Spika: Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto sio jambo la dharura!

I think she is right, ni nini cha dharura hapa? after all si ni mara ya pili hii? na waliokufa hawana umuhimu saaana, who knows kama ndo ya mwisho? na zaidi Mkulu mwenyewe kamwaga pongezi kwa vijana wake kwa kazi nzuri.
 
Kwa hiyo wanaona raha watu kupoteza maisha, viungo, mali na makazi.

huyu mama mwanzoni aliombwa kukaa pale ili kutetea maslahi ya watu fulani akagoma badala yake ikawa amri kuwa ni lazima akae pale, hata fomu za kugombea alijaza kwa shinikizo, hivyo pengine siyo matakwa yake kufanya hivyo bali ni kwa matakwa ya wakubwa.
 
Nlimwangalia Kikwete usoni jana alipotembelea wahanga ...i could see katika sura yake jamaa hakuwa na huruma wala kujali kabisaaa kuhusu lile tukio!! Zaidi alikuwa concerned na silaha zilizoharibika! Nliogopa sana !!
 
I think she is right, ni nini cha dharura hapa? after all si ni mara ya pili hii? na waliokufa hawana umuhimu saaana, who knows kama ndo ya mwisho? na zaidi Mkulu mwenyewe kamwaga pongezi kwa vijana wake kwa kazi nzuri.

If at all Speaker Anne Makinda is right,then we can conclude that this move WAS PLANNED IN ADVANCE BY THE STATE.
Planned in advance for the sanctification of the CORRUPTED TEAM lead by ROSTAM AZIZ&Co.
Yes,more shall be revealed as the days goes on! This is Bongoland bana, a country of Bongolala people!
 
Spika wa bunge Anne Makinda amesema hajaridhika kwamba suala la milipuko ya mabomu iliyotokea juzi Gongo la Mboto ni la dharura na lina maslahi kwa umma na kwamba halihitaji kujadiliwa kama jambo la dharura.

Spika amesema hayo kufuatia hoja iliyotolewa na mnadhimu wa kambi ya upinzani Tundu Lissu aliyetaka kanuni itenguliwe ili jambo hilo lijadiliwe bungeni.

Kwa kufanya hivyo spika ameepusha sentiments ambazo zingezua msuguano mkubwa na kupanisha hasira wananchi. Ni bora wa buy time suala hilo lijitokeze wakati ujao. Naona hakukosea makinda wa ccm
 
spika wa bunge anne makinda amesema hajaridhika kwamba suala la milipuko ya mabomu iliyotokea juzi gongo la mboto ni la dharura na lina maslahi kwa umma na kwamba halihitaji kujadiliwa kama jambo la dharura.

Spika amesema hayo kufuatia hoja iliyotolewa na mnadhimu wa kambi ya upinzani tundu lissu aliyetaka kanuni itenguliwe ili jambo hilo lijadiliwe bungeni.

kweli huyo mama kasema kweli hilo halikuwa jambo la dharura, sasa ni kwanini jana aliahirisha bunge kwa jambo lisilo la dharura? Au alikuwa anamponya pinda na hoja ya kudanganta bunge?
 
Duh sasa nimeelewa...hii nayo ni EPA nyingine!! ndio maana raisi alisema kuwa stoo iliyolipuka ilikuwa ni kubwa sana !!!!!!!!!!!!!! ili tu wajustify ufisadi wa september 2010!
 
Mungu wee fungua akili za viongozi wetu waone ukweli na wawajibike ipasavyo. Baba wa Milele tuonee huruma kwa nini masikini ndio wanateseka tuuuu tuuuu tuuuu na wenyenavyo wanazidi kunufaika na mbaya zaidi hata bei zinapanda ati kufa kufaana!! Ewe Mtanzania uwe na aibu. Kweli unaweza kumpandishia mtu gharama za nauli katika hali kama hii tufike wakati tusema sasa uvivu wa kufikiri na upofu wa kuona mambo tuuache inaniuma sana.
Tumekuwa kama enzi za utumwa:A S 13:
 
jukumu alilonal ohuyu mama inahitaji busara, nafikiri kama ana fikira zilizotimia atatazama, atatafakari na kuchukua hatua stahiki kwa maslahi ya taifa, kwani bila kufanya hivyo nafikiri atachemka, na kudhalilisha jukumu hili analolibeba.
 
huyu mama anabana sana lakini najua ipo siku ataachia tu. mbona kila kukicha anatoa vituko vya ajabu, sidhani atakuwa spika kwa miaka mitano.
 
