sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

mtu kama huyu unategemea hata jokes ataweza kutoa? zile zinahitaji mtu awe na akili bwana. Jokes inatakiwa ukisoma uweze kucheka, huyu atamchekesha nani?
mapishi, unataka atulishe sumu?
sema aruhusiwe kusoma tu busara za wenzake

hahaaa haaaaa haaaa
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Du!! We kweli kupe. Mwambie Rais wako anayeamrisha polisi kuua hao wasiojua kitu wakati anaotaka kuwadhibiti ni hao viongozi wa CDM unaowasema. Maandamano ya wanachama au ufunguzi wa matawin usiokuwa na polisi tangu lini ukawa na vurugu kama hz? Iko wazi kuwa wanaoleta vifo ni polisi na yeyote anayewatuma polisi hao kwa sababu yoyote, na si viongozi wa CDM. Kwani askari kupiga waandishi imetokea leo tu? Au umesahau yale ya askari magereza na Mapuri miaka ya nyuma kidogo?
 
Bahati nzuri jina lako la kimtandao linajitosheleza. Sasa sisi tukiongeza neno tutaharibu maelezo ya jina lako.Kauli zako ndizo za kijinamizi.
 
Wote tukiwa chadema wapinzani watoke wapi hatukutaki hata bule nenda kafie we mbelle. Mjinga wa mwisho duniani anatoka tanzania! Hapana sikubali huyu jamaa ni mmalawi sio bule.
 
Wewe kichwamaji usinitafutie ban hapa!
Huu ni uhuru wa mawazo au uharo wa mawazo?
 
Amani huku tunaua watu wengi kwa magonjwa ya kuhara, malaria na wazazi kuliko hata Somalia, Sudan n.k kwenye vita? I don't believe kwetu kuna amani! Bora isiwepo Kama tafsiri yake ni ukimya, uvivu, ujinga na unafiki.... Dada Sijui kaka unahitaji kuelimishwa kidogo tuu, hata km huipendi soma tuu katiba yake Kama vile unajifurahisha au unataka kujibu Mitanni then u will decide. Kama huipendi chadema as unapenda nn dada? Wizi, ufisadi, uzandiki na fitina! Labda hp JF sio mahali pa kinafiki, kaandike kwenye gazeti la uhuru!!!!
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

aisee lakn kama ungekuwa muelewa zaidi we ni mfu tayari wa nia ,ni mfu katika utashi,hivyo kama ni kufa umeshakufa tayar RIP
N.B Bado una muda kubadlisha hlo just use ua intellect......
 
wewe utakuwa uataka tukuombee ufe haraka, nasisi hatukuombei hivyo ng'o. Naomba Mungu akujalie maisha marefu mpaka siku utayoona CDM wanachukua nchi. Udondoke, uzimie na Kufa pale Rais kutoka CDM atakapomaliza kula kiapo cha uongozi.

Nakufananisha na sheria za South Afrika: Polisi wameua raia lkn wanafunguliwa mashitaka ya uuaji raia. Sasa nawe unajua ni polisi wametekaleza mauaji hayo yote kama ulivyotaja, lkn unawachukia CDM.

Ishi miaka mingi ushuhudie mapinduzi

this is it.i lyk ua strong argument................aishi milele,ingawa mi nahisi ni mfu tayar ktk nia na utashi wake.......
 
Wanawadanganya sana mnyika anakaa mbezi kwnye ghorofa kajengaje sijui,slaa anakaa masaki kwenye ghorofa kajengaje sijui mbowe ndo balaa wanapigania haki zipi wkt wao wanaishi kama wafalme!!
Ahaa nahao viongoz wako wa ccm je,,?hawana hayo magorofaa,,??nafkiri huwajui vizuri pole sana ungejua magorofa,viwanja,magar,waliyonayo ungebak mddomo wazi
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Mkuu ni sheria gani iliyovunjwa? Chadema wamemuua nani? Mbona hawafikishwi mahakamani? Hawa cdm kwani wana akili nyingi mpaka wawadanganye wenzao? Amani gani unayozungumza? Au ni ile ya kukwapua EPA , meremeta, kagoda, twiga wetu na sisi tumekaa kimya kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa? Jenga hoja sio bla bla...
 
Du pole sana kwa hilo, ila na juwa utakipenda kimoyomoyo tu ukisema du lakini CDM inatisha, Wewe CCM wenyewe wanaigwaya sembuse wewe? kila kukicha wanajitahidi kupandikiza vikwazo lakini watu wanaruka na mimi nasema hutopata mafanikio hadi CCM ife.
 
Usipo ipenda CHADEMA utaendelea kuumia Moyoni mwako unapoona ndio wanaoleta mabadiliko ktk mambo ya msingi. Uamuzi wako ni mzuri ili uendelee kuumia. Kumbuka CHADEMA haiwafuatagi watu kuja kwenye mikutano yao. Wanakuja wenyewe kwa kuona ndio wanaoweka mambo hadharani. Ila jina lako ni proportional na uyasemayo.

viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
 
Mkuu ni sheria gani iliyovunjwa? Chadema wamemuua nani? Mbona hawafikishwi mahakamani? Hawa cdm kwani wana akili nyingi mpaka wawadanganye wenzao? Amani gani unayozungumza? Au ni ile ya kukwapua EPA , meremeta, kagoda, twiga wetu na sisi tumekaa kimya kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa? Jenga hoja sio bla bla...

Kaka huyo Hapo harudi tena na akijibu hayo basi huyo mwanaume, umemtandika maswali ya uhakika hapa. wengi vibaraka wa CCM huwa wanaongea tu bila kujuwa wanachoongea na 2015 watakimbia wote humu ndani.

Kwa nini wasinge wakamata viongozi wa CDM kwa kuvunja sheria badala ya kuua mwandishi? Lengo lao ni kuwa kataza watu wasisiwasikilize CDM.
 
SINTAIPENDA CCM MAISHA YANGU YOTE...
Ninatamka haya kwa kuwa ccm imejaa viongzi wenye sifa zifuatazo
1. wezi wa mali za uma, kazi yao kubwa ni kuchuma mali za watanzania na kujilimbikizia mali wao na familia zao
2. ni wauwaji hasa kwa wale wanaoleta threat kwenye nafsi zao
3. si wawajibikaji na ndio maana kionozi anafika mahali na kusema kuwa akijiuzulu hatutapata tena waziri kama yeye
4. kazi kupeana madaraka mfano familia ya kikwete na zingine nyingi
kimsingi ziko sababu nyingi sana
huu ni mtaazamo wangu kama ulivyokuwa wakwako
 
Kupe una point.. alafu hongera cdm ni janga la kitaifa.. watu kama wewe ndio wazalendo mnaohitajika.. hawajamaa chadema mi nawachukia sababu wadini sana..
a fool......njiwa....ar u fool sorce aden rage
 
Yaani umenichafua na hayo mawazo yako machafu, huna akili hata kichaa wa Mirembe anakushinda. Tena uje mida hii hii tukuzike ukiwa hai ili usishuhudie jinsi tunavyochukua nchi live 2015! Hatutaki tena vichwa vya nazi! Is enough!
 
Back
Top Bottom