Sitta autamani Urais 2015

NIMESOMA KATIKA VYOMBO VYA HABARI NDUGU YETU MH.SITTA AKISEMA IKIWA UPEPO UKIENDA VEMA KAMA SASA KUFIKIA 2014 ATAAMUA RASMI KUGOMBEA URAIS.BiNAFSI NASHINDWA KUELEWA IKIWA ANA MPANGO WA KUGOMBEA KUPITIA CCM HII AU INAKUWAJE.MAANA SITTA ALIKUWA SPIKA WA BUNGE LA TISA AMBALO KIMSINGI LILIFANYA VEMA LAKINI SERIKALI ILIATHIRIKA NA KATIKA MCHAKATO WA KUMTAFUTA SPIKA WA BUNGE LA KUMI SITTA ALIKATILIWA MBALI.PIA SITTA ALIWAHI KUNUSURIKA KUFUKUZWA UANACHAMA AKIWA SPIKA SASA NI CC IPI YA CCM ITAKAYO MPITISHA SITTA AWE MGOMBEA WA CCM NGAZI YA JUU KABISA URAIS WA NCHI?
 
U never know hii siasa brother, kwani hata lile kundi lililo mpigia debe asipitishwe uspika bado halina nguvu ya ushawishi kumuweka mgombea wa mtakao kutokana na uwepo wa makundi miongoni mwao, na ikiwa cc ndo wapiga kura wanaweza vp kumzuia?
 
NIMESOMA KATIKA VYOMBO VYA HABARI NDUGU YETU
MH.SITTA AKISEMA IKIWA UPEPO UKIENDA VEMA KAMA SASA KUFIKIA 2014
ATAAMUA RASMI KUGOMBEA URAIS.BiNAFSI NASHINDWA KUELEWA IKIWA ANA MPANGO
WA KUGOMBEA KUPITIA CCM HII AU INAKUWAJE.MAANA SITTA ALIKUWA SPIKA WA
BUNGE LA TISA AMBALO KIMSINGI LILIFANYA VEMA LAKINI SERIKALI
ILIATHIRIKA NA KATIKA MCHAKATO WA KUMTAFUTA SPIKA WA BUNGE LA KUMI
SITTA ALIKATILIWA MBALI.PIA SITTA ALIWAHI KUNUSURIKA KUFUKUZWA
UANACHAMA AKIWA SPIKA SASA NI CC IPI YA CCM ITAKAYO MPITISHA SITTA AWE
MGOMBEA WA CCM NGAZI YA JUU KABISA URAIS WA NCHI?

kuna options nyingi. hata ADC wanaweza kumsimamisha.
 
Pia amesisitiza dr.mwakyembe kalishwa sumu!yeye,mwandosya na mwakyembe wanachukiwa na wana ccm wenzao!source itv news
 
Hana maana kabisa, tumemwambia atoke CCM tumuunge mkona hataki. Tukimpata mwingine asije kutuomba ushirikiano baadaye
 
Mtendee haki Mh Sitta...sema kile alichokisema halafu ndio uweke tafsiri yako!

Afadhali umesema Mkuu.. Naona imekuwa tendency hapa JF sasa hiv members wanatuma posts ambazo wahucika hawakusema na wanalishwa hayo maneno.. Wamepageuza hapa kama kijiwe cha kahawa.. Plz members tuwe tunatuma posts za ukweli na ci kujitungia tu..
 
Pia amesisitiza dr.mwakyembe kalishwa sumu!yeye,mwandosya na mwakyembe wanachukiwa na wana ccm wenzao!source itv news
kipanya_23-_02-_2012_20120223_1036903633.jpg
 
CCM isifanye makosa kuleta siasa za makundi katika kumpitisha mgombea URAIS mwaka 2015,mtu mwenye uwezo kwa sasa ni Mh.SITTA ambaye ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mpambambanaji mbele ya mafisadi wenye vijisenti.

Rai yangu kwake asifikirie kufanya VISASI katika uongozi wake bali asimamie utawala BORA kwa kuwawajibisha mafisadi wote na kujenga misingi bora ya UTAWALA ili kuinua UCHUMI wa NCHI yetu.

Mafisadi watubu na kurejesha mali zao kwa hiari yao kabla ya kiama chao,kwa sasa hawana uwezo wakuwadanganya Watanzania ili wachaguliwe hata kama watagawa 100,000/= kwa kila mtu.....tumewagundua janja yao na sasa hawatuwezi tena ...PESA wakitoa tunapokea lakini hawatachaguliwa kamwe !
 
Back
Top Bottom