijikita kutetea wezi serikalini.

Kadhalika Halima Mdee Mungu wa mbinguni akubariki

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kwako FaizaFoxy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿผ

Ufafanuzi kama nilivyoombwa:

Spika Dr Tulia PhD tofauti na vikao vingine leo ametoa muda wa kutosha kwa Wabunge wote kuchambua Ripoti ya CAG na wala hakuwakatizakatiza au kuwapa lecture kama wako Darasani. Pili hakuwabeba Mawaziri waliokuwa wanawalinda wezi kwenye wizara zao kwa namna walivyokuwa wanachangia hoja

Waziri Bashe amekiri ni kweli kuna matatizo ya Ufisadi Wizarani Kwake na wanayafanyia Kazi. Bashe amemkabidhi Spika Tulia orodha ya Wabunge na Mawaziri wanaodaiwa Fedha za Pembejeo na kumuomba Spika awakate madeni hayo kwenye Fedha za mafao kwani madeni hayo ni Sugu

Waziri Mchengerwa amekiri ni kweli kwenye halmashauri kuna Wizi na Ufisadi wa kutisha na ameapa kuwashughulikia ipasavyo Mafisadi hao. Mchengerwa amesema tangu Ripoti ya CAG itoke mwezi March tayari kuna wezi serikalini wameshafukuzwa Kazi na kuburuzwa Mahakamani

Mchengerwa ametaka idadi ya watumishi waliochukuliwa hatua za Kisheria wakiwemo Wakurugenzi, Wahasibu, Maboharia, Waganga wa Wilaya na Waganga wa Mikoa

Mawaziri wengine Kazi yao ilikuwa kujitetea tu Wao na Watendaji wao.
Bure kabisa!
 
1699119392427.png
 
Kihistoria "wagalatia" kwa leo ni kama "wagner", askari wa kukodiwa.

These Galatians were warriors, respected by Greeks and Romans. They were often hired as mercenary soldiers, sometimes fighting on both sides in the great battles of the times. For years the chieftains and their war bands ravaged the western half of Asia Minor as allies of one or other of the warring princes without any serious check

Chanzo: Galatians (people) - Wikipedia
 
Nichukue fursa hii kuwapongeza Spika Tulia na Mawaziri Mchengerwa na Bashe kwa kuutendea Haki Mjadala wa Taarifa za Kamati za Bunge kuhusu Ripoti ya CAG.

Niwe mkweli Mawaziri wagalatia walijikita kutetea wezi serikalini.

Kadhalika Halima Mdee Mungu wa mbinguni akubariki

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kwako FaizaFoxy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿผ

Wajinga kweli hao mawaziri. Sijui walikuwa wanatetea Nini?. Wizi upo lakini wanashupaza shingo na taarifa zao bungeni
 
Kihistoria "wagalatia" kwa leo ni kama "wagner", askari wa kukodiwa.

These Galatians were warriors, respected by Greeks and Romans. They were often hired as mercenary soldiers, sometimes fighting on both sides in the great battles of the times. For years the chieftains and their war bands ravaged the western half of Asia Minor as allies of one or other of the warring princes without any serious check

Chanzo: Galatians (people) - Wikipedia
Una kingereza cha kibaya we dada utadhani ulinipeleka shule
 
Una kingereza kibaya we dada utadhani ulinipeleka shule
Hivi kuna mtanzania wa Tanzania ambaye anajua kingereza vizuri unafikiri yupo mzungu anayejua Kiswahili kizuri
Ni ushamba kukosoa kua hajui kingereza Hicho kingereza tunacho fundishwa kimesha pitwa na wakati
Lugha ni kama mmea kuna misamiati mipya na ya zamani inaachwa
Hata Kiswahili cha miaka ya 1960/70 kilisha Achwa maneno mengi
sembuse hi kingereza tunacho fundishw cha miaka ya 1940,,,,,,
Leo na Shangaan eti wakenya wanatuzidi Kiswahili Chao cha zamani halina hata Raha kukisikiliza Bora Tu
umemuelewa
Akija mzungu anakuongelesha kingereza cha zamani. Akifunguka cha sasa kama ni wa Tanzania hujatoka nje huambui na kakingereza kako ka darasani
 
Tutajiwe orodha ya wabunge wenye madeni sugu ya pembejeo. Kipindi cha Job alimtaja Lema.

Bashe ama Tulia tutajieni hao wakopaji wasiolipa. Hizi sababu zinatosha kabisa kuwafukuza katika chama na kuukosa huo ubunge.

Hawa ni sawa na wakwepa kodi na wahujumu uchumi. Eti madeni sugu, yupo bungeni mwaka 3 huu.
 
Back
Top Bottom