Kassim Majaliwa: Rais Samia ni kinara wa kutekeleza Ilani ya CCM

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,049
49,731
Bwana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia ni mfano wa kupigwa na kinara wa utekelezwaji wa Ilani.

My Take
Samia amemwaga mabilioni Nchi nzima Kila sekta haijawahi tokea Kwa Rais yeyote kabla yake tena Kwa mda mfupi sana.

====

Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kassim Majaliwa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kinara katika utekelezaji ilani ya chama hicho.

Aliyasema hayo juzi wakati wa mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Kavuu uliofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi.

"Ni ukweli usiopingika kuwa Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais na Mwenyekiti wa chama chetu amekuwa kielelezo cha mafanikio makubwa yanayofikiwa na nchi yetu kwa sasa," alisema.

Majaliwa alisema kuwa tangu Rais Samia ashike madaraka hayo, ameendelea kutekeleza miradi yote ya kimkakati kama ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 ilivyoelekeza.

"Dk. Samia ameendelea kusimamia utekelezaji ilani ya CCM ikiwamo upatikanaji huduma za afya kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa, kanda na rufani," alisema.

Waziri Mkuu alisema pamoja na mafanikio mengine, Rais Samia ameimarisha diplomasia ya kiuchumi na nchi mbalimbali sambamba na kukuza utalii, lugha ya Kiswahili na masoko ya bidhaa za Tanzania nje ya nchi.
"Taifa hili, chini ya serikali za CCM tuna uwezo mkubwa wa kujitegemea na kujiletea maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii.

Nipashe
 
View: https://www.instagram.com/p/C31yO0wIk42/?igsh=MWF1NG5lZHFjaHhxZg==

My Take
Samia amemwaga mabilioni Nchi nzima Kila sekta haijawahi tokea Kwa Rais yeyote kabla yake tena Kwa mda mfupi sana.

Mwanamama wa shoka Tanzania, Africa na Duniani nzima 🐒

For sure comrade Dr SSH anapiga kazi watu waache masikhara aise 🐒

hatulii wala hachoki...

pamoja na hujuma, uvivu, uzembe na kukosa uaminifu kwa baadhi ya watendaji wachache sana serikalini, lakini bado kazi kubwa, nxuri sana na ya kupigiwa mfano imefanyika na kwakweli inaendelea kufanyika kwa umahiri mkubwa, kasi na viwango tajika kwa maslahi mapana ya nchi na waTanzania wote 🌹

Utekelezaji wa Ilani bora kabisa ya CCM ya 2020-2025 ndio msingi wa mafanikio yote hayo, na bado 🌹🔥
 
Bwana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia ni mfano wa kupigwa na kinara wa utekelezwaji wa Ilani.

My Take
Samia amemwaga mabilioni Nchi nzima Kila sekta haijawahi tokea Kwa Rais yeyote kabla yake tena Kwa mda mfupi sana.

====

Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kassim Majaliwa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kinara katika utekelezaji ilani ya chama hicho.

Aliyasema hayo juzi wakati wa mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Kavuu uliofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi.

"Ni ukweli usiopingika kuwa Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais na Mwenyekiti wa chama chetu amekuwa kielelezo cha mafanikio makubwa yanayofikiwa na nchi yetu kwa sasa," alisema.

Majaliwa alisema kuwa tangu Rais Samia ashike madaraka hayo, ameendelea kutekeleza miradi yote ya kimkakati kama ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 ilivyoelekeza.

"Dk. Samia ameendelea kusimamia utekelezaji ilani ya CCM ikiwamo upatikanaji huduma za afya kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa, kanda na rufani," alisema.

Waziri Mkuu alisema pamoja na mafanikio mengine, Rais Samia ameimarisha diplomasia ya kiuchumi na nchi mbalimbali sambamba na kukuza utalii, lugha ya Kiswahili na masoko ya bidhaa za Tanzania nje ya nchi.
"Taifa hili, chini ya serikali za CCM tuna uwezo mkubwa wa kujitegemea na kujiletea maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii.

Nipashe
Rais Samia ndio alianzisha kampeni ya kumtua mama ndio kichwani akiwa VP akiwalenga zaidi kukomboa wanawake na baada ya kuwa Rais ameongeza Nguvu zaidi

View: https://www.instagram.com/reel/C32DiHTrIui/?igsh=OHhzYjA5ZndoOHpr

Mama ameweka Nguvu kubwa sana kwenye Huduma za jamii ambazo zinawalenga wanawake kaunzia Afya,maji,Elimu na kuwawezesha kiuchumi.
 
Na for sure Maji, afya na Elimu ndio msingi wa mambo mengine yote ya maendeleo yanayowagugusa wanainchi moja kwa moja 🐒
 
Kasimu aliisifu hata Maiti ya Magufuli kuwa inachapa kazi Ofisini wakati Maiti iko kwenye Friji Nairobi Hospital.
 
Back
Top Bottom