simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Swali hili ambigous/not clear.
Swali hili ambigous/not clear.
Ni hivyo ee?
Ndio hivo ee! Swali mbofu mbofu.
Swali hili ambigous/not clear.
Ambigous ndo nini?
Hata wewe huna clarity.
Talking about the pot calling the kettle black!
Stop ranting! Clarify swali please.
Wrong!they will ring together 84 times in a week.,.....my CV primary Olympio dar,Olevel Maua Semimary div1 point 9,alevel Kibaha div1 point 4 PCM,currently UDSM,Telecommunication
Wrong!
Nianze na nyinyi mlioweka "CV" za sekondari zenye matokeo mazuri lakini ni kielelezo cha kuporomoka kwa elimu nchini. Enzi zetu sisi ukisikia mtu ana pointi nne, tatu ujue ni human specimen moja ya kuotea mbali na walikuwa wanasika kama watatu, wawili tu kila mwaka! Siku hizi pointi nne ndio kama wewe sasa zimechipuka kama uyoga, rahisi kuzipata na rahisi kupotosha taifa.
84 ni idadi ya vipindi vya dakika 120 (kigawe kikubwa cha shirika cha dakika 15, 20, 24) vilivyomo katika wiki, ambapo kengele zitalia pamoja. Lakini hata kabla masaa mawili ya kwanza kufika kengele zilishalia pamoja, katika dakika ya sifuri. Kwa hiyo mwisho wa hesabu zako zooote lazima ujumlishe moja! Jibu sahihi ni 85.
ww hiyo ni LCM so usiogope saanaThree bells are set to angle at unterals of 15 mins, 20 mins, 24 mins. If they are started together, how many times they are going to ring together in a period of 1 week.
Umepatia kote kasoro kugawanya mwisho hapo, jibu ni 84, si 64.
Nina uhakika ungeweka CV yako ingeonyesha shule ya Kata tu.Wrong!
Nianze na nyinyi mlioweka "CV" za sekondari zenye matokeo mazuri lakini ni kielelezo cha kuporomoka kwa elimu nchini. Enzi zetu sisi ukisikia mtu ana pointi nne, tatu ujue ni human specimen moja ya kuotea mbali na walikuwa wanasika kama watatu, wawili tu kila mwaka! Siku hizi pointi nne ndio kama wewe sasa zimechipuka kama uyoga, rahisi kuzipata na rahisi kupotosha taifa.
84 ni idadi ya vipindi vya dakika 120 (kigawe kikubwa cha shirika cha dakika 15, 20, 24) vilivyomo katika wiki, ambapo kengele zitalia pamoja. Lakini hata kabla masaa mawili ya kwanza kufika kengele zilishalia pamoja, katika dakika ya sifuri. Kwa hiyo mwisho wa hesabu zako zooote lazima ujumlishe moja! Jibu sahihi ni 85.
Nina uhakika ungeweka CV yako ingeonyesha shule ya Kata tu.
Rudia kusoma swali uone kama at time zero kulikua na muanzo wa wote.
Kwa kukusaidia swali linasema kila kengele walii- set ianze AFTER muda wake.
Wapi Augustine Moshi aje avunje mzizi wa fitna...
Mzizi wa fitna upi?