Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

mimi kama mimi, huyu mzee nilimwamini huyu na mzee mwakyembe. Lakini SITTA ameharibu sana KWA SASA MWIGILU YUPO JUU KULIKO SITA. NAMPA 5%
Mkuu janga hata hizo 5% umempendelea.Anachokionyesha Sitta sasa ndiyo picha lhalisi aliyonayo tangu zamani isipokuwa tuu watu walikuwa hawamjui kiundani.
 
To be honest mbele ya mwenyezi mungu, huyu 6 hasitahili hata kufikiriwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi. Ameonesha udhaifu mkubwa sana wa uongozi, nafikiri amezeeka, analazimisha, apumzika! Kama kweli Mhe Raisi Kikwete anaipenda nchi yake, kipindi chote cha malumbano ya katiba mpya atakuwa amegundua viongozi ndani ya CCM wanaoweza kulitokomeza taifa na wale wanaoweza kuliunganisha. Kuna viongozi ndani ya CCM wameonesha hawastahili kuendelea kushika nafasi za uongozi ndani ya chama na serikali yake!
 
ndo maana hata urambo hawandelei, unafiki tu wa huyo mzee

Huyu mzee toka ajenge ofisi ya ya bilioni 3 urambo kwa ajili ya spika nilimdharau sana..mbaya zaidi pale alipochanganya na kutumia gari la serikali kuvuta bowser la maji kupeleka kwa hawara kinondoni mkwajuni..nikajua kabisa huyu mzee ni pimbi sana
 
Bahati mbaya Watanzania wengi huamua tu kumpa uongozi mtu hata bila ya vigezo muhimu. Kwangu mimi Sita ni kama alivyokuwa Kikwete. Tulimchagua Kikwete kwa kigezo gani? Sita alikuwa anafaa kugombea Urais kwa vigezo vipi?

Tuwe ni vigezo muhimu kwanza kabla ya kufikiria nani anastahili kutuongoza. Tusipofanya hivyo, kuna hatari tutaendelea kuwa na Marais wa sampuli za akina Kikwete miaka nenda miaka rudi.
 
Ndugu wana jf . Katika ccm Sitta alikuwa mmoja ya watu ambao wangekuwa na influence kubwa iwapo wangepewa Uraisi. Je kwa sasa SITTA unampa marks ngapi kama mtu mwenye masilahi kwa wananchi iwapo taweza kueuliwa na chama chake uwania Uraisi?
Msimamo wake bunge la katiba umedhirisha anaweza kuwa msimamizi asiyeyumbishwa
 
CC ya CCM imepata kick ya kumuengua Sitta kwenye kinyang'anyilo cha URAIS 2015. Kwa upuuzi huu wa Sitta taking into consideration M/Kiti wa Chama hawapikiki chungu kimoja na Sitta. Sasa ni dhahiri shairi kwamba katika yale majina 5, yatakayopelekwa NEC kupigiwa kura. Mark my words jina la Sitta halitapenya CC ya CCM. MWANAMKE MJI.NGA huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Huyu mzee toka ajenge ofisi ya ya bilioni 3 urambo kwa ajili ya spika nilimdharau sana..mbaya zaidi pale alipochanganya na kutumia gari la serikali kuvuta bowser la maji kupeleka kwa hawara kinondoni mkwajuni..nikajua kabisa huyu mzee ni pimbi sana

Kwa hiyo mkuu wapinzani wanaitwa tumbili,ccm pimbi?
 
Ndugu wana jf . Katika ccm Sitta alikuwa mmoja ya watu ambao wangekuwa na influence kubwa iwapo wangepewa Uraisi. Je kwa sasa SITTA unampa marks ngapi kama mtu mwenye masilahi kwa wananchi iwapo taweza kueuliwa na chama chake uwania Uraisi?
Mainaz(-) inaruhusiwa kuitumia?
 
Sitta angejiongeza kuwa ameingizwa kwny mtego kumshushia sifa aliyojijengea!hahaha,kajaa mzima mzima!Walikuwa wanamtafutia target maana mwakyembe tayari walishampa lesson,kumpiga sumu Sitta watu wangesh2ka!sasa wakaona wampe zengwe,pwaa kaisha!
Jamaa wana mbinu!Pole sitta kwa kupoteza heshima uliyojijengea,kwa sasa hata udiwani haukufai maana umewasaliti wananchi.ulichukiwa na chama enzi zile kwa kusimamia maslah ya wananchi lakinh safari hii umekuwa kinyongo!damu ya ukijani haiwezi isha ndani yako!
 
Ndugu wana JF.

Katika CCM Sitta alikuwa mmoja ya watu ambao wangekuwa na influence kubwa iwapo angepewa Urais.

Je kwa sasa Sitta unampa marks ngapi kama mtu mwenye
masilahi kwa wananchi iwapo ataweza kueuliwa na chama chake uwania Urais?
Mimi binafsi na watanzania wengi ninaowasikia wanasema prof. Anna tibaijuka ndie chaguo pekee la watanzania 2015 katika urais 2015. Watanzania wanaitaj rais msomi zaid na mwenyeuzoefu mkubwa wa kimataifa
 
Back
Top Bottom