Salaam, Shalom!!
Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida.
Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa Mimi, kukikalia KITI hicho ni kuongoza watu wa Mungu Kwa niaba ya Mungu mwenyewe.
Ndio maana Mwalimu Nyerere alipaita IKULU ni Mahali Patakatifu, Si pango la WANYANG'ANYI.
Na kitu wengi wasichokifahamu, Tanzania ndio Nchi ya AGANO, Israel ya Rohoni,Inaitwa Nyikani/ Taifa teule, kimbilio la WATAKATIFU siku za mwisho.
Tanzania yetu tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.
1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.
2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.
3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.
4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.
Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Amen