Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

Nadhani watu pia mmemiss kitu kimoja katika maelezo yake... majibu aliyopewa siyo kwamba ana "afya nzuri"! angalieni kaambiwa ana hali gani...

We didn't miss it, hakuiweka wazi, alisema kuwa aliambiwa apumzike, sasa sijui huko kupumzika ni pamoja na kutosafiri.
Ila mi sielewi kama madaktari wameshasema hayuko 100% fit, anang'ang'ania nini? Aachie wengine nafasi ya urais mwakani, akapumzike. This is ridiculous. We have to get vocal about this, hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye afya yake ina mgogoro!
 
Bw/Bi Ngida1,

Naona wewe na Wagagagigikoko hamjamfahamu Mzee Mwanakijiji. Yeye japokuwa kweli ni CCM yeka, lakini hajahamaki kwasababu JK ni mwenye matatizo ya akili. Yeye kahamaki kwasababu: kwanini kenda kuchunguzwa nje juu ya suala hili na kuwa anaona aibu kuwa Rais wa nchi anakuenda kuchunguzwa akili zake. Sasa Nd. Ngida1 unadhania hawa watu wa nje watasema nini kuhusu nchi yetu? Sio watatuona sisi sote hapa Tanzania ni wandawazimu??????

Nd.Lampart,
Nimekufahamu vizuri sana.
Kwanza, tafadhali fahamu kwamba mimi ni BWANA na sio BIBI na kwahivyo naomba safari nyengine uni-address properly au bora tumia NDUGU kama wanavyofanya wengine.
Pili, ni kuwa inaelekea JK kutokana na haya matatizo yake ya akili atajiuzulu mwakani ili apate kupumzika, au hata kama hatojiuzulu, wengi tunapenda kujua Wagagagigikoko wanatabiri nini kwa Bara? Tushawasikia kuhusu ZNZ, lakini sasa tunashauku kubwa ya kujua kuhusu Bara. Tafadhali tuulizie.
Hivi Warioba anaonekana vipi katika circles za Wagagagigikoko? Au mnamtabiri Mznz ili aje kusafisha huu uozo uliojitokeza?
Kila la kheri.
 
Unaweza weka kadi namba zake?

Nd. Masanilo,
That is too personal to reveal!!!!
Hivyo kwani ulimuona mtu mwengine aliyelia hapa ukumbini kwaajili ya JK kama sio yeye peke yake? Hii haitoshi kukuonesha kuwa yeye ni CCM yeka???
Au mwana-chadema halisi ataweza kumlilia mwana-CCM? In fact, I am wrong here, he can. Ikiwa mtu anatoa magari kusaidia chama chengine, kwanini asiweze kumlilia Mwenyekiti wa chama chengine anapopata maafa ya kuhuzunisha ya akili kama haya????
 
Nd.Lampart,
Nimekufahamu vizuri sana.
Kwanza, tafadhali fahamu kwamba mimi ni BWANA na sio BIBI na kwahivyo naomba safari nyengine uni-address properly au bora tumia NDUGU kama wanavyofanya wengine.
Pili, ni kuwa inaelekea JK kutokana na haya matatizo yake ya akili atajiuzulu mwakani ili apate kupumzika, au hata kama hatojiuzulu, wengi tunapenda kujua Wagagagigikoko wanatabiri nini kwa Bara? Tushawasikia kuhusu ZNZ, lakini sasa tunashauku kubwa ya kujua kuhusu Bara. Tafadhali tuulizie.
Hivi Warioba anaonekana vipi katika circles za Wagagagigikoko? Au mnamtabiri Mznz ili aje kusafisha huu uozo uliojitokeza?
Kila la kheri.

Ndugu yangu Ngida,
Kwa kuanzia nakuomba msamaha kwa kuku-address kama wewe ni BIBI, japokuwa hatuna problems na mabibi, hasa hapa JF.
Ombi lako kuhusu utabiri wa Bara nitalifikisha kwa Wagagagigikoko. Najua na wao wanaifanya shughuli hio hio hivi sasa, hasa baada ya kusikia kuwa JK anataka kupumzika mwakani - yaani anataka kujiuzulu ili apumzike kutokana na hio shida yake ya akili. Kwa kweli sote tupo pamoja nae katika huu wakati wake mgumu!
Kwa Bara sio rahisi hivyo kutabiri, kwasababu sio siasa tu inayocheza bali ni mambo mengi.
Kuwa labda watamtabiri MZNZ, hilo sahau. Na sisi tumechoka pia kuteremshiwa watawala kutoka mbiguni na hivi sasa tunaipigania Tanganyika yetu ambayo tayari tunayo lakini wenyewe hatujui!
 
