Sitoi tena 'like' mpaka...

Mbona wewe tofauti ya tens tu unalalamika?
wengine tofauti ya thousands hawaoni ubaya.
 
Mbona wewe tofauti ya tens tu unalalamika?
wengine tofauti ya thousands hawaoni ubaya.

Nyerere alishasema kuwa wanaofanana ni wafu. Acha nilalamike bibie, wasilalamika wana yao.
 
...idadi ya 'likes' nilizotoa zilingane na nilizopewa. Haiwezekani mimi niwe wa kutoa kila siku tu, halafu nyie hamnipi. Hebu chungulia mwenyewe hapo kwenye profile yangu.
...manina!
View Profile: Mphamvu - JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Hili nalo neno, mkuu nimefuatilia watu wengi wana log in kwa kutumia simu hivyo kujikuta wanatumia sana mobile version ambayo haina option au kitufe cha like.

Halafu kuna kasumba ya baadhi ya members fulani kutowapa like wenzao hata wataongea jambo gani la maana. Hii inaongezwa na ujuani wa JF members hasa wale maarufu!!!

Mkuu kama wewe ni kajamba nani kama mimi lia tu ucheke huna mbavu kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!!
 
Like zinatokana na watu kupendezwa na ulichoandika...km ukiandika pumba nani ata like? Jichunguze then chukua hatua...
Mi leo ntakupa like 5 kwa kuitoa avatal yako...
 
Like zinatokana na watu kupendezwa na ulichoandika...km ukiandika pumba nani ata like? Jichunguze then chukua hatua...
Mi leo ntakupa like 5 kwa kuitoa avatal yako...

zamani nilikuwa napost pumba.
Ila siku hizi nimejirekebisha, natema point kama mjukuu wa Nyerere vile.
I swear...
 
Hili nalo neno, mkuu nimefuatilia watu wengi wana log in kwa kutumia simu hivyo kujikuta wanatumia sana mobile version ambayo haina option au kitufe cha like.

Halafu kuna kasumba ya baadhi ya members fulani kutowapa like wenzao hata wataongea jambo gani la maana. Hii inaongezwa na ujuani wa JF members hasa wale maarufu!!!

Mkuu kama wewe ni kajamba nani kama mimi lia tu ucheke huna mbavu kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!!

niliwahi kugusia masuala ya familia humu ndani. Watu wakakana tena kwa herufi kubwa, mimi ni mnufaika wa hako kafamilia. Kama umechunguza kuna tabia ya kupotezea topic kisa tu aliyepost si maarufu, inaniuma sana. Hata likes nazo zina-flow kwa trend iyo hiyo!
 
Andika basi post la uhakika nikugongee like. Ongea point please.

nenda jukwaa la michezo, kuna moja nimeweka kama wito wangu kwa washabiki wa Yanga Afrika, ningekupa link, ila niko mobile.
Katazame kwanza hiyo afu uje na feedback...
 
Nimecheeeeeeeeeeka,bahati mbaya niko kwenye mobile la sivyo ningekutwanga li 'like' la nguvu mphamvu.
 
Teh teh mbona hapo juu umendika "......Manina"
Au uliandika zamani?

kwani hiyo nayo pumba mkuu? Hebu itizame kwa jicho la ki-lus.inde afu uniambie umeona nini. Just take a closer look...
 
Back
Top Bottom