kupima ni swala la msingi sana kwake na hasa akili kwa sababu watu wote ni vichaa ila viwango vya kichaa husika vinatofautiana kwa kila mtu.
Hilo la kupiwa akili nafikiri watu wengi wana tafsiri vibaya, nadhani yeye alikuwa anamanisha alipimwa Ubongo(akili?) kujua kama ana KIFAFA au la! Hii inatokana na yeye kuangukaanguka jukwaani mara kadhaa!watu wote pamoja na hao madaktari. inakuwaje kama daktari anayekupima ana kichaa zaidi yako? halafu hivi akili inapimwaje?
KUtoka mwananchi:
NImechukizwa na kukerwa na habari kuwa Rais wetu ameenda nje ya nchi kupimwa akili pamoja na mambo mengine! Hivi hao waliopanga jambo hilo wanamfikiriaje? Kwani ana dalili zozote za kutokuwa mzima akilini? Sitaki kabisa na tena sipendi Rais wetu apimwe akili ugenini; ni kudhalilisha taifa, na kutudhalilishwa wananchi.
Unless walikuwa wanapima kitu kingine zaidi kwenye ubongo! Lakini kama wangeweza kugundua kuwa ana matatizo kwenye akili bado angeweza kuwa Rais?
Mimi binafsi nimekosa muongozo maana humu mimi ni mgeni, Yani nimesoma haya maelezo humu mpaka nahisi kudata maana sielewi naona manyota-nyota,
Nipeni muongozo jamani hii hali ni mbaya sio nzuri kabisa.
Join Date: Thu Feb 2008
Posts: 696
Thanks: 0
Thanked 15 Times in 11 Posts
Rep Power: 23
Ni mgeni kwenye thread au kujiunga JF?? naona unakaribia 2yrs.
Elezea vizuri kwani hueleweki.
Rais apimwe akili kwani anaonyesha dalili za ugonjwa wa akili? Labda kuna vitu anafanya kama vile kachanganyikiwa ndio maana wakaamua kumpima ugonjwa wa akili.
Jamani mimi nimesema ni mgeni kwenye Post kama hizi za masiasaaa!!!! hauelewi?
Hahahahahahahaha!!!!! Siasa za CCM zinachekesha kweli. Kiongozi anasema ukweli wanachama akina Mzee Mwanakijiji hawataki na wanahamaki.
zanaki umepiga magogoni....!!! ...ime click..pia kwangu ..aliondoka na gulf stream akiwa na mama ...amerudi na emirates akiwa peke yake...!! ....au ndege walipotoka jamaica au trinad ilimpeleka mama kutembelea ma shost zake...??
na ni kweli aliondoka ijumaa cuba....amefika jana ...kweli atakuwa amechoka sana kwa sana kwa safari ya masaa72..toka cuba....badala ya masaa 18!!......si aseme tu alimrudisha mama nyumbani akaendelea na bi mdogo....its time sasa wananchi wajuwe status .....mbona we were okay with MWINYI polygamous status...si dhambi!!..ila ukificha ni dhambi!!!
amezidi kupiga miayo!![/SIZE]