Elections 2010 Sitta: Wananchi msidanganyike

teh teh teh ccm wamesahau kuwa Dr, Slaa Phd yake kaisotea darasani na wala siyo ya kuhongwa kama huyo mgombea wa wakijani. Shule tamu jamaniiiii
 
Aisee maneno ya Dr. Slaa ni matamu sana... hivi sasa hivi elimu ambayo sio bure serikali inatumia 1.3 Trillion eehh... na Afya ya sasa hivi ambayo sio bure serikali inatuma 0.9Trillion... ikiwa bure itakuwa kiasi gani... wadanganyika?

Nawe una ubavu wa kujiita ni great thinker? Ni upupu na uharo mtupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom