CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 687
Mh!huyu jamaa ni mtata sana,sasa hapa ana maana gani?
Labda kama anamaana hili jambo ni la makusudi au limepagwa, vinginevyo ni utata wa hali ya juu anahitaji atufafanulie
Mh!huyu jamaa ni mtata sana,sasa hapa ana maana gani?
Hii nchi imeishanichosha sijui tumelogwajamani kwa sababu za kiusalama si sahihi kujadili hili suala bungeni,kuna siri zaweza wekwa wazi wakati wa kujibu ambazo hazipaswi kuwa wazi,si kila kitu kinajadiliwa ovyo nyie watu,lazima wafanye uchunguzi na waweke mambo sawa kwanza(hata kama lilipangwa kuna namna ya kuwasilisha jambo kwa umma na international community inachukua muda).....heeeeeee,kuna haja ya watu kusoma somo la Usalama wa nchi......yaani hamna tofauti na Kikwete ambaye jana karopoka kuwa lile lilikuwa hiyo kati ya maghala makubwa,kwa usalama wa nchi ile si sahihi na hata wakuu wameshamwambia amechemka,leo mnataka lijadiliwe bungeni???mnafikiri nyie zaidi ya ushabiki wa vyama na chuki kwa huyu mama???
huyu mama mjinga sana...k...#^&%^&*^*()(_-ke
Hivi bungeni jambo la dharura ni lipi????
UKipewa wewe utaweza?
Mkuu, tuweke wazi..Well,
Kwa sisi wenye akili timamu, tunafahamu kuwa "this was part of the plan"
Mtakuja kufahamu baada kwanini baadhi ya vifaa vipya vya kijeshi navyo pia viliteketea!!!
Hii nchi imeishanichosha sijui tumelogwa
Umejuaje hana mtu wa kumshughulikia ?
Ama kupoteza ushahidi wa vifaa feki vipya vilivyoingizwa Septemba 2010 na mafisadi?
Labda kama anamaana hili jambo ni la makusudi au limepagwa, vinginevyo ni utata wa hali ya juu anahitaji atufafanulie
atizo ni nchi corrupt kama Tanzania,viongozi wake awajari maisa ya rai wake.Spika uyo ana jipya hupo pale kama kibaraka anaendeswa kwa rimoti.MUNGU WAUKUMU VIONGOZI WENYE ROHO KATILI.ameni
Sadly in TZ life is cheap...people die with hizi pikipiki, barabarani, eating contaminated food, and so on and so forth and no one flinchesHii yote ni kwa sababu Watanzania kufa ni jambo la kawaida (life is cheap Tanzania)...huenda Spika amejiuliza nini cha ajabu, ajali za barabarani zinaua makumi kila kukicha...!!!
Ili iweje?, au alikuwa anakwepa msala wa maswali ya papo kwa papo maana yana angeulizwa kuhusu msala wa Arusha...kwa mantink hio it was a planned incident