We didn't miss it, hakuiweka wazi, alisema kuwa aliambiwa apumzike, sasa sijui huko kupumzika ni pamoja na kutosafiri.
Ila mi sielewi kama madaktari wameshasema hayuko 100% fit, anang'ang'ania nini? Aachie wengine nafasi ya urais mwakani, akapumzike. This is ridiculous. We have to get vocal about this, hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye afya yake ina mgogoro!

Susuviri.. angalia maneno ya Rais kuwa baada ya kupimwa aliambia hali yake ya afya ikoje? utaona kuwa hakuwambiwa kuwa ni "mzima"..
 
Unapokuwa na Rais mwenye matatizo ya akili

Hivi Matatizo ya Akili ni ugonjwa gani kitaalamu? Ni uendewazimu au ni Ukichaa au nini? tafadhali naomba jibu kitaaluma zaidi?

Dr Kilonzo kama upo jamvini tunaomba ufafanuzi

Mh Rais alimaanisha nini aliposema amefanyiwa uchunguzi wa akili?

Hivi Ubongo = Akili?
 
Susuviri.. angalia maneno ya Rais kuwa baada ya kupimwa aliambia hali yake ya afya ikoje? utaona kuwa hakuwambiwa kuwa ni "mzima"..

Mzee Mwanakijiji said:
nilipima afya yangu na hasa akili na mishipa ya damu na wataalamu wakaniambia nipo salama.
Alisema walimwambia yupo "salama" je akili kuwa salama ni sawa na akili kuwa nzima?Je yeye binafsi kuwa salama ni sawa na akili yake kuwa salama?

Kwanza tujuwe kama alimaanisha kipi kati ya yeye kuwa salama na akili yake kuwa salama,hizo ni issue mbili tofauti.And then bado sijawa convinced kuwa akili ikiwa salama basi ni nzima,kuna aina tofauti za mental problems,nyingine akili za watu hao na wao wenyewe ni salama tu,na nyingine ni the opposite...Usalama haumaanishi "uzima" Mtu yeyote aweza kuwa salama regardless of their mental wellness...Naendelea kukubaliana na wewe MKJJ kuwa hakuambiwa kuwa ni "mzima" ama labda aliambiwa lakini katuficha.
 
[/SIZE][/FONT][/B]

Hivi Matatizo ya Akili ni ugonjwa gani kitaalamu? Ni uendewazimu au ni Ukichaa au nini? tafadhali naomba jibu kitaaluma zaidi?

Dr Kilonzo kama upo jamvini tunaomba ufafanuzi

Mh Rais alimaanisha nini aliposema amefanyiwa uchunguzi wa akili?

Hivi Ubongo = Akili?

Kuna vitu hapa watu wanavi changan'ya huo ukichaa na kupimwa concentration (stress levels). Ni vitu viwili tofauti kabisa na ni matusi kusema raisi wetu ni mental case.

hata pschopath sio kichaa hila ana namna ya kuangalia maisha out of the norm. Sasa mtu kama JK kumwita kichaa kwa kweli haya ni matusi ya hali ya juu.

Tatizo lake bwana mkubwa ni kwamba inavyooneka, his locus of control has too much externalities ambazo zinamsumbua mentally, na hii uweza sababisha stress. Ndio maana ushauri aliopewa ni kupumzika, probably na kuambiwa achukue things easily at the moment. The idea hapo ni apunguze kufikiri, and another thing stress imesha-ambatanishwa na uwezo wa kuzua magonjwa mengine mengi tu usipo deal nayo na hili as nothing to do with uchizi at all.

Hila if anything this clarifies what we've all been saying for some time, Mr President is a weak individual and a coward internally, a man who cant cope under pressure let alone punish those who he really think ought to be punished. But that is not say he is chizi at all, yaani hayo ni matusi ya hali ya juu.
 