Mungu wee fungua akili za viongozi wetu waone ukweli na wawajibike ipasavyo. Baba wa Milele tuonee huruma kwa nini masikini ndio wanateseka tuuuu tuuuu tuuuu na wenyenavyo wanazidi kunufaika na mbaya zaidi hata bei zinapanda ati kufa kufaana!! Ewe Mtanzania uwe na aibu. Kweli unaweza kumpandishia mtu gharama za nauli katika hali kama hii tufike wakati tusema sasa uvivu wa kufikiri na upofu wa kuona mambo tuuache inaniuma sana.
Tumekuwa kama enzi za utumwa:A S 13:

Wananchi ndo wafungue macho, waone kumbe wanaweza kuwa kama misri ama Tunisia, na pia waone kumbe unaweza usipigwe na polisi mtaani ukidai haki na yakakukuta mabomu kitandani mwako.
 
Mwinyi kuwajibika co rahisi. Hata mkwere hawezi kufuta kazi, mi ninavyoona ni kwamba w2 wamekula cha juu wakaamua kulipua maghala ili kupoteza ushaidi. Huu ndio upande wa pili wa shilingi
 
spika mweupe kweli, sasa jana bunge liliahirishwa la nini, ule muda wa jana wangetakiwa wafanye tafiti at ikifika leo watupe angalao expected causes za ya hayo mabomu kulipuka,
hii nchi hiii, ila pole pole tuu wote hawa wataondoka, maana naamini kwamba hata huyo Mwinyi hatajiuzulu, Davis M naye hatajiuzulu but ipo siku
 
ntakuja kufanya kitu cha ajabu hadi mshangae ila najua ntakuwa nimewasaidia wengi......labda niwaulize mko tayari kufanya uchaguzi hivi karibuni?......
 
She was very aware of kitakachotokea kule Gongo la mboto............kwanini iwe dharula?.......kweli hata mimi nakubaliana naye......
 
ntakuja kufanya kitu cha ajabu hadi mshangae ila najua ntakuwa nimewasaidia wengi......labda niwaulize mko tayari kufanya uchaguzi hivi karibuni?......

Itabidi wabadili utaratibu nzima sasa...................this is very serious!
 
Huyu mshikaji LISSU kwa ku-mind popularity simuwezi... kweli watu wangejadili nini na wakati hata mambo mengi bado kueleweka kwa undani?
 
Hivi kwanini Dar es Salaam imezungukwa na kambi nyingi kiasi hiki na huku ina wakazi wengi sana ambao wengi wao wanaishi na hizi kambi? Ukisema uwahamishe wakazi kutoka karibu na kambi naona Dar itakuwa military city. For real do we really need all these bases? Mi naona zenyewe ndo ziondoke.

huyu mama mhhhhh...........tatizo kabisa. Let me count and speculate

Mbagala ilipuke
Mgulani (opposite chuao cha uhasibu) ilipuke-though sidhani kama kuna silaha pale
Navy kigamboni ilipuke
Ubungo kibangu ilipuke - Juzi gongo la mboto ilivyolipuka wanajeshi wa kibangu walipakia familia zao na kutoweka kambini
Lugalo ilipuke
Changanyikeni ilipuke
Gongo la mboto ilipuke
Kazi mzumbwi kisarawe ilipuke
kibamba/kiluvya nayo iitike.

Huyu mama haoni wakati umefika jambo hili kuangaliwa upya na ikiwezekana kuhamisha baadhi ya kambi za jeshi maana zimekaribiana sana na makazi ya watu yameongezeka?
 
Shida ya hapa ni KULINDANA. Huyu mama anajua hoja ingejadiliwa ingebidi Waziri wa ulinzi na mkuu wa Majeshi wajiuzulu.
 
Back
Top Bottom