sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Leo umepangiwa shift ya asubuhi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kupe ni mdudu mnyonyaji na anamwingizia hasara kubwa mfugaji wa mbuzi na kondoo na hata mbwa.
 
Wanawadanganya sana mnyika anakaa mbezi kwnye ghorofa kajengaje sijui,slaa anakaa masaki kwenye ghorofa kajengaje sijui mbowe ndo balaa wanapigania haki zipi wkt wao wanaishi kama wafalme!![ WAO WAMEWEZA KUTOKANA NA KAZI ZAO NA VYANZO VYAO NI SALAMA JE WEWE?
 
Sikutegemea kusoma upumbavu wako basi imetokea wewe popo kweli ujui ulipo.
 
ni afadhali ufe kwa sababu huko tayari kuona mabadiliko ,ila sijui unachagua staili gani pengine ukajitoa mhanga ukaleta shida kwa watu wengine
 
Kupe una point.. alafu hongera cdm ni janga la kitaifa.. watu kama wewe ndio wazalendo mnaohitajika.. hawajamaa chadema mi nawachukia sababu wadini sana..
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective.
unajua maaana yake kweli au ulikopi nakupest ili na wewe uonekane una signature tafakari chukua hatua.
 
nategemea mpaka hii post ya #20 UMEPATA WAFUASI 3 KATI YA 18 SO UNA RATIO YA 1:6 TAFAKARI CHUKUA HATUA KUCHUKIA KWAKO CDM AU KUPENDA IT DOESNT SUBSTITUTR ANYTHING CHEEEEERZ
 
Kama huna la kuandika nakushauri uende kujisaidia walau huo uchafu ulioko kwenye mfumo wa mwili wako utoke kwani ndio unaokusababishia kuakaa nakuandika pumba kwenye mtandao huu. We have a lot to think and do. To hell with your nonsense post
 
Wewe adhabu yako ni KIFO tu pamoja na ukoo wako wote kama Mfalme Nekabunneza wa Babylon ya kale alivyowatenda wabaya wake Daniel. Soma Bible kitabu cha Daniel. Naomba Moderator wa hii forum akudelete humu ili kuacha kuudhi members. Naomba kuwasilisha
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Unawaza kwa visigino at? kwahiyo baada ya wananchi kuandamana wanajinyonga at? nakushauri usiipende cdm kwakuwa watanzania wote wanaipenda na wewe huna cha kupunguza.
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA
Member kama huyu na ujinga wake huu ila nina hofu anatumika lakini kawaambie waliokutuma humu jamvini raia wako macho kushinda mjuavyo!

Mjinga mkubwa wewe kupe!
 
Movement 4 change 4rever..... Mtataga 2015 enzi za kudanganywa zimepitwa na wakati. CCM IMesimama na mguu mmoja halafu huo mguu una ukoma polen xana magamba but CDM daima. Peopleeeeees Power!!!!!!!!!!
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Mh weredi wa uchambuzi hapa kidogo problem.
 
Wanawadanganya sana mnyika anakaa mbezi kwnye ghorofa kajengaje sijui,slaa anakaa masaki kwenye ghorofa kajengaje sijui mbowe ndo balaa wanapigania haki zipi wkt wao wanaishi kama wafalme!!
Umeambiwa kuishi vizuri au kukaa ghorofani ni wizi???? Wezi wanaoibia Tanzania wapo wanajulikana, wamesaini mikataba ya wizi wameficha fedha zetu Uswizz na kwingineko kwa wazi wanajulikana!!! Sasa kama wewe sio mwizi au shabiki wa mafisadi kwa nini uchukie watu wanaopambana kungoa wezi na mafisadi????

viongozi wa chadema wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . Na wakijua kitakachotokea .mfano ..... Kifo cha muuza magazeti , na sasa kifo cha mwandishi wa habari. Wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. Naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona nchi ya amani kipenzi cha dunia tanzania ikiteketezwa na waroho wa urais chadema . Tanzania inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. Lakini si kwa njia hii ya chadema ...mungu ibariki tanzania .mungu inusuru tanzania na hili jinamizi la chadema .

we unatikiswa kweli! Haya ndo yale ya madhara ya kuandika thread huku umepakatwa,

kasome katiba ya nchi, kama hujui pa kuipata search kwenye google.

Chadema au cham a chochote hatupaswi kuomba kibali polisi cha kufanya maandamano au mikutano isipokua kutoa taarifa tu kwa ajili ya kupewa ulinzi.

Walioua si chadema bali ni nyie ccm kwa kuwaagiza policcm wenu, waue watu ili kututisha katika harakati zetu za kutafuta ukombozi wa taifa hili.

Nakwambia hivi, hii ni bado subiri 2015 ndo mtatuua mpaka mridhike ila ikulu mtatoka tu, hapo ndo mtaona nini maana ya nguvu ya uma.
 
Hata waziri wa CCM anamchombeza amuweke ndani Dr Slaa eti kachochea polisi kuuwa raia kweli hiyo ni akili, polisi waue watu eti mwingine akamatwe kweli????Magamba wote akili yao ni fupi hawafikli zaidi ya kivuli chao, wameisha ingia kwenye grill hatuwatoi ng'o hadi wakaukie!!!!

sawa sawa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom