Sitoi tena 'like' mpaka...

...idadi ya 'likes' nilizotoa zilingane na nilizopewa. Haiwezekani mimi niwe wa kutoa kila siku tu, halafu nyie hamnipi. Hebu chungulia mwenyewe hapo kwenye profile yangu.
...manina!
View Profile: Mphamvu - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Swaiba umenivunja mbavu ujue!!
Kwa hiyo na mie unanishauri nistopishe kugongea watu mpaka ziwe sawa kwa sawa!!!!!

Mie nikikuta mapwenti hata kwa aliyejiunga leo namgongea tu sinabanii wala nn!!!
 
Shida ni kwamba mods wamegoma kuweka kitufe cha like kwenye jfmobile na wengi tunabrowse kupitia hapa
 
niliwahi kugusia masuala ya familia humu ndani. Watu wakakana tena kwa herufi kubwa, mimi ni mnufaika wa hako kafamilia. Kama umechunguza kuna tabia ya kupotezea topic kisa tu aliyepost si maarufu, inaniuma sana. Hata likes nazo zina-flow kwa trend iyo hiyo!

Ukienda kwenye reputation power ndo kabsaaa! Utabaki nazo hizo hizo mbili.
 
nimekupa 'like' yangu
hayo yakusema 'topic closed'
yameanzaje tena mkuu.

Of koz nina hakimiliki ya huu uzi, nikiwa mtunzi halali, hence naweza kutoa tamko la kufunga thread bila kuathiri masharti ya huduma.
Sawasawa?
 
Back
Top Bottom