Susuviri.. angalia maneno ya Rais kuwa baada ya kupimwa aliambia hali yake ya afya ikoje? utaona kuwa hakuwambiwa kuwa ni "mzima"..
Acha unafiki wewe, wewe mwenye hapo ulipo ni kichaa nenda kapimwe kama hujakutwa hamnazo...

tatizo lenu hamfahamu lugha halafu mnasukumwa na chuki bila uzalendo...safari hii mjinyonge
 
..Raisi alikwenda UK kuangalia mpira wa miguu.

..akapitia Madrid kuchungulia stadium timu ya Real Madrid.

..akaenda USA kuhutubia UNGA, halafu akaenda White House wakanywa chai na Obama.

..katika moja ya ziara zake lukuki za USA alikwenda kuangalia mpira wa kikapu wa wanawake[WNBA], na pia alihudhuria dansi la wanamuziki wa BOYZ II MEN.

..pia amekwenda Jamaica kupanda mabembea. wakati wa kurudi nyumbani akachepukia New York ku-chat na Anjelina Jolie na mumewe.

..JAMANI HAYO SIYO MAPUMZIKO? AU AMESHAURIWA AWE KWENYE COMPLETE BED REST?
 
well hawezi kulala!
 
Teh teh teh!Alishauriwa apumzike kwasababu ya kazi ama safari?Maana hayo yote hapo juu ni safari,ama aliambiwa asafiri mapumzikoni ili apumzike kutokana na shughuli nyingi za ikulu za Tanzania?Teh teh teh!
 
Akha Jamani?

wakisema mapumziko wanamaanisha huwa wana maana ya kuacha kazi za ofisi kabisa na kutumia a period of time for yourself.

Mfano Gorge bush huwa alikuwa anaenda texas kwenye Ranch yake na ku-chill for two weeks, Tony Blair alikua anaenda Carribean, even the queen of England is going to Balamoral this christmas na wamesema this time wata prosecute yeyote atakejaribu ata kwenda kupiga picha.

When was the last time Mr and Mrs Kwikete had two weeks for themselves and let Pinda take control off the country.
 
jmushi1,

..hizo safari ni kama vacation.

..hivi hujaona watumishi wa umma wanavyofurahia safari? ingekuwa ni kitu kigumu and stressing unafikiri wangezifurahia kiasi hicho?

..sasa pamoja na SAFARI/VACATION zote hizo, kwanini bado wanataka Raisi apumzike? au wanataka awe kwenye COMPLETE BED REST?
 
Habari zilizotinga JF hivi punde ni kwamba wale waliokuwa wanampima mkulu akili (yake) walichukua sampo kidogo na kuihifadhi kwenye fridge ili wawe na uhakika kama kweli akili yake yote haijawa corrupted.

Matokeo ya awali ni kwamba akili yote ya mkulu iko corrupted na Mafisadi sasa sijui kama huyo daktari wake atalonga kwa taifa kuwaambia wananchi kwamba mkulu ni lazima apelekwe Mirembe.
 
mmh.. mbona umemruka Shein? Kabla ya kwenda Cuba Rais alikuwa mapumzikoni Ngorongoro???

the idea is to rejuvenate, week ya kazi ukaeenda ngororo weekend hayo ni mapumziko. Ni sawa sawa na weekend yako inayoanza kesho hadi jumatatu utaita holiday hiyo.
 
Habari zilizotinga JF hivi punde ni kwamba wale waliokuwa wanampima mkulu akili (yake) walichukua sampo kidogo na kuihifadhi kwenye fridge ili wawe na uhakika kama kweli akili yake yote haijawa corrupted.

Matokeo ya awali ni kwamba akili yote ya mkulu iko corrupted na Mafisadi sasa sijui kama huyo daktari wake atalonga kwa taifa kuwaambia wananchi kwamba mkulu ni lazima apelekwe Mirembe.

Jamani Nyie watu wengine?

Hivi hata unajua how they analyze this things, ndio maana huwa nasema wengine inabidi waka-cheki na za kwao.
 
the idea is to rejuvenate, week ya kazi ukaeenda ngororo weekend hayo ni mapumziko. Ni sawa sawa na weekend yako inayoanza kesho hadi jumatatu utaita holiday hiyo.

Basi kwa taarifa yako Mr and Mrs hawataki kupumzika pamoja huwa wanapumzika sana tu ila each for his/herself na mtu wao! Sijui umenipata hapo?
Ila gettig back to what you said, hakuna rais aliyekuwa holiday katika historia yetu kama huyu! He is on permanent holiday!
 
Back
Top Bottom