Hahahahah.. Gaijin msamehe Nyani Ngabu...huyu mzee wa ngwini katoka kapa hapa.
Mzizi wa fitna kichwani kwa Ngabu labda, maana hapa sijauona :]
Huyo anaesema jawabu ni 85 labda awe ametumia hypothesis kuwa hizo kengele zilikuwa tayari zinafanyakazi at time minus t (-t) or else kengele hazitalia at time t equal to zero (t=0), maana hapo ndo zimeachiwa kuanza kufanya kazi, hazianzi kwa kupiga kengele.
Gudi jobu...kumbe apo kwenye ayo mavitabu kuna na ya hisabatieee??!
Kwani mengine ni yepi? (@mavitabu)
Hahaaaa,
Avumaye Lawrence Summers, kumbe wengine kibaaaao wamo.
My CV.
O-Level: Tabora Boys
A-Level: Hilcrest High school
Bachelor: Mining Engineering
Ans.
LCM=120mins
they'll ring together after 120mins
>1week=(7×24×60)mins
1week=10080mins
==>10080mins/120mins
84
:- The bells will ring together 84 times in a period of 1